Ntaluke.N.
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,340
- 552
Mdogo wangu wa kike,amepata amesoma PCB matokeo F,D,and D respectively naomba msaada asome course gani tofauti na Education
udsm wana mbwembwe sana za kiboya huko kwingine utapataNimeaply
Pspa-UDSM
Urban planning-ARDHI
Insurance&risk mgt-IFM
Social work-UDSM
LMV-Ardhi
Nina BDD ya HGL..je nitachaguliwa ipi kati ya hizo na ipi nzuri na sio nzuri na kuna uwezekano wa kutochaguliwa zote kati ya hizo??
yap sasa nilikwambia ndio utaweza pata sikukataa sababu una 8 pale. wewe weka udsm vya kwanza kabisa utaweza pangwa hivo ulivyoviweka priority ya kwanzaKwa ufaulu huo nisichaguliw ud? Zen o lvl nina ufaulu mzur sanaa
yeye kwanza anapenda nini au alikua ana ndoto ya nini? hatukurupuki mkuuMdogo wangu wa kike,amepata amesoma PCB matokeo F,D,and D respectively naomba msaada asome course gani tofauti na Education
Nimeweka pspa ya kwanza na wanatak watu 150yap sasa nilikwambia ndio utaweza pata sikukataa sababu una 8 pale. wewe weka udsm vya kwanza kabisa utaweza pangwa hivo ulivyoviweka priority ya kwanza
unapata nina hiyo imaniNimeweka pspa ya kwanza na wanatak watu 150
Jaman wadau nina mdgo wang mwngne yy pia kasoma CBG ambapo ana D² za bio en chem pia C ya geo kam yule mwanzo en kashatuma maombi ambapo
1-kaeka md archbishop james
2-kaeka pharmacy st.john
3-kaeka medcal.lab bugando
4-kaeka md kairuki
5-pharmc bugando
So kaniomba ushaul na mm cjui nimwambie nn so wakuu nambieni aache hivo hivo ama afanye editing mapema na kam anafanya editing ajaze nn[/QUOTE
bugando mwambie aombe labaratory
Sawa mkuu ngoja nisubirunapata nina hiyo imani
naimani utapata we wekaNimeweka pspa ya kwanza na wanatak watu 150
Ndoto yake ilikuwa Afya hasa,MDyeye kwanza anapenda nini au alikua ana ndoto ya nini? hatukurupuki mkuu
Nimependa ushauri wakoKWA USHAHURI MNAOAPPLY VYUO KWA AMBAO SIO WAZOEFU
IPO HIVI WAKATI UNACHAGUA PROGRAM FULANI KUNA MAMBO YAKUZINGATIA NA KUNA EFFECT ZAKE KAMA UKIENDA KINYUME NA KUNA WATU NIMESHUHUDIA WAKIJUTIA NA KUHAHIRISHA MWAKA KABISA ..HIVYO BASI NAOMBA MZINGATIE MIE NIPO SECOND YEAR BSC CHEMISTRY UDOM
1) CAPACITY YA WANAFUNZI WANAOHITAJIKA..HII NI SEHEMU YA KUZINGATIA SANA, NA USIKURUPUKE MFANO UNAKUTA CAPACITY NI WATU 25 LAKINI UKIANGAKIA KIWANGO CHAKO CHA UFAHULU NI MDOGO NA WW UNAKOMALIA HAPO HAPO UJUE HAPO UNAPOTEZA MUDA KWANI COMPETITION NDO ITAKAYOAMUA WENYE POINT ZA JUU NDO WATAKAOKUWA SELECTED
2)COMBINATION ZINAHUSIKA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE MFANO MTU UMESOMA CBG HALAFU UNATAKA KWENDA KUSOMA MD NI KITU AMBACHO NI NGUMU SANA NA KAMA UTATAKA PHARMACY KUPITIA CBG BASI UWE NA UFAHULU WA JUU NA BAADHI YA CHUO NDO WANAPOKEA MFANO ST. JOHN YA DODOMA.
3) VYUO MNAVYOCHAGUA MNATAKIWA KUANGALIA NA COMPITION MFANO WATU WENGI WANAPENDA SANA KUKIMBILIA KWENDA UDSM KWA MAANA HIYO UJUE KWA CHUO KAMA HICHO COMPITITION NI KUBWA SO KAMA UNAPOINT ZA CHINI HALAFU UNATAKA KUSOMA COURSE KAMA ZA CIVIL, ELECTRICAL, MD, AU ENGINEER YA AINA YEYOTE AU COURSE YEYOTE YA BUSNESS UJUE POSSIBILITY KUBWA YA KUTOKUCHAGULIWA IPO..
4) KATIKA KUFANYA APPLICATION UNAOPTION TANO HIVYO HIZO NAFASI UNAPASWA KUFANYA ARRANGEMENT NZURI ZA DEGREE PROGRAM KULINGANA NA POINT ZAKO UKITAKA KUWEKA COURSE ZENYE UTITLE HALAFU POINT ZAKO NDOGO UTAACHWA FIRST ROUND NA ASIKUAMBIE MTU SECOND ROUND NI MAJANGA UKICHELEWA..
5) VYUO VINGI KWA SASA TANZANIA VINATOA ELIMU NZURI NI SIE WENYEWE TUKIVIKOMALIA VITAFIKA MBALI KAMA TUKIWA NA UONGOZI BORA NA KUONDOA NADHARAIA YA KUTIZAMA VYUO VIKONGWE NDO BORA HAPA NCHINI...SO KUMBUKA KULE UNAPOONA PABAYA NDO SIKU ZOTE KUNA ULAJI...NAOMBA MZINGATIE HAYO...MPITIE HIYO GUIDE BOOK KWA UMAKINI MSIKURUPUKE BADO MUDA MNAO

na vip editing s inaruhusiwaKWA USHAHURI MNAOAPPLY VYUO KWA AMBAO SIO WAZOEFU

Kila nikijaza index number yng ya form six kwenye form yng ya mkopo inasema wrong number entered wakat ipo sahihi mwanzo limekuja jina la skuli yng kisha naambiwa wrong number lkn mwishio nikisave jina la skuli linaondoka jaman nifanyeje nataka kuprint nimeganda na hapo nisaidieni ttzo nini?naimani utapata we weka
cheki vyuo vya private