Ushauri kuhusu Subaru Forestar

Ushauri kuhusu Subaru Forestar

Ni kweli ulikuwa unaomba ushaur au ndio unatujuza kuwa ushatoka kimaisha?
 
Aise. Ana raha mkeo. Wengine ni tuitafute wenyewe hiyo chapaa mzee.
 
Duh kumbe magali ndo yako ivyo huwa nasikiaga tu gari gari kumbe ndo yako ivyo mie nishazoea kuona guta ndo usafili uku kwetu magali amna!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa wasifu huu tegemea PM za kutosha, lengo lako limetimia.
 
Wahaya tabu sna sasa nyumb nne inatuhusu nn?gari ya mke wako yann kwetu?c ungeomba ushauri kw aina ya gari?
 
Back
Top Bottom