God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
- Thread starter
- #161
pia st johns pharmacy unaweza pata vizuri tuuPCB = DDC = DIV II Please.
pia st johns pharmacy unaweza pata vizuri tuuPCB = DDC = DIV II Please.
Njoo pm na whatsappnishauri ndugu yangu
sasa nifanyeje
je nikichagua koz ambayo siihitaji lakini ipo ndani ya hcho chuo naweza kuchange kozi
kwa sababu naona sielewi mkuu
pamoja mkuuShukrani kwa uhakika huo mkuu.
piga ya udom.Medical Doctor
very very certainHapo kwenye animal science, agriculture general pamoja na agronomy vp ajira zake znapatkana?
Thank youpiga ya udom.
MUHIMBILI UFAULU HUO BADO
what mataters ni kujua kazi na kupata utalaam sio MUHAS pekee ndio wanatrain , hata Kairuki wako ok tuThank you
Zanzibar lzm uwe muunguja only ndo upate ajira ata uwe na high gradeuandishi wa habari bana mimi sijui tenda zao na maslahi yao ila ukiwa superstar ukiweza kuteka watu kama akina millard ayo na jeri muro basi wewe kila kituo cha tv au redio utaitwa ila ndugu kama utakua mtu wa kawaida tuu sijui.
kuna watangazaji kama dj fetty, mamy babie n.k wanasakwa kinoma ila sasa ni mpaka uwe na ladha ya kipekee. kwa kweli sina uelewa sana na kozi za sananaa. labda angalia waamu wa arts zanzibar wanahitajika? serikali ya huko bado inahitaji watu?
mfani kwetu bara wakimu wa arts hawahitajiki serikali imejitosheleza na kuna watu kama miaka miwili mfululizo walisoma ualimu wa masomo ya sanaa saivi hawana ajira hawajui waende wapi.
so best nakushauri unapochagua kitu angalia na future yake, maeneo yaliyokuzungua, uhitaji wake na ushindani wa watu waliosoma hiyo kitu.
sina la kukushauri vizuri kikubwa pitia comments mbali mbali humu ndani na uhakika utajifunza mengi
na kama ana hela ya mawazo ada zao na expense za vyuo hivyo hawez. dogo atulie asione kafika,watu wana division one za nguvu huko we wajitapa na two?? acha kujiskia jione wa kawaida kwa hiyo two yako muhas, udsm, udom , hupati labda kcmc na bugando huko unaweza pata
huo sasa ubaguzi. hivi kumbe mnabaguana kumbe.Zanzibar lzm uwe muunguja only ndo upate ajira ata uwe na high grade
yas kajitapa sana na mimi nkaona nimpe haki yake,na kama ana hela ya mawazo ada zao na expense za vyuo hivyo hawez. dogo atulie asione kafika,
mbona watanzania hampendi huambiwa ukweli. hayo maelezo yako hapo juu inaonyesha unaringa kabisa.hivi kuna kujitapa hapa. Pole hakuna aliyejitapa. na kwa kushauri kwa ukali hvyo nafikiri siuhitaji tena ,. na sio mimi bali ni ndugu yangu mie nilikuwa 4 points!! . kama kuomba ushauri ni kujitapa basi kaaa na ushauri wako!! don'nt need it
Teh nimecheka sana,unakuta mtu anakwambia ukitaka ushauli zaidi njoo PM sasa najiuliza huko pm anamshauli nini,ambacho hawezi kukiweka hapa na wengine wakanufaika?.ila mnapoitwa pm muwe makini msije lizwa na wanjanja wa MUJINI, maana hapa wengine sio wema!!!
vipo vyuo kibao kama marangu teacher college kilimanjaro.Ndugu naomba kuuliza kuhusu diploma ya ualimu huwa zipo vp
sijamaanisha hvyo,unawakatsha tamaa wenzako wanaotaka kujua,utakuta mwingne hata simu yenye internet hakuna na utakuta hata internet yenyewe inasumbua ,hvyo anakuja hapa kutaka msaada lakin ndugu yangu wew unamkatsha tamaaMkuu inamaana siruhusiwi kutoa maoni yangu kwa sababu "mimi ni diploma" ?
Teh nimecheka sana,unakuta mtu anakwambia ukitaka ushauli zaidi njoo PM sasa najiuliza huko pm anamshauli nini,ambacho hawezi kukiweka hapa na wengine wakanufaika?.
umeonaee