dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,795
- 1,920
Uanaume wako ndo unapimwa hapa, kama kila kitu analosema mwanamke wewe unatekeleza sasa nani kaolewa hapo? Vitu vingine lazima uwe na maamuzi yako, pia mnatakiwa mshauriane, mjadiliane na mufikie maamuzi basing on arguments. Ni ujinga mtu kusema napenda hiki kitu bila grounds. Gari lenyewe halina hata shepu, huyo mwanamke naye ana shida kwenye ubongo wake
Nimeshindwa kushangaa!!