Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

Bado inabwia
Ni kweli mkuu, mimi nina Toyota Corolla 110 engine 5A niliingiza 2011. Mishe zangu nyingi ni Mikocheni na makazi ni Kisarawe. Mafuta ya 10K naenda Mikocheni na Kurudi Kisarawe vizuuri na AC juu na foleni za Dar
Mikocheni - Kisarawe ni 30+km. So iende irudi ni 60 km. 1L/12Km fuel consuption.
Gari naifanyia service right on time na engine mbali na Oil na kubadili Air Cleaner, engine haijaguswa hadi leo.
Nimeenda nalo Mtwara mara mbili na pia safari moja ya Mbeya.
So kwa hiyo fuel consuption quite economical
 
Na highway? Mwendo 60,70 mpaka 90 ikoje
Iko hivi gari ni matunzo asikuadanganye mtu... Land cruiser ni gari ngumu sana lakini usipoitunza kwa maaana ya service on time....kuweka high quality spare parts ambazo ni expensive n.k usitegemee litadumu. So uelewe hilo.. Kuhusiana na mark 2 110... Ni gari ina engine imara ikitunzwa... Vitu kama shockups bush bearings n.k ni mambo ya kawaida kwenye gari.... Sasa kwenye suala la ulaji mafuta labda tuongee uhalisia tu... Bro kama huna hela ya mafuta utaipaki... Mjini kwa maana ya simama nenda au folen... Lina average 5 to 6 km per litre.. Ukiwa mikoani ambapo folen imepoa unapata hata 7 km per litre.... So ulaji mafuta pia unachangiwa na aina ya uendeshaji... Ukiendesha kisport lazma mshale wa gauge uanguke... Kwa ufupi ni hivi kama una hela za mawazo sijui mafuta ya elfu 7... Ukitegemea kwenda tegeta posta na kurud.... Tafuta gari nyingine kaka..... Hii inabidi uwe umejipanga.
 
Snow inakufanya usiteleze sana kwenye barafu / njia zenye utelezi Kwa kuondoka na gia namba mbili,, sometime wanaandika 2nd hapo kwenye snow

ECT pwr hii inashikilia gia kwa muda kidogo ina shift at slightly higher rpm







Snow ni kutumia nguvu kidogo so ulaji wa mafuta utapungua na hiyo ECT means power gari itaongeza nguvu hivyo ulaji wa mafuta utaongezeka
 
Back
Top Bottom