Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Habari mkuu..kuna dogo wangu amemaliza PCM na amepata DBB anafkiria kufanya actuarial science au geomatics vp mnazionaje hizi courses kwa soko la ajira hapa tanzania pia kwa mujibu wa results zake mtamshauri afanye course gani nyengine ambazo zina soko hapa tanzania.Natanguliza Shukrani zangu Asante
 
Wakuu iv ukisoma bs social security y pale IFM unawez kufanya kaz gani naje kuna tofauti gan kati ya hiyo na ensurance and risk managmen itkua vzr ukinishaur pia ipi n nzur zaid
 
Nina diploma ya Nursing nahitaji kuomba kujiunga na degree. Nafanyaje naombea kupitia nacte au tcu
 
Wakongwe nauliza hivi course ya science and industrial engineering management inahusika na nini,na vp kuhusu mshahara inalipa
 
Habari mkuu..kuna dogo wangu amemaliza PCM na amepata DBB anafkiria kufanya actuarial science au geomatics vp mnazionaje hizi courses kwa soko la ajira hapa tanzania pia kwa mujibu wa results zake mtamshauri afanye course gani nyengine ambazo zina soko hapa tanzania.Natanguliza Shukrani zangu Asante
Mwambie asome petroleum geology
 
Habari mkuu..kuna dogo wangu amemaliza PCM na amepata DBB anafkiria kufanya actuarial science au geomatics vp mnazionaje hizi courses kwa soko la ajira hapa tanzania pia kwa mujibu wa results zake mtamshauri afanye course gani nyengine ambazo zina soko hapa tanzania.Natanguliza Shukrani zangu Asante
Tanzania ya viwanda inakuja,mwambie akasome Mechanical eng hatojuta.
 
Jaman wadau nina mdgo wang mwngne yy pia kasoma CBG ambapo ana D² za bio en chem pia C ya geo kam yule mwanzo en kashatuma maombi ambapo
1-kaeka md archbishop james
2-kaeka pharmacy st.john
3-kaeka medcal.lab bugando
4-kaeka md kairuki
5-pharmc bugando
So kaniomba ushaul na mm cjui nimwambie nn so wakuu nambieni aache hivo hivo ama afanye editing mapema na kam anafanya editing ajaze nn
Atapata.
 
Mwenye matokeo haya physics S, Math D, Technical drawing C, anaweza pata course ya Computer Engineering DIT au chuo kingine naomba ushauri hata wa course nyingine TD ni Technical Drawing huyu mtu hajasomea tz
 
Habari kazi wapendwa, kijana wangu amepata HIST D, KISW, D NA ENG E Div 3.13 je anaweza kwenda kwenye Masomo ya Degree au aende Diploma? Asanteni
 
Nimeaply
Pspa-UDSM
Urban planning-ARDHI
Insurance&risk mgt-IFM
Social work-UDSM
LMV-Ardhi
Nina BDD ya HGL..je nitachaguliwa ipi kati ya hizo na ipi nzuri na sio nzuri na kuna uwezekano wa kutochaguliwa zote kati ya hizo??
Kwa hiyo unataka iwe social worker.
!!!!!
We ni me au ke,
 
msaada...nna division 2 ya 12 form six PCB phys E Chem D na bio C name form four nlikuwa na div 1 ya 17 nmeapply chuo KCMC kozi ya prosthetics & orthotics na competition kiujumla ni applicants 22 wakati admission capacity ni 15 je nnaweza kupata nafasi au nbadilishe machaguo?!...
 
Back
Top Bottom