Ushauri wa ulaji wa mafuta wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000

eliji

Member
Mar 19, 2020
6
8
Habari wakuu,

Naomba ushauri Wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000 ulaji wa mafuta na pia kama mtu anayo ya 2004 namba D iliyo nyooka tuwasiliane
 
Machine hii hapa, leteni hela.
IMG_20240111_164228.jpg
 
Ni kweli nimeingia hasara sana na hizo za kichina
Yes, nyingi ni za hovyo sanaa. Next time ukitaka rims za ukweli usiwe na haraka, kama huna budget ya kuagiza basi tembelea wale jamaa wanaouza spare used haswa kule shaurimoyo wale wanaokatakata magari, huwa wanakuwa na used ambazo ni OG zimevuliwa toka kwenye magari mengine au pia wao wanaleta toka Dubai.
 
Asante sana Mkuu baraka kwako
 
Back
Top Bottom