Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

lakini koz moja kwa vyuo vi2 tofauti naruhusiwa!
NB usinichoke kwa maswali yangu.
unaruhusiwa kabisa ni wewe tuu wala usijali.
ila ni mwiko kuomba kozi moja zaidi ya mara mbili kwa chuo kimoja kwanza system haitakuruhusu
 
BA Law Enforcement inachukua miaka mingapi kwa anayefahamu, please. Na jee lazima niwe NGUNGURI ili niwezekuchaguliwa?
 
Baada ya matokeo kutoka kwa kwel cielewi hata niende kozi ipi sababu yametoka nje ya malengo kabsaa! ushauli tafadhal koz gani yenye sokn kwenye ajira itakayonifaa kutokana na ufaulu wangu wa E-Chem, D-georg & bios D
Mkuu course yeyote ya afya INA ajira,otherwise nenda ualimu wa kemia na bailojia
 
Naomba msaada nimesoma PGM nina DCD respectively nataka engineering nisome ipi na wapi
 
unakua unafundisha language uliyosoma. pia ukiwa mjanja ukifanya masters fasta unawez kuwa lecture vyuoni na mshaara wake ni mzuri kwa kwel hasa private. ila upige GPA kubwa basi.
wapo malecture kibao wamesoma langage wanajimwaga kinoma na kuna watu wanajua kusaka upenyo wengine ni wakalimani ila kupata hii kazi inabidi uwe mtaftaji
Pls naomba course nyengne km unazijua tufnye kwa geo vs eng hata km haina loan priority cjajipanga nakusomesha vp wale wanaosomea zile za journalism wanakua na kazi tofauti tofauti au ndo wale waandishi wa habar na wanaosoma habar?
 
Mbona hamnijibu nishaurin chuo cha kuomba Math C phyE ChemE point 4 zimefika mnashauri kozi na chuo gani?
samahani mkuu nadhani nishakupa ufafanuzi kidogo.
pia water engineering ya chuon cha majin ubungo/DMI anaweza pata hata chuo cha bandari/dar es salam maritine institute kule kuna kozi nzuri aombe anaweza pata na nina uhakika sababu kuna watu wana 4 wa mwaka jana wako huko. hapo dmi kuna mmoja ana division 4 yuko hapo namfahamu
 
Mbona hamnijibu nishaurin chuo cha kuomba Math C phyE ChemE point 4 zimefika mnashauri kozi na chuo gani?
tena huyo mtu mwenye division4 ni pcm kama ataipenda hiyo kozi atatusua maana ina soko
 
lakin usithbutu kuomba laboratory science and biotechnology(BLS) ya sua. hii ni kwa manufaa yako ya mtaani baada ya chuo. inasumbua kwenye ajira sasaivi
Vipi kuhusu NIT inahusu nini, inapatkana wap, na soko lake kwenye ajila liko vp?
 
Duh! ndo tunakatishana tamaa kabsaaa! koz gani nyngne itanfaa na yenye soko kwenye ajira?
sikukatishi tamaa boy me nakwambia ukweli kama rafk yangu.
we kama huamini kuna waheshimiwa/wazazi wetu huku watakuja utawasikiliza watakupa uzoefu.
ila kama wewe ni mtu wa kupiga ,mishe IT inaweza kukusaidia sababu unaweza kujiariji kwa kutengeneza website, database na system kibao za watu. pili unaweza fundisha shuleni n.k, tatu uaweza kuwa graphics designer na nne ni hiyo ya kusubiria ajira
 
pamoja mkuu tuwape moyo na mwelekeo hawa marafiki zetu wasijekosea kwenye sehemu hii muhimu zaid maishani
Nikweli mkuu,maana nikikumbuka enzi zangu duu,but nanshukuru Mungu sikukosea kuchagua Mechanical eng,ingawa ilikuwa ni final selection.
 
Nikweli mkuu,maana nikikumbuka enzi zangu duu,but nanshukuru Mungu sikukosea kuchagua Mechanical eng,ingawa ilikuwa ni final selection.
pamoja mkuu, ni vyema sana kufanya maamuzi sahihi na sio kubahatishwa kwenye mambo kama haya.
mtu uwe na focus ya mbele sio unaenda enda kama kuku aliekatwa kichwa tuu
 
Back
Top Bottom