Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

ndio umefaulu maadau umefikisha point 4.
samahani kuna post nimekose kukujibu kuna kitu nilikua sikifahamu.
sasa tuambie ulikua unapenda kusoma nini halafu tukupe ushauri ili uweze fanikiwa kuingia chuo husika
Japo unafanya jambo jema lkn kuna vitu basics huna uelewa navyo. Huyo mwenye DEE atakuaje na pt 4?! Wakati hapo anaonekana ana pt 3!?
 
Hivi inamaana wengi wa wasomi wetu hawa waliohitimu kidato cha sita ni kweli hawajui ni nini wasome katika ngazi ya chuo kikuu ?
 
Huyo mkuu muongo
ok nmeshakupata
but ile iko muda sasa but ukifungua inaandika will be released soon as possible
so bado ndugu
Huyo mkuu muongo. Guide book 2016/17 not yet released! Gonna be released soon!
 
ndio inawezekama kabisa.
unaruhusiwa kuomba mara mbili chuo kimoja kwa kozi tofauti
unaruhusiwa kuomba sio chini ya vyuo vitatu kwenye idadi ya vyuo unavyoomba
unaruhusiwa kuomba si chini ya vyuo vitatu au zaidi ya vyuo vitano unavyoomba kwa ujumla.
natumai hapo umeelewa
yaani hyo bachelor of art with education naweza kuiomba katika vyuo vitatu tu .kwa sababu sihitaji kuchagua kozi nyingne yoyote
 
Hapana
yaani hyo bachelor of art with education naweza kuiomba katika vyuo vitatu tu .kwa sababu sihitaji kuchagua kozi nyingne yoyote
Usifanye hvyo mkuu. Maisha hayako hvyo hata siku moja! Badili mtazamo kuhusu hili wazo lako!
 
Hahahahaaa jeuri sana wewe, kule haipo nimeangalia sasa hivi.
sawa mkuu naweza kubaliana na wewe labda wana ifanyia marekebisho kama wanavyofanyaga miaka iliyopita, ila ilishatoka kitambo now inafanyiwa maboresho siwezi wadanganya mimi
 
Japo unafanya jambo jema lkn kuna vitu basics huna uelewa navyo. Huyo mwenye DEE atakuaje na pt 4?! Wakati hapo anaonekana ana pt 3!?

Atakua hajaelewa hizo point zinakua calculated kwenye masomo mangapi, kwa kumsaidia tu ni kwenye masomo mawili kati ya matau yanayounda combination yako (BAM & GS hazihusiki)
 
Hapana

Usifanye hvyo mkuu. Maisha hayako hvyo hata siku moja! Badili mtazamo kuhusu hili wazo lako!
muache kama anapenda maana nni chaguo lake usimbadilishe mawazo ni vizuri usome kitu ambacho una kipenda toka moyoni
 
Hivi inamaana wengi wa wasomi wetu hawa waliohitimu kidato cha sita ni kweli hawajui ni nini wasome katika ngazi ya chuo kikuu ?
Yeah. Unashangaa nn wakati ma profesa karibu wote wanafanya kazi za siasa. Sasa mentors watakuwa nani?! Wakati salim said bakhresa hana class na ana drive life atakavyo. Ndio tulivyo kama nchi!
 
sawa mkuu naweza kubaliana na wewe labda wana ifanyia marekebisho kama wanavyofanyaga miaka iliyopita, ila ilishatoka kitambo now inafanyiwa maboresho siwezi wadanganya mimi

Ni kweli hiyo link imewekwa hapo kwa siku kadhaa sasa, lakini swali ni je ulishawahi kudowload ikakubali ?
 
Japo unafanya jambo jema lkn kuna vitu basics huna uelewa navyo. Huyo mwenye DEE atakuaje na pt 4?! Wakati hapo anaonekana ana pt 3!?
yaa nilikua na idea ya miaka ya nyuma mkuu nilipopitia website ya tcu ndo nikaona wanataka point 4 kwa masomo mawili kama minimum
 
Mkuu, mimi nina EEC ya HGL na nimemaliza miaka 10 iliyopita. Nawania BA Law Enforcement UDSM. Jee kuna uhakika wa kupata kulinganisha na ushindani. Na jee, kozi hiyo ni miaka mingapi kumaliza? Vipi nina nafasi yoyote ile kwenye LLB?
 
Back
Top Bottom