isaacaugust
Member
- Jul 9, 2016
- 99
- 30
enq ukasome lab kcmc or bugando
enq ukasome lab kcmc or bugando
Cjui ndo mana nimeuliza cjatoa ujumbeww umesikia wapi hizo habari weka website iliyoandika hivyo vitu tuvione wote!!!
Kwaio ata km una DD E pia huendi?Kasema mwisho ni Div 2 ya 12 kam una 13 tafuta diploma cz kasema unatakiwa uciwe na e kwenye masomo yako yote...hapo klmjee
hakikisha kwenye masomo mawili inapatikana points nne nfano D D au CE. achana na hizo habar za uongo.Wadau nackia usemi mitaani kua madam Ndalichako anachkua 3 mwisho ya 13 kuna ukweli wowote kwenye hili
Imtu, st francis, udom na suza mwaka huu hawadahili. Tcu mbele kwa mbele
mkuu kweli? na kwanini? na kampala inakuajeImtu, st francis, udom na suza mwaka huu hawadahili. Tcu mbele kwa mbele
wanaangalia cut off point hapo ina D mbili ambazo ni point 4 kwa masomo mawili kama minimum hapo unaenda chuo kikuuKwaio ata km una DD E pia huendi?
hapana zingatia zinawezapatikana points 4 kwa masomo mawili mf DD=4 au CE=4 kama minimum. achana nen na hzo habar za uongo fata mf wangu hapo juuKasema mwisho ni Div 2 ya 12 kam una 13 tafuta diploma cz kasema unatakiwa uciwe na e kwenye masomo yako yote...hapo klmjee
Kwa mfano kwenye course wameweka 5points from 3 subjects lkn ukawa una 4.5 wanakuchagua?wanaangalia cut off point hapo ina D mbili ambazo ni point 4 kwa masomo mawili kama minimum hapo unaenda chuo kikuu
hapana kwanza system itakataa hata ikikubali majibu yatakapotoka utaamiwa hukutimiza vigezo so application yako ikawa cancelldKwa mfano kwenye course wameweka 5points from 3 subjects lkn ukawa una 4.5 wanakuchagua?
huwezi na haifai kabisa wala usijupe matumaini. system ndo inachambu kwa hiyo kama hujafikisha inakutyupilia mbali, bora ingekua na binadamu mwenzio angeweza hata kukuone hurumaJe kam wameweka 4.5 afu una 4 inakuaje hapo
maisha hayaja haribika wewe kuna pla a b c nakuendelea acha presha. hapo unaweza rudia pepa na ukapiga vizuri tuu pia kuna option ya kwenda diploma au higher diploma.Kwaiyo hapo. Siwez kuapplay chuo do jaman maisha yang yameharbka
kama kumbukumbu zangu kuna mtu aliniambia inatolewa mzume university ndo naskia unakuja kuwa katibu afya au bwana afya ila search google health system management carrier utapata ufahamu zaidiWanaosomea health system management wanasomea kitu gan?
mkuu mimi nina uelewa kwa koz ya afya mfano ukipata chem d, bio d, na phy d hapo unaweza kujiunga na level ya cheti niaka miwili.Biology D
History D
Kiswail D
English D
Hesab F
Geography F
Civics F =na dividion 4point 31 matokeo yangu ya kidato cha nne, naomba ushaur pia naomba ufafanuz wa koz ya kupata sifa ya kusoma stashahada diploma in primary (INTA level 4)
halafu naona kwa kombi yako hiyo ukipitia admission book ya TCU utaelewa mengi pia utaona kozi kibao kwa kombi yako hiyo soo ukipenda unaweza ileta hapa wajuzi waichambue zaid ili uelewe kwa kina future yakeKwa mfano kwenye course wameweka 5points from 3 subjects lkn ukawa una 4.5 wanakuchagua?