Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

Gharama za kusafirisha na kodi hapa zinatubana sana Mkuu..
hasa mtaji wako ikiwa ni mdogo

Ndo maana nikasema inawezekana usiwe na faida kwako hususani zikitoka huku kwasababu utatumia hela ndefu kwenye mtaji alafu wateja wakashindwa kumudu bei. Ila kama una wateja wenye uhakika wa kulipa tozo na kubakiza cha juu, unaweza kutengeneza hela
 
Inaweza pata list aya bei za hiko tupate picha inakuwaje?
 
Nilishawahi kuifanya hii kazi ikanishinda njiani, ni karibu miaka 10 nyuma.

Kwa Dubai kuna mtaa unaitwa Bur Dubai, hapo ndipo kwenye maduka mengi ya vifaa vya computers na computers zenyewe mpya na used, hili ndio lilikua ndio chimbo langu la kwanza.
Na kwa Sharjah kuna mtaa flani jina nimelisahau ila naweza kukufahamisha kama ni mzeofu kwenye ule mji. upo karibu na border ya Dubai. suburi nijaribu kuukumbuka nitakupa jina lake. naweza pia kukupa connection na Agent niliokua nawatumia mimi kule kukurahisishia mazingira.

Na pia ndugu usuikisahau na Zanzibar pia bei zake ni nzuri, nakama huna mwenyeji naweza kukuunganisha na dalali mzuri tu aneweza kukupokea kule anayaelewa machaka mengi tu.
 
Habari wakuu.

Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla?

Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake.

Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia.

Kwa mzigo wa kutoka nje gharama za usafirishaji kwa Meli /Ndege zikoje?

Asante.
View attachment 1761981

iko ivi kama wewe una roho ndogo uwezi fanya hii biashara mana hasara ni kubwa hata lak 5 kwa siku na pia ina faida kubwa..mzigo kama una pesa za ukoo nenda dubai ila km unaunga unga nenda zanzbar ila unaweza enda zanzbar na usipate mzigo mana lazima uwajue wale wanaotoa mzigo dubai kuja zanzbar wao km wapo dub ai mnachati kabisa na picha wanakutumia na kma mzigo ndio unafika basi unapigiwa simu LAKINI MPAKA UPIGIWE SIMU UJUE WEWE NI CONTAWA KWELI SIO UNA MILION 2 AFU WAKUPIGIE SIMU NOOO na njia ya manunuzi ni NO TEST yaani unanunua bila kujaribu ukikuta mbovu juu yako japo utatoa ram na disk na vingine ukiuza unapata bado pesa ila lazima uwe mtaalam sana na computer sio unajua juu juu tu uwe umeiva asa kwenye ufundi..na pia mashine za uko ni new kabisa kwa muonekano ....na kuusu kutoa zanzbar kuja dar ni easy to siwezi sema apa karibuni ofcn SANGA KARIAKOO nipo aggrey na ndanda nauza computers but soon itakua nauza mazaga yote ya electronics..na kwa apa kariakoo najua anything hasa electonics na sehemu zote zinapotoka...

WhatsApp Image 2021-09-29 at 12.19.28 (1).jpeg

WhatsApp Image 2021-09-29 at 12.19.28.jpeg

WhatsApp Image 2021-09-29 at 12.19.29.jpeg

WhatsApp Image 2021-09-29 at 17.28.18.jpeg
 
iko ivi kama wewe una roho ndogo uwezi fanya hii biashara mana hasara ni kubwa hata lak 5 kwa siku na pia ina faida kubwa..mzigo kama una pesa za ukoo nenda dubai ila km unaunga unga nenda zanzbar ila unaweza enda zanzbar na usipate mzigo mana lazima uwajue wale wanaotoa mzigo dubai kuja zanzbar wao km wapo dub ai mnachati kabisa na picha wanakutumia na kma mzigo ndio unafika basi unapigiwa simu LAKINI MPAKA UPIGIWE SIMU UJUE WEWE NI CONTAWA KWELI SIO UNA MILION 2 AFU WAKUPIGIE SIMU NOOO na njia ya manunuzi ni NO TEST yaani unanunua bila kujaribu ukikuta mbovu juu yako japo utatoa ram na disk na vingine ukiuza unapata bado pesa ila lazima uwe mtaalam sana na computer sio unajua juu juu tu uwe umeiva asa kwenye ufundi..na pia mashine za uko ni new kabisa kwa muonekano ....na kuusu kutoa zanzbar kuja dar ni easy to siwezi sema apa karibuni ofcn SANGA KARIAKOO nipo aggrey na ndanda nauza computers but soon itakua nauza mazaga yote ya electronics..na kwa apa kariakoo najua anything hasa electonics na sehemu zote zinapotoka...

View attachment 1957369

View attachment 1957370

View attachment 1957371

View attachment 1957372
Safi mkuu so kama na hitaji kwenda Znz kuchek mzigo , wa laptop, inabidi niwe kama na kiasi gani kwa kiwango cha chini?
 
Nilishawahi kuifanya hii kazi ikanishinda njiani, ni karibu miaka 10 nyuma.

Kwa Dubai kuna mtaa unaitwa Bur Dubai, hapo ndipo kwenye maduka mengi ya vifaa vya computers na computers zenyewe mpya na used, hili ndio lilikua ndio chimbo langu la kwanza.
Na kwa Sharjah kuna mtaa flani jina nimelisahau ila naweza kukufahamisha kama ni mzeofu kwenye ule mji. upo karibu na border ya Dubai. suburi nijaribu kuukumbuka nitakupa jina lake. naweza pia kukupa connection na Agent niliokua nawatumia mimi kule kukurahisishia mazingira.

Na pia ndugu usuikisahau na Zanzibar pia bei zake ni nzuri, nakama huna mwenyeji naweza kukuunganisha na dalali mzuri tu aneweza kukupokea kule anayaelewa machaka mengi tu.
Vizuri mkuu .. share nasi hizo infos tafadhali , itapendeza !
 
Safi mkuu so kama na hitaji kwenda Znz kuchek mzigo , wa laptop, inabidi niwe kama na kiasi gani kwa kiwango cha chini?
inategemea na biashara yako mimi mara ya kwanza nilienda na lak 5 na apo nilirudi na desktop 3 complete nikaja dar lkn wakati nauzia geto temeke nikipost mtu akitaka namuuzia 250 so nikaenda mpaka nikafungua duka kariakoo apa ila imenichukua mwaka sasa ndio maana nikasema ni timing yako tu unaweza enda ukanunua hard disk za gb 500 kwa tsh 15000 au ukija dar unauza 25000 kwa jumla MTIANI UKO KUJUA WAPI UNANUNUA KWA BEI NDOGO MANA IZO DESKTOP ZANZBAR AWAUZI MADUKANI BALI NI MACHIMBO NA UKIFIKA KULE WENYEJI AWAKUONYESHI MACHIMBO MPAKA WAKUZOEE SANA AU UWE NA MTU AMBAE ANAYAJUA NA WANAMJUA UKO....IMENICHUKUA MWAKA KUWEZA KUJUANA NA WATU WA KULE NA KUJUANA NA WATU WA BANDALINI PALE POST SO NIKIFIKA PALE KAMA SINA HOFU JAPO SIENDI MARA KWA MARA KULE UKISHAJENGA CONNECTION NZURI WEWE NI KUPIGA SIMU TU...NA PIA USIWE MCHOYO YAANI ELA KAMA BUKU 20 USIONE TABU KUMPA DALALI ILI MAMBO YAENDE
 
Nimekupata vyema mkuu, shukrani sana kwa maelezo ya kina ..

Nitakuchek endapo nitahitaji mwongozo hapo baadae!
 
Vizuri mkuu .. share nasi hizo infos tafadhali , itapendeza !

Kama unataka kwa ajili ya kuuza kwa Zanzibar ni lazima ununue no test, ni kubahatisha mana unaweza kula hasara ila uwezekano wakupata faida ni mkubwa zaidi.
Kwa mfano : unaweza uziwa kila laptop Co i 3 kwa 150k kwa 10 zikakugharimu 1.5m, katika hizi nyengine unaweza kuta hazina ram, nyengine hazina Hard disk, nyengine zinahitaji matenenezo madogo nyengine hazifai kabisa, wewe naamini unawezaa kuuza kwa moja kunzia 400k, ukiweza kupata 7 tu kwenye 10 hukosi 2.8m
 
Shida ya biashara za malaki ni mauzo huwezi yapata chap chap kama wale wa faida za buku buku!
 
Shida kubwa ya mzigo wa zenj ni jinsi ya kuupata, Mana kama huishi kule lazima uwe na mtu wako anaefatilia, au uwe na maelewano mazuri na wauzaji kwa maana uwe mteja wao wanaokuthamini kitu ambacho sio rahisi mana wao hawatafuti wateja bali wateja ndio wanawatafuta wao.
 
Ohh! Umeeleza vizuri mkuu! Vipi kuhusu muonekano wa hizo Laptop kwa nje ukoje ? Zinamvutia mteja au zinaonekana used sana?
 
Shida ya biashara za malaki ni mauzo huwezi yapata chap chap kama wale wa faida za buku buku!
Hili pia ni wazo nalo!
Lakini pia kwa saaa demand ya Laptop ni kubwa ,kama bei yako itakuwa nafuu kidogo tu nirahisi kuziuza chap.
 
Shida kubwa ya mzigo wa zenj ni jinsi ya kuupata, Mana kama huishi kule lazima uwe na mtu wako anaefatilia, au uwe na maelewano mazuri na wauzaji kwa maana uwe mteja wao wanaokuthamini kitu ambacho sio rahisi mana wao hawatafuti wateja bali wateja ndio wanawatafuta wao.
Kuna vitu itakuwa wanavikwepa hawa!
 
Habari wakuu.

Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla?

Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake.

Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia.

Kwa mzigo wa kutoka nje gharama za usafirishaji kwa Meli /Ndege zikoje?

Asante.
View attachment 1761981

Welcome! Our services include:

  • Web design
  • Logo design
  • Online business or company registration
  • Airline and Bus ticketing (Domestic & International)
  • Passport and Visa Registration
  • Studying abroad programs
  • Online imports and export services
  • And other IT related services
 
Back
Top Bottom