Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Je, kwa sasa ps2 ni shilling ngapi?
1. Used one sh?
2. New one sh?

Asante
 
Nimesoma ilo somo lako vzuri na umetoa maelezo yakutosha safi kabsa mi ni fundi wa izo ps2 na ps3. Mi naweka games kwenye flash usb za ps2 na kubadlisha ps2 kutumia flash pia na.jailbreak ps3 ziwe zinatumia flash na kuinstall games kwny hdd yake ila ps3 inategemeana na model no.

Ili kuweza kui jailbreak if anyone interested with jailbreak call me 0715166540 my ofisi ipo kkoo mtaa wa lindi na msimbazi ukiulizia chriss utanipata.
 
nimesoma ilo somo lako vzuri na umetoa maelezo yakutosha safi kabsa mi ni fundi wa izo ps2 na ps3. mi naweka games kwenye flash usb za ps2 na kubadlisha ps2 kutumia flash pia na.jailbreak ps3 ziwe zinatumia flash na kuinstall games kwny hdd yake......ila ps3 inategemeana na model no. ili kuweza kui.jailbreak if anyone interested with jailbreak call me 0715166540 my ofisi ipo kkoo mtaa wa lindi na msimbazi ukiulizia chriss utanipata

Aisee mkuu mi nina biashara ya game za ps2 ila tatizo padi zake zinaharibika mapema. Hivi hauna padi origino au zimapatikana wapi na utazijuaje mkuu.
 
Habari zenu wana JF natanguliza shukrani zangu naomba kwa wale wazoefu wa bishara ya ps games watupe uzoefu na inalipa maeneo gani. Je, risk zake ni zipi na bei zake dukani system nzima ya PS game kwa wale wazoefu naombeni wawazo yenu.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 18 nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kwenu wadau nilikuwa nataka kufungua PlayStation center game ya watu wenye rika yote watoto hata watu wazima mtu mwenye experience nayo haniambie je mtaji at least uwe bei gani na vifaa vya PlayStation 3 vinauzwaje na changamoto zake ni vipi.

Ahsanteni maoni yenu ndio msaada kwangu.
 
Una akili dogo, vipi paper lilikuwaje? Subiri waje wenye utaalamu na hiyo kitu.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 18 nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kwenu wadau nilikuwa nataka kufungua PlayStation center game ya watu wenye rika yote watoto hata watu wazima mtu mwenye experience nayo haniambie je mtaji at least uwe bei gani na vifaa vya PlayStation 3 vinauzwaje na changamoto zake ni vipi.pia naomba ushauri jinsi ya kununua vitu amazoni nitahitaji nasikia PlayStation huko ni bei rahisi.nitafurahi kama mtanipa ushauri pia na msaada love you all.
 
Wakuu,

Naomba mnipe mwongozo, uzoefu, changamoto, ushauri n.k juu ya biashara ya kucheza games playstation2.

Mtaji wangu ni mdogo nataka nianze na console moja.

NB: Naomba nifahamishwe games nzuri za Ps 2 kwa ajili ya biashara na refreshment.
 
Nasoma Advance nataka nikaanzishe biashara ya kuchezesha games PS2 mkoani. Nina mtaji wa kuanza na console
Naombeni ushauri, mwongozo,changamoto n.k juu ya biashara hii.

Asanteni
 
Sina uzoefu wa kuchezesha games ila na deal na kuuza hvo vitu. Nicheck Ukihtaji hzo console ps2&3., game pads na accesory zake zote.
 
sina uzoefu wa kuchezesha games ila na deal na kuuza hvo vitu... Nicheck Ukihtaji hzo console ps2&3., game pads na accesory zake zote

PS2 complete unauza bei gani, na padi za ps2 unauza bei gan kwa padi moja ya origino na zile za kawaida. Na game za kuweka kwenye flash wauza bei gani kwa moja.
 
Back
Top Bottom