Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

Kuna bwana mmoja ananiambia Kuwa ile gari ni six ila ina 1980cc sasa ndo nataka kujua uhalisia uliopo kwenye ulaji wa mafuta kwa kuzingatia hivo vigezo
Zinakuwa na cc200 ..upande wa engine ni gari yenye nguvu kwa safari.ila kwa mjini Mafuta huwa tanki linavuja.Rough road si gari imara vile na kama ni rough road basi engine isiwe vvti..iwe ni 1G kavu
 
Kuna tatizo unakuta mtu hana hata gari wala sio fundi lakini kwa kujifanya anajua kila gari na pia gari pia ni utunzaji mm nilinunua noah new model basi kuna watu walinikatisha tamaa gari haifai mbovu ningekuwa nimewasikiliza ningeshauza nimenunua mwaka 2014 na nimesafiri nayo tanga moshi morogoro iringa dodoma na bado iko vizuri
hebu mumshauri akanunue magari mengine yanayotumia mafuta vizuri kma Corolla au IST
huko Iringa Morogoro Dodoma kuwa comfortability ni sawa na halihami barabara lakini kwa mafuta ni NO
GX Dodoma Dar km 450 ni lita 60 ulizia inatakiwa mtu mwenye pesa (1L= 8km)
Corolla au IST Dodoma Dar 450km ni lita 28 na yanabaki (1L = 18km)
 
NI UONGO KABISA
hivi ni Dar gani hiyo utakayotembea kilomita 50 na foleni zinakusuburi kwa lita 5
hilo ligari lita moja kilomita 7 kama foleni kilomita 4 kwa lita
Mmh! Mkuu inamaana inakula kama landcruza hardtop?!!?
 
Nilikuwa nayo nuliuza nikanunua mazda new model lakini bado naipenda ile gari ni watoto wangu huwa wananishauri nikae na gari isizidi miaka 3 hakika zile gari ni nzuri mtu asikudanganye cha cylinder ngapi full tank nilikuwa napiga hadi moshi nikianza kurudi naongeza kidogo nafika moro, sema tu yapo chini sana lazima unyanyue kidogo
 
Naombeni msaada natafuta taa ya mbele ya mazda imevunjika ni mwaka sasa sijaipata nasikia Nairobi zipo na sijui mtu kule....0783656554
 
hebu mumshauri akanunue magari mengine yanayotumia mafuta vizuri kma Corolla au IST
huko Iringa Morogoro Dodoma kuwa comfortability ni sawa na halihami barabara lakini kwa mafuta ni NO
GX Dodoma Dar km 450 ni lita 60 ulizia inatakiwa mtu mwenye pesa (1L= 8km)
Corolla au IST Dodoma Dar 450km ni lita 28 na yanabaki (1L = 18km)
Exactly...
au anunueToyota Premio 1NZ vvt-i
Fuel efficient na Msako mkali upo...
si mjini si masafa marefu...
ni Muendelezo wa 5A Engine...
 
naomba nikupe Data za Google Toyota Fuel Consumption kati ya Mark II yenye cc1998 na Corolla yenye cc chini ya 1498 huko kwa wenzatu

Toyota
Model Mark II
Generation Mark II (JZX110)
Engine 2.0 i 24V (160 Hp)
Doors 4
Power 160 hp/6200 rpm.
Maximum speed 190 km/h
Fuel tank volume 70 l
Position of engine Front, longitudinal
Engine displacement 1998 cm3
Number of cylinders 6
Fuel consumption (economy) - urban 14 l/100 km.

Fuel consumption (economy) - extra urban 8 l/100 km.

Kerb Weight 1380 kg.
kwa hiyo lita 14 ni kwa kilomita 100
Toyota Mark II (JZX110) 2.0 (petrol, 2001) 14.0 l/100km / 16.80 mpg

Toyota Mark II (JZX110) 2.0 (160 hp, petrol, 2001) - Fuel consumption - urban

Corolla 1.3 Fuel consumption
ToyotaCorolla

Fuel consumption recorded on the launch:
DURBAN:
Average: 5.31 L/100 18.83 Km/L
CAPE TOWN:
Average: 5.61 L/100 17.83 Km/ L
JOHANNESBURG:
Average: 4.88 L/100 20.49 Km/L
All Groups Average: 5.27 L/100 18.98 Km/L
 
Km 50 lita 5 si kweli
Km 50 ni kama kutoka Temeke hadi kibaha
Kwa Lt 5 mmmmmmm
Weeeeeee ingekua hivo raha sana
 
Km 50 lita 5 si kweli
Km 50 ni kama kutoka Temeke hadi kibaha
Kwa Lt 5 mmmmmmm
Weeeeeee ingekua hivo raha sana
Ni kweli mkuu, mimi nina Toyota Corolla 110 engine 5A niliingiza 2011. Mishe zangu nyingi ni Mikocheni na makazi ni Kisarawe. Mafuta ya 10K naenda Mikocheni na Kurudi Kisarawe vizuuri na AC juu na foleni za Dar
Mikocheni - Kisarawe ni 30+km. So iende irudi ni 60 km. 1L/12Km fuel consuption.
Gari naifanyia service right on time na engine mbali na Oil na kubadili Air Cleaner, engine haijaguswa hadi leo.
Nimeenda nalo Mtwara mara mbili na pia safari moja ya Mbeya.
So kwa hiyo fuel consuption quite economical
 
hebu mumshauri akanunue magari mengine yanayotumia mafuta vizuri kma Corolla au IST
huko Iringa Morogoro Dodoma kuwa comfortability ni sawa na halihami barabara lakini kwa mafuta ni NO
GX Dodoma Dar km 450 ni lita 60 ulizia inatakiwa mtu mwenye pesa (1L= 8km)
Corolla au IST Dodoma Dar 450km ni lita 28 na yanabaki (1L = 18km)
Hiyo gx uliokua unaendesha wewe labda kama land cruiser gx.... Ila kama unazungumzia 1g-fe hiyo gari nna uhakika ni bovu....

Dar dom kwa engine ya 1g fe nzima kabisa ni lita 30 to 35 max...

Usidanganye watu kaka...

Ukiaverage hapo ni wastan km 13 kwa lita.
 
Iko hivi gari ni matunzo asikuadanganye mtu... Land cruiser ni gari ngumu sana lakini usipoitunza kwa maaana ya service on time....kuweka high quality spare parts ambazo ni expensive n.k usitegemee litadumu. So uelewe hilo.. Kuhusiana na mark 2 110... Ni gari ina engine imara ikitunzwa... Vitu kama shockups bush bearings n.k ni mambo ya kawaida kwenye gari.... Sasa kwenye suala la ulaji mafuta labda tuongee uhalisia tu... Bro kama huna hela ya mafuta utaipaki... Mjini kwa maana ya simama nenda au folen... Lina average 5 to 6 km per litre.. Ukiwa mikoani ambapo folen imepoa unapata hata 7 km per litre.... So ulaji mafuta pia unachangiwa na aina ya uendeshaji... Ukiendesha kisport lazma mshale wa gauge uanguke... Kwa ufupi ni hivi kama una hela za mawazo sijui mafuta ya elfu 7... Ukitegemea kwenda tegeta posta na kurud.... Tafuta gari nyingine kaka..... Hii inabidi uwe umejipanga.
 
Wakuu muda mwingine mbadilishe brands sio lazima toyota tu,kuna brands kama Mazda,Audi na Hyundai ziko vizuri tu kwa price na spare affordable kama Toyota
 
Iko hivi gari ni matunzo asikuadanganye mtu... Land cruiser ni gari ngumu sana lakini usipoitunza kwa maaana ya service on time....kuweka high quality spare parts ambazo ni expensive n.k usitegemee litadumu. So uelewe hilo.. Kuhusiana na mark 2 110... Ni gari ina engine imara ikitunzwa... Vitu kama shockups bush bearings n.k ni mambo ya kawaida kwenye gari.... Sasa kwenye suala la ulaji mafuta labda tuongee uhalisia tu... Bro kama huna hela ya mafuta utaipaki... Mjini kwa maana ya simama nenda au folen... Lina average 5 to 6 km per litre.. Ukiwa mikoani ambapo folen imepoa unapata hata 7 km per litre.... So ulaji mafuta pia unachangiwa na aina ya uendeshaji... Ukiendesha kisport lazma mshale wa gauge uanguke... Kwa ufupi ni hivi kama una hela za mawazo sijui mafuta ya elfu 7... Ukitegemea kwenda tegeta posta na kurud.... Tafuta gari nyingine kaka..... Hii inabidi uwe umejipanga.
Mkubwa nakuelewa sana
 
Hiyo gx uliokua unaendesha wewe labda kama land cruiser gx.... Ila kama unazungumzia 1g-fe hiyo gari nna uhakika ni bovu....

Dar dom kwa engine ya 1g fe nzima kabisa ni lita 30 to 35 max...

Usidanganye watu kaka...

Ukiaverage hapo ni wastan km 13 kwa lita.
Hapa ni lazima nitapata uhakika tu
 
Ni kweli mkuu, mimi nina Toyota Corolla 110 engine 5A niliingiza 2011. Mishe zangu nyingi ni Mikocheni na makazi ni Kisarawe. Mafuta ya 10K naenda Mikocheni na Kurudi Kisarawe vizuuri na AC juu na foleni za Dar
Mikocheni - Kisarawe ni 30+km. So iende irudi ni 60 km. 1L/12Km fuel consuption.
Gari naifanyia service right on time na engine mbali na Oil na kubadili Air Cleaner, engine haijaguswa hadi leo.
Nimeenda nalo Mtwara mara mbili na pia safari moja ya Mbeya.
So kwa hiyo fuel consuption quite economical
Ahsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom