NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,357
wahaya bhana mmezidi mbwembwe.
Hujakosea Mkuu hawa jamaa ni malimbukeni wa kutupa!!!!
wahaya bhana mmezidi mbwembwe.
hata iyo subaru ya wife inarukaHongera mkuu kwa kututangazia mali zako...vp ile chopa yako bado inaruka?
unahisi lengo ni nini
hahahahaha:angry::angry::angry:Maongezi yetu tufanyie PM my love.
Hapa wanga wengi ujue.
Hapa ngoja niwaite miss chagga, Madame B, Evelyn Salt wajaribu bahati yao.
Wanaweza bahatika kununuliwa treni au helikopta kama ya Ndesamburo ili kukabiliana na foleni za Daslam.
View attachment 176084Jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana, tumefanikiwa kujenga nyumba 4na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya tanzania ,licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota RAV4, amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka SUBARU FORESTAR TURBO STI ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa!!
Thank you very much my love. I love you sana.
Nikununulie bajaji nawe utese hapa Makambako?
Jasiri haachi asili....
Teh teh yaani acha tu.....
nina wasi wasi kama hapa lengo ni،kuomba ushauri!!!!!
Kumbe Kongosho ni kaka????
mnunulie tu kipendacho roho hula nyama mbichi
heeee kaka mara yameshakuwa hayooo matusi tena mzeeSasa hizo nyumba nne zinahusianaje na gari? Acha kutuletea Ushamba hapa jukwaani. Peleka kwenye glob za watoto wenzako