Wewe mdanganye tu, ajira ngumu kupatikana. Utatembea na bahasha za khaki zikiwa na certifictaes hadi zitageuka rangi na kuwa nyeusi na bado hujapata hata kibarua. Vumilia kijanaKazi std ni masaa 8 kwa siku x 5 days per week, hii hufanya kuwa jumla kuwa masaa 40 kwa wiki. Ukitakiwa ufanye overtime ni maximum 10 ours per week, hivo jumla maximum ni masaa 50 kwa wiki. Nje ya hapo ni unyonyaji na utumwa.
mkiambiwa wavivu mnasema mmetukanwa mnadharauliwa. hivi wewe kuamka saaa 11 asbui unaona ni tatizo? kurudi saa 2 usk unaona ni tatizo?? halafu hata kazi hujui bado ndo unajifunza, lakini unaanza na mtazamo hasi, ukirudi nyumbani saa kumi na nusu jioni unaweza kutuambia utakuwa unafanya nini???, au unaweza kutuambia kikubwa unachofanya weekend ambacho gharama yake ni wewe kukimbia kazi?.
iache hiyo kazi, itakufundisha kazi
mkuu nashukuru, nna softcopy yake na nitaanza kupitia taratibu.
.........haya,kuwa uyaone!!!yaani unatoka chuo tu unaleta pozi hivyo?*****,me naamka sa tisa alfajiri,ofsini natakiwa saa moja kamili.kurudi,nafika home sa nne(Kiluvya). Huu mwaka wa saba sasa(masters holder),am i a fool?nyie ndio mlikuwa mnatumia madesa chuoni na wala hamjui kutoboa ozone na mna wajomba kibao vyuoni!!!hvivi mungu,kwa nini ulimfanya huyu amalize chuo?angefeli,afanye maisha ya mtaa
naomba softcompy mkuu kama vipi ni pm aseee..
Hahaa haa!!! Hii kali mzee komaa nao tuu upate cha kuandika kwenye CV yako, chukulia kwamba bado upo shule. Mimi nipo kwenye hatua za awali za kujiajiri lakini still nafanya kazi za kuajiliwa kwasababu bado siko kwenye mazingira mazuri ya ku-take risk kwa 100% ila naamini maisha mazuri wanaishi watu walio jiajiri
.........haya,kuwa uyaone!!!yaani unatoka chuo tu unaleta pozi hivyo?*****,me naamka sa tisa alfajiri,ofsini natakiwa saa moja kamili.kurudi,nafika home sa nne(Kiluvya). Huu mwaka wa saba sasa(masters holder),am i a fool?nyie ndio mlikuwa mnatumia madesa chuoni na wala hamjui kutoboa ozone na mna wajomba kibao vyuoni!!!hvivi mungu,kwa nini ulimfanya huyu amalize chuo?angefeli,afanye maisha ya mtaa
Wewe si msomi?angalia mkataba wako wa ajira unasemaje (pamoja na sheria za kazi)kama kuna sehemu umekiukwa dai chako.Kama vipi utapoteza kila kitu.Soma na elimika.Wakuu mimi ni mgeni katika masuala ya ajira. Nimegraduate mwaka huu pale UDSM, na nimepata kazi wiki mbili zilizopita katika kampun moja pale Posta. Hawa jamaa wanataka nifike kazin saa moja asubuh na niondoke saa 12. Kulingana na eneo ninaloishi nalazimika kuamka saa 11 na kurudi nyumban saa 2 mpaka 3 usiku<MBEZI>. Pia wanafungua ofis mpaka jumapili, kinachosikitisha hakuna hata overtime pamoja kutoa mshahara kiduchu. Hivi wengine ndivyo mnavyofanya kazi hivi? Naomba ushaur katika hili.
[FONT=TimesNewRoman,Bold][FONT=TimesNewRoman,Bold]kwa upande mmjoja hii inaweza kutafsiriwa kama uvivu lakini kwetu sisi wenye utalaam wa kuongoza raslimaliwatu naona kama mwajiri anakiuka kanuni. Post ya kijana inaonesha hajaridhika na mchango anaoutoa na kile anachokipata. Kuanzia saa 1-12 jioni ni masaa kumi na moja kazini. Kulingana na sheria ya kazi mtu huyu anafanya ziada ya masaa 3kila siku. Na kwa vile anafanya siku saba za wiki anafanya kazi karibia masaa 77. Mwajiri anapaswa kuboresha maslahi na kulipa overtime.
Bila shaka mwajiri huyu ni muhindi hao ndo wanapenda kunyonya watu. Namshauri kijana apime upepo. Anaweza kutumia dhana ya "opportunity cost" kufanya maamuzi.
.........haya,kuwa uyaone!!!yaani unatoka chuo tu unaleta pozi hivyo?*****,me naamka sa tisa alfajiri,ofsini natakiwa saa moja kamili.kurudi,nafika home sa nne(Kiluvya). Huu mwaka wa saba sasa(masters holder),am i a fool?nyie ndio mlikuwa mnatumia madesa chuoni na wala hamjui kutoboa ozone na mna wajomba kibao vyuoni!!!hvivi mungu,kwa nini ulimfanya huyu amalize chuo?angefeli,afanye maisha ya mtaa
Underlined............Usifanye mchezo na kazi.kitaa ni noma! Kutafuta kazi ni kazi,na ukipata kazi usichoke kufanya kazi ,ukitaka kuona kazi we acha kazi uone kazi. Before u quite try!! Kitaa ni pachungu zaidi ya shairi.dont get lost easily.