Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

yusufu hezron

Member
Jan 2, 2012
88
20
Tafadhali mnisaidie kuhusu hii gari kwani naitaka kuinunua na kama kuna MTU anayo na bado ni nzima basi anambie
Tafadhali naomba kuwasilisha
 
Ushauri kuhusu nn.. Hebu kuwa specific... Unaulizia uimara au ulaji mafuta au comfortability.... Kuwa specific unaulizia nn
 
kwa ulaji wa mafuta halifai km upo mijini linabwia kuliko
unataka uimara gani maana kwenye rough road halifai
kwa show za barabarani na watoto labda maana ukitoka disco waweza ficha hadi watu 8
tafuta gari lingine
 
Kuna bwana mmoja ananiambia Kuwa ile gari ni six ila ina 1980cc sasa ndo nataka kujua uhalisia uliopo kwenye ulaji wa mafuta kwa kuzingatia hivo vigezo
 
6 cylinders ile zipo za 2.0L na 2.5L. Kusema kweli kwa mjini tusiwe wanafiki inabwia wese, ukiwa wa mafuta ya buku 10 10 sikushauri. Kuna mshkaji hapa kazini anauza 6M ila naona mwezi wa 3 huu kimya.

Pros:
Comfortability
Stable barabarani
Nzuri sana masafa marefu
Spare kibao
Roho ya paka

Cons:
Wese mjini ova tank limevuja
Rough road some how sio friendly
 
Ahsante kwa ushauri wako mkubwa
 
Huyo jamaaa anaeuza naweza kupata mawasiliano take?
 
Kuna tatizo unakuta mtu hana hata gari wala sio fundi lakini kwa kujifanya anajua kila gari na pia gari pia ni utunzaji mm nilinunua noah new model basi kuna watu walinikatisha tamaa gari haifai mbovu ningekuwa nimewasikiliza ningeshauza nimenunua mwaka 2014 na nimesafiri nayo tanga moshi morogoro iringa dodoma na bado iko vizuri
 
Mark II Grande Gx 110 ni bonge la gari asikudanganye mtu.

Comfortability yake ni bab kubwa
Wese inakula fresh tu,
NB: hakikisha switch ya VVT-i inafanya kazi vizuri vinginevyo utaona hii gari haifai.

Utajuaje vvt-i switch ni mbovu? Ni rahisi sana,utaona Taa ya check engine inawaka.

Kwa kifupi hakikisha hakuna warning light yoyote inayowaka hapo kwenye dashboard maana kuna watu wanaacha mitaa ya warning inawaka afu wanakuja humu JF kulalamika au kupotosha watu.

Pia hakikisha Taa O/D Drive haiwaki kwa kubonyeza hako ka button kadogo kwenye gear lever.

Asanteni.
 
Unajibu kuwa uongo kwa kuwa unayo na umehakikisha au unajibu kwa kusikia maneno ya vijiweni
NI UONGO KABISA
hivi ni Dar gani hiyo utakayotembea kilomita 50 na foleni zinakusuburi kwa lita 5
hilo ligari lita moja kilomita 7 kama foleni kilomita 4 kwa lita
 
Back
Top Bottom