Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

KWA USHAHURI MNAOAPPLY VYUO KWA AMBAO SIO WAZOEFU
IPO HIVI WAKATI UNACHAGUA PROGRAM FULANI KUNA MAMBO YAKUZINGATIA NA KUNA EFFECT ZAKE KAMA UKIENDA KINYUME NA KUNA WATU NIMESHUHUDIA WAKIJUTIA NA KUHAHIRISHA MWAKA KABISA ..HIVYO BASI NAOMBA MZINGATIE MIE NIPO SECOND YEAR BSC CHEMISTRY UDOM
1) CAPACITY YA WANAFUNZI WANAOHITAJIKA..HII NI SEHEMU YA KUZINGATIA SANA, NA USIKURUPUKE MFANO UNAKUTA CAPACITY NI WATU 25 LAKINI UKIANGAKIA KIWANGO CHAKO CHA UFAHULU NI MDOGO NA WW UNAKOMALIA HAPO HAPO UJUE HAPO UNAPOTEZA MUDA KWANI COMPETITION NDO ITAKAYOAMUA WENYE POINT ZA JUU NDO WATAKAOKUWA SELECTED
2)COMBINATION ZINAHUSIKA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE MFANO MTU UMESOMA CBG HALAFU UNATAKA KWENDA KUSOMA MD NI KITU AMBACHO NI NGUMU SANA NA KAMA UTATAKA PHARMACY KUPITIA CBG BASI UWE NA UFAHULU WA JUU NA BAADHI YA CHUO NDO WANAPOKEA MFANO ST. JOHN YA DODOMA.
3) VYUO MNAVYOCHAGUA MNATAKIWA KUANGALIA NA COMPITION MFANO WATU WENGI WANAPENDA SANA KUKIMBILIA KWENDA UDSM KWA MAANA HIYO UJUE KWA CHUO KAMA HICHO COMPITITION NI KUBWA SO KAMA UNAPOINT ZA CHINI HALAFU UNATAKA KUSOMA COURSE KAMA ZA CIVIL, ELECTRICAL, MD, AU ENGINEER YA AINA YEYOTE AU COURSE YEYOTE YA BUSNESS UJUE POSSIBILITY KUBWA YA KUTOKUCHAGULIWA IPO..
4) KATIKA KUFANYA APPLICATION UNAOPTION TANO HIVYO HIZO NAFASI UNAPASWA KUFANYA ARRANGEMENT NZURI ZA DEGREE PROGRAM KULINGANA NA POINT ZAKO UKITAKA KUWEKA COURSE ZENYE UTITLE HALAFU POINT ZAKO NDOGO UTAACHWA FIRST ROUND NA ASIKUAMBIE MTU SECOND ROUND NI MAJANGA UKICHELEWA..
5) VYUO VINGI KWA SASA TANZANIA VINATOA ELIMU NZURI NI SIE WENYEWE TUKIVIKOMALIA VITAFIKA MBALI KAMA TUKIWA NA UONGOZI BORA NA KUONDOA NADHARAIA YA KUTIZAMA VYUO VIKONGWE NDO BORA HAPA NCHINI...SO KUMBUKA KULE UNAPOONA PABAYA NDO SIKU ZOTE KUNA ULAJI...NAOMBA MZINGATIE HAYO...MPITIE HIYO GUIDE BOOK KWA UMAKINI MSIKURUPUKE BADO MUDA MNAO
phy d chem c bios c vp md pale kairuki atapata?
 
Wakuu Mimi nauliza eti ukishaprint machaguo unaruhusiwa kufanya marekebisho mbona kama ile printed ya machaguo pale inakataa na ukienda
Kwenye profile IPO sehemu ya change program
Msaada please...
 
nina 2 ya 10 nmesoma CBG na nmepata(C,C na D ya geog) nishauli nisomee course gan ambayo ipo marketable kwa saiv ukiacha nursng,phamacy,BVM na medcal laboratory
 
Nna div 2 ya 12 Hgl nna CDE nimeapply hivi
uploadfromtaptalk1471175491083.png
uploadfromtaptalk1471175500050.png
je naweza pata nafasi hapo au nibadili
 
Wakuu Mimi nauliza eti ukishaprint machaguo unaruhusiwa kufanya marekebisho mbona kama ile printed ya machaguo pale inakataa na ukienda
Kwenye profile IPO sehemu ya change program
Msaada please...
Unaweza kubadil machaguo ila ukishabadil tu. Ile karatas uliyo print haitumik tena coz ukisoma pale juu ya karatas wameeleza kila kitu
 
Unaweza kubadil machaguo ila ukishabadil tu. Ile karatas uliyo print haitumik tena coz ukisoma pale juu ya karatas wameeleza kila kitu
Pia mkuu kwa mfano ukabadili
Halafu ukaprint Mara ya pili
Itaonekana kama ndo unaaply upya????
Na je kuna effect usipoprint kwa Mara ingine?
Samahan naomba sana msaada kama unauzoefu!!!
 
Pia mkuu kwa mfano ukabadili
Halafu ukaprint Mara ya pili
Itaonekana kama ndo unaaply upya????
Na je kuna effect usipoprint kwa Mara ingine?
Samahan naomba sana msaada kama unauzoefu!!!
Unaweza uka print kadri uwezevyo kulingana na utakavyobadilisha machaguo yako.
Na hakuna negative impact yoyote itakayojitokeza kwako ama kwa wahusika watakao kudahil.
Na unaweza ukaprint zaid ya mara moja mpaka apo watakapo funga udahil apo tareh 31/08/2016
 
Unaweza uka print kadri uwezevyo kulingana na utakavyobadilisha machaguo yako.
Na hakuna negative impact yoyote itakayojitokeza kwako ama kwa wahusika watakao kudahil.
Na unaweza ukaprint zaid ya mara moja mpaka apo watakapo funga udahil apo tareh 31/08/2016
Umenena vyema mkuu
 
Unaweza kubadil machaguo ila ukishabadil tu. Ile karatas uliyo print haitumik tena coz ukisoma pale juu ya karatas wameeleza kila kitu
Hizi ishu za kuprint zinakuaje??mbona sizielewi...kwani ukishaeka machaguo kule kwenye website zao unaprint kivip??
 
mimi nimepata DIVISION TWO YA POINT 10
ENG D
HISTORY C
KISWAHIL C
GS E
HKL
JE NITAPATA UDSM KWA KOZI YA BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION?
NAOMBA MNISAIDIE
Unaweza pata ila inategemea na ushindan kwa walioomba pia kama una dv 1 o level inasaidia
 
Unaweza pata ila inategemea na ushindan kwa walioomba pia kama una dv 1 o level inasaidia
NIMEOMBA
NDO TUNASIKILIZIA
HIVI KUNA UWEZEKANO WA POINTS ZANGU NIKAKOSA CHUO ROUND YA KWANZA NA JE HUWA MAJINA YA ROUND YA KWANZA YANATOKA LINI
 
NIMEOMBA
NDO TUNASIKILIZIA
HIVI KUNA UWEZEKANO WA POINTS ZANGU NIKAKOSA CHUO ROUND YA KWANZA NA JE HUWA MAJINA YA ROUND YA KWANZA YANATOKA LINI
Uwezekano wakukosa round ya kwanza haujalishi point bali competition ndo inaplay part sana so inawezekana pia hasa kwa chuo kama udsm
 
Habari ndugu na wana JF kwa ujumla.

Nimeona nianzishe huu uzi mahususi kabisa kwa wale wanaoomba vyuo vikuu kozi mbali mbali tuwape elimu na ujanja ili waweze ingia vyuo wavipendavyo.

Pia huu uzi utashauri ubora wa chuo husika kuhusu baadhi ya kozi kwani kuna baadhi ya vyuo vina sifa kadhaa katika fani wanazofundisha.

Unachopaswa kufanya ewe unaeomba chuo utaleta matokeo yako yote ili tuyachambue ndio tukupe ushauri, pia kwa vyuo vyenye ushindani kwa kozi fulani hawa hadi matokeo ya form four wanaangalia so usiwe na hofu relax tutakushauri na hakika utashinda mapema wala hutapoteza kitu na pia uwashauri na wenzio walio karibu wapitie huu uzi ili wajifunze zaidi.

Kumbuka ufaulu wako ndo unaamua yote unapoomba kozi angalia ufaulu wako na ushindani kama idadi ni kubwa sana ya waliiomba na wewe una matokeo hafifu badilisha haraka.

Pia ni vyema kufanya maamuzi sahihi ukitegemea eti utahama chuo ni ngumu na hizi habari zinaingiliana na mkopo hivyo basi utaweza kuja kupata mkopo mwaka wa pili.

Hivyo basi jandae vizuri usiwe mbishi sikiliza ushauri wetu vizuri na sisi tumepita huko.

Pia wenzetu mliosoma diploma tunaweza wasaidia mawili matatu.
Karibuni sana.
Broo... Mi ni diploma holder... Matokeo ya diploma nina first class ya 4.6...ya Accounting..... Ila form 4 nina D plane na C ya math..... Axa nimeomba BAF ya Ardhi (capasity 10)... Bcom UD (50)... Acturial UD (10).. Na Mzumbe (BAF) ... Respectively... Ila sasa applicant wa hivyo vyuo ndo wengi.. Almost 120 and above. .. My be actuarial ambayo ina applicant 15 tz.. mimi ndo nilikuwa wa 15...ila ndo hivyo sina vigezo vya kuingia hiyo courze.... Sasa i need ur suggetion.... What am i expecting?
 
yap nakukubali sababu uko vizuri na umeyaelewa maelezo yangu. pia nikupongeze kwa GPA kali hapo omba UDOM MD ya kwanza, halafu sababu kuna intake maalumu imetengewa kwa ajili ya diploma omba UDSM, MUHAS, KCMC, CUHAS/BUGANDO au ST FRANCIS morogoro
unapewa slot 5 za kujaza fata mtiririko nliokupa nakwambia hukosi ndugu amini nakuambia. ada vyuo vyya serikali ni million1.8 halaf kcmc ada ni milion 3.1 na 3.7 cuhac st francis ni 2.6m hizi takwimu zangu ni za mwaka jana sijajua kama wamepandisha,
karibu sana ukiwa na tatizo jingine
kcmc ada million 4.5
 
msaada...nna division 2 ya 12 form six PCB phys E Chem D na bio C name form four nlikuwa na div 1 ya 17 nmeapply chuo KCMC kozi ya prosthetics & orthotics na competition kiujumla ni applicants 22 wakati admission capacity ni 15 je nnaweza kupata nafasi au nbadilishe machaguo?!...
kama wapo 22 utapata coz capacity ya kene guide book ni uongo
 
Back
Top Bottom