Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Habari ndugu na wana JF kwa ujumla.

Nimeona nianzishe huu uzi mahususi kabisa kwa wale wanaoomba vyuo vikuu kozi mbali mbali tuwape elimu na ujanja ili waweze ingia vyuo wavipendavyo.

Pia huu uzi utashauri ubora wa chuo husika kuhusu baadhi ya kozi kwani kuna baadhi ya vyuo vina sifa kadhaa katika fani wanazofundisha.

Unachopaswa kufanya ewe unaeomba chuo utaleta matokeo yako yote ili tuyachambue ndio tukupe ushauri, pia kwa vyuo vyenye ushindani kwa kozi fulani hawa hadi matokeo ya form four wanaangalia so usiwe na hofu relax tutakushauri na hakika utashinda mapema wala hutapoteza kitu na pia uwashauri na wenzio walio karibu wapitie huu uzi ili wajifunze zaidi.

Kumbuka ufaulu wako ndo unaamua yote unapoomba kozi angalia ufaulu wako na ushindani kama idadi ni kubwa sana ya waliiomba na wewe una matokeo hafifu badilisha haraka.

Pia ni vyema kufanya maamuzi sahihi ukitegemea eti utahama chuo ni ngumu na hizi habari zinaingiliana na mkopo hivyo basi utaweza kuja kupata mkopo mwaka wa pili.

Hivyo basi jandae vizuri usiwe mbishi sikiliza ushauri wetu vizuri na sisi tumepita huko.

Pia wenzetu mliosoma diploma tunaweza wasaidia mawili matatu.
Karibuni sana.
 
Nimeaply
Pspa-UDSM
Urban planning-ARDHI
Insurance&risk mgt-IFM
Social work-UDSM
LMV-Ardhi
Nina BDD ya HGL..je nitachaguliwa ipi kati ya hizo na ipi nzuri na sio nzuri na kuna uwezekano wa kutochaguliwa zote kati ya hizo??
 
fm 4 nina two ya point 21,C c.H c.G b.K c.E b.zilizobaki zote ni d. 6 nina two ya point 11.GS s
H d.G c.Eng d.Diploma nina GS c.HTM b.GTM a.EPGC b.ERME b.CT a.Nilimalixa butimba 2005.nipe mwpngozo kabla ya trh 30/07
 
wakuu pcb DCC
1.doctor of medicine kcmc
2.doctor of dental surgery muhas
3.pharmacy muhas

kuna posibility ya kuchaguliwa kweli au niweke education tyu nipunguze stress?
 
Weka pharmacy St john am sure watakuchukua,namkopo utapata 100%.
 
Muhimbili au udsm nisiombe?
ndio huko vitovu vya vijana wa kitanzania wenye uelewa mkubwa na ufaulu mkubwa ndio pekee huweza kusoma huko.
nimepokea lawama nyingi kwa waliosoma muhas wanasema chuo kigumu sana na wengine wakahama kabisa so waheshimu jipange na level yako
 
wakuu pcb DCC
1.doctor of medicine kcmc
2.doctor of dental surgery muhas
3.pharmacy muhas

kuna posibility ya kuchaguliwa kweli au niweke education tyu nipunguze stress?
muhas achana nayo huwezi pata, cheki bugando kairuki, archibishop james huko naamin mambo yanaweza tiki kigumu kulingana na ufaulu wa mwaka huu pia kuna wenzio wa miaka ya nyuma hawajaapply wako homun wanaweza haribu hali ikawa mbaya zaid
 
fm 4 nina two ya point 21,C c.H c.G b.K c.E b.zilizobaki zote ni d. 6 nina two ya point 11.GS s
H d.G c.Eng d.Diploma nina GS c.HTM b.GTM a.EPGC b.ERME b.CT a.Nilimalixa butimba 2005.nipe mwpngozo kabla ya trh 30/07
mkuu ufaulu wako mzuri ila sijuio kwa nini ulisoma diploma.
embu andika vizuri marks za masomo uliyosoma yan kwa kiasi flani sijakuelewa
 
Nimeaply
Pspa-UDSM
Urban planning-ARDHI
Insurance&risk mgt-IFM
Social work-UDSM
LMV-Ardhi
Nina BDD ya HGL..je nitachaguliwa ipi kati ya hizo na ipi nzuri na sio nzuri na kuna uwezekano wa kutochaguliwa zote kati ya hizo??
udsm wana mbwembwe sana za kiboya huko kwingine utapata
 
Back
Top Bottom