Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 552
Naomba nisaidie BA of education in guidance and counselling ndo unakuwa mshauri nasaha au unaenda kufundisha km mwalimu na km mshaur nasaha Tanzania ajira zake zinapatikan? Pia kuna Ba of science in psychology and counselling ajira zipo na ukisoma education in psychology unakuwa mwanasaikolojia? Na wanasikolojia wanaajiriwa sehem gan na vp kwa TZ wanapata ajira?anaefaham pls anisaidiehuwezi na haifai kabisa wala usijupe matumaini. system ndo inachambu kwa hiyo kama hujafikisha inakutyupilia mbali, bora ingekua na binadamu mwenzio angeweza hata kukuone huruma