Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

jamani wadau samahani naomba mnisaidie kuhusu hii form ya bodi ya mkopo ni lazima kuambatanisha cheti cha form six kwa maana mm nimemaliza mwaka huu na sina hicho cheti inakuaje??
 
jamani nisaidieni ... mm nilikuwa nalipa kwa mpesa ila nimekosea na pesa imekatwa .. je inaweza kurejeshwa ??
 
Jmani wakubwa mm nna orgnal dploma ya accountancy ila nna Gpa ya *3.5*frst yr na 3.0scond yr na nmesah apply nacte...what should i do now naomb ishauri wa any pocble way npate dgree
 
Mkuu mm nina CED ..comb EGM ..Eti nisome kozi gani na ARDHI vp naweza kupata? Msaada jaman
 
Nna diploma ya sec education GPA ya 2.9,nipo ktk mpango wa masomo,na cut off points ni 3.5,nifanyeje?
 
Naomba ushauri nili apply vyuo vitatu must,DIT and Arusha tech coz civil engineering.. Matokeo yangu nina D phy,D chemist,B math,C English,C geog,A kiswahil,C history,F bios, nimemaliza uganda ila baada ya kubadilisha ktk mfumo Wa necta nimepata hayo matokeo
 
CSE points 4.0 nmesoma cbg nahitaj kujua course nzuri tofauti na afya na education tafadhalin nisaidien ktk hili.... Ahsant
 
Jaribu coz hta mm ntajaribu japo ni cbg en nna CE
 
Nimesoma HGE nimepata
Dv 1.8
History C
Geography C
Economics B
G/s E
Bam E
Nataka nikasome ardhi faculty kama mbili hiv nataka ni apply sasa sijuh comb yangu inaruhusu ni B.Sc.building economics na B.Sc in building survey na ushaur kidogo kuhusu izo course asante wakubwa...
 
Nenda Dit mkuu ila ukaze
 
 

Tafuta guide book ya TCU ya mwaka jana uangalie wakati ukisubiri ya mwaka huu,mara nyingi hazitofautiani sana
 
Hapo kwenye animal science, agriculture general pamoja na agronomy vp ajira zake znapatkana?
Kijara zinapatikana,pia kuna FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY,SUA kozi nzuri sana inadili za kutosha.
 
Nina CED mkuu. Nimesoma EGM .olevo Nina 1 .12 vipi naweza kusomea nn chuo na VP ardhi naweza kupata? Ila education no tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…