Ushauri kuhusu Subaru Forestar

Ushauri kuhusu Subaru Forestar

hilo litakuwa gari lenu la mojakwamoja hadi lichakae mkalitupe jalalani maana mkilichoka halinunuliwi ngooo lamda mtoe zawadi, kwanza gari ya mashindano na hili jam la dar atapaa nalo wapi? kama amechoka rav4 mnunulie baby walker bana au spacio huu ni ushauri wabureeeeeeeeee
kaka linabwia mafuta hiloooooo mi naona tutasumbuana kaka
 
Sijambo...nimekukosa sana atii

Habari ya uzima wako?
na nyie vip mmeshaona hapa kwenye pombe za kienyeji sio sehemu za kusalimiana hapa !!! Sijui jirani hamjaonana sisi inatuhusu nini!!!
 
Kama pesa inaruhusu mnunulie, sasa unafikiri muda gani utatumia. Kama ipo tumia

mfanyakazi wa serekari miak 7 ana gari mbili na nyumba tatu na bishara kadhaa,,,,, safi sana kijana ila...... dah twambie basi mwenzetu una save viipi mshahara? au ndo yale mambo yetu ya ufis........di
 
Tatizo wakati unataka kumnunulia Toyota rav 4 hukutujulisha.... Tungekushauri mapema umnunulie hilo....
BTW nahisi kitengo chako sirikalini kipo vizuri.
 
nadhani mashindano ya magari ya dakar yanakabia kuanza so anataka kujiunga kwenye mashindano aoneshe kipaji chake chengine,na sio kupija hela tu kunako serikali....
 
Kama una landcruiser v8 ambalo ni kama kiwanda( inabugia mafuta). Utashindwaje hiyo subaru. Besides umesema maisha ni mazuri so hela ipo. Then ndio mahali pake pa kutumia
 
Back
Top Bottom