Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

hapana vyuo vipo kibao utaweza tena chagua chuo uachokitaka usome diploma mara nyigi tuu uwezavyo hio haina shida ni maamuzi yako tuu
Vp kwa upande wa human resource level ya degree wanapata ajira au ngumu sana kupatikana?
 
Vp kwa upande wa human resource level ya degree wanapata ajira au ngumu sana kupatikana?
ajira ni ishu hapa nchini we kama una mtu wa kukuunganisha utafanikiwa ila ukiwa unaomba omba duu utasugua na ndo hali halis saiv watu kibao office chache so inapidi ufanye juu chin maana nchi yetu ni ya kindugu au kirushwa. we soma tuu na Mungu wako atakusaidia
 
vipi mkuu Mimi Nina DDD Kwenye physics, chemistry na biology Nina S kwenye BAM na F kwenye GS nitakuwa na cut of point ya ngapi na course gani unanishauri kusoma na doctor of medicine itakubali?
 
Unaomba vyuo vingapi TCU na kila chuo mwisho course ngapi? Na course moja unaweza kuomba vyuo vingapi
 
we ndo ujiponye kwa sabau umeanza kunivuruga. na yule mkuu mwingie keshakupa yako
Hapo MUHIMBILI OR ANY MEDICAL UNIVERSITY UNAPATA ( Muhimbili cut off ni point 7 which is the highet. KCMC Cut off ni 5 = CD. . na wewe una 8. ( BB= 4+4= 8)
Kuna wengi nawafahamu wako MUHAS. Ila it depends na interest yako vilevile
 
Msaada kuhusu hizi faculty molecular biology and biotechnology na food science and biotechnology na medical laboratory ,, je ajira yake ikoje
 
Habari ndugu na wana JF kwa ujumla.

Nimeona nianzishe huu uzi mahususi kabisa kwa wale wanaoomba vyuo vikuu kozi mbali mbali tuwape elimu na ujanja ili waweze ingia vyuo wavipendavyo.

Pia huu uzi utashauri ubora wa chuo husika kuhusu baadhi ya kozi kwani kuna baadhi ya vyuo vina sifa kadhaa katika fani wanazofundisha.

Unachopaswa kufanya ewe unaeomba chuo utaleta matokeo yako yote ili tuyachambue ndio tukupe ushauri, pia kwa vyuo vyenye ushindani kwa kozi fulani hawa hadi matokeo ya form four wanaangalia so usiwe na hofu relax tutakushauri na hakika utashinda mapema wala hutapoteza kitu na pia uwashauri na wenzio walio karibu wapitie huu uzi ili wajifunze zaidi.

Kumbuka ufaulu wako ndo unaamua yote unapoomba kozi angalia ufaulu wako na ushindani kama idadi ni kubwa sana ya waliiomba na wewe una matokeo hafifu badilisha haraka.

Pia ni vyema kufanya maamuzi sahihi ukitegemea eti utahama chuo ni ngumu na hizi habari zinaingiliana na mkopo hivyo basi utaweza kuja kupata mkopo mwaka wa pili.

Hivyo basi jandae vizuri usiwe mbishi sikiliza ushauri wetu vizuri na sisi tumepita huko.

Pia wenzetu mliosoma diploma tunaweza wasaidia mawili matatu.
Karibuni sana.
Kamanda Mimi nimepata PCB CCC naomba ushauri! Thanks
 
Kabla hujaanza kuchagua vyuo pitia tcu guideline 2016/17 kuna vyuo kibao havitachukua medicine mwaka huu ikiwemo UDOM ,ST FRANCIS MORO kuweki makini ndugu zangu
 
Msaada tafadhari D flat combination ya PCB naweza kupata chuo gani kozi ya ufamasia
 
Hapo MUHIMBILI OR ANY MEDICAL UNIVERSITY UNAPATA ( Muhimbili cut off ni point 7 which is the highet. KCMC Cut off ni 5 = CD. . na wewe una 8. ( BB= 4+4= 8)
Kuna wengi nawafahamu wako MUHAS. Ila it depends na interest yako vilevile

Muhimbili cut off points ni 8 from 3 subjects kwa MD na Pharmacy
 
Unaomba vyuo vingapi TCU na kila chuo mwisho course ngapi? Na course moja unaweza kuomba vyuo vingapi
nilishakujibu kumbuka. unaruhusiwa kuomba chuo kimoja kozi mbili. na unapewa nafasi tano za kuomba vyuo unavyovipenda
 
vipi mkuu Mimi Nina DDD Kwenye physics, chemistry na biology Nina S kwenye BAM na F kwenye GS nitakuwa na cut of point ya ngapi na course gani unanishauri kusoma na doctor of medicine itakubali?
mkuu kwa udaktari huwezi. ushindani ni mkubwa mno. kuna vyuo kama imtu, kampala, archibishop james, st francis huko ungeweza bahatisha ila kwa bahati sana kama ngamia kuingia tundu sindano. but jarib huwezi jua angalia chuo ambacho hakijafugiwa kati ya hivo nlivyokutajia ukikosa kuna kuapply kwa waliokosa tena kwa mara nyingine ila hii njia sio nzuri unakuta nafasi zishajaa
 
Je nikijaribu kuomba kampala au st john,vp wanaweza kunipa??
huko kampala unaweza pata sababu watu wanakiogopa hicho chuo sababu kilikua na magumashi kibao miaka ya nyuma. pia kuna dogo amesoma cbg yuko labaratory
 
Back
Top Bottom