Kwenye familia hata iwe kubwa vipi, mtungi unakaa minimum mwezi au miezi miwili.hata mimi nilishangaa mtungi hukaa zaidi ya mwezi mmoja na nusu
Hapana.
Mawazo ya watu wa daraja la 1, hiyo ni strategical thinking, unaweza kula aina ya vyakula kwa namna unayohitaji, pia ikitokea hitilafu yoyote option zipo nyingi.Nunua Majiko yote Ila kwenye matumizi Tumia Gesi na unapohisi Muda wa kujaza mtungi upo vibaya
Hamia kwenye umeme kwa wiki moja au mbili,hela ikishakaa sawa unaenda jaza mtungi wako gesi
maisha yanaendelea kwa kupikia gesi ila sikushauri uwe na Jiko la gesi peke yake wala pia siwezi
kukushauri uwe na Jiko la umeme peke yake,Nina uhakika hata Jiko la mkaa unalo na la kuni pia ikibidi
Kufupisha story unapokua una famlia na upo kwako sio kwenye nyumba za kupanga naongelea kwako
Majiko lazima yawe yote
1.La mkaa
2.La kuni
3.La Gesi
4.La Umeme
Haya majiko yote hapo juu hutakiwi kuyakosa kama kweli wewe una familia ukiwa kama baba/mama
hakikisha maswala ya jikoni umemalizana nayo isitokee sababu ya wewe kutopata chakula hapo home.
Weka picha sio lazima tu google muda unatopeaView attachment 1347209
wakuu kwa wale ambao bado mnatumia majiko ya umeme ya zamani kuna hiki chombo (induction cooker) hili linatumia umeme lakini ni mbadala wa jiko la umeme ambalo mmeyazoea.
matumizi yake ya umeme ni mdogo compaired na yale ya kawaida na chakula kinawah kuiva. yani kwa kifupi hamna energy inayopotea. Angalizo tu sio masufuria yote au vikaangio vinanafanya kazi kwenye hii. Kuna masufuria na vikaangio special kwa ajili ya majiko ya induction. maharage nusu saa tu unaunga. nyama zikienda sana dakika 15
picha ipoWeka picha sio lazima tu google muda unatopea
Kwani mitungi yote iko sawa? Bachelor unapika kila siku,unastahili tuzoKwenye familia hata iwe kubwa vipi, mtungi unakaa minimum mwezi au miezi miwili.
Mimi bachela natumia mtungi miezi sita. Napika kila jioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipia tangazo.View attachment 1347209
wakuu kwa wale ambao bado mnatumia majiko ya umeme ya zamani kuna hiki chombo (induction cooker) hili linatumia umeme lakini ni mbadala wa jiko la umeme ambalo mmeyazoea.
matumizi yake ya umeme ni mdogo compaired na yale ya kawaida na chakula kinawah kuiva. yani kwa kifupi hamna energy inayopotea. Angalizo tu sio masufuria yote au vikaangio vinanafanya kazi kwenye hii. Kuna masufuria na vikaangio special kwa ajili ya majiko ya induction. maharage nusu saa tu unaunga. nyama zikienda sana dakika 15
Uko maeneo gani mkuu unanunua 52,000, njoo dukan kwangu nauza 47,000 .Kijitonyama mabatiniJiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.
Sent using Jamii Forums mobile app
wapi nimesema nauza iyo kitu mkuu nimetoa ushauri tu kwa anayetaka ataenda tafuta kwa muda wake mwenyewe anapojua mwenyewe mimi hata huko sijui yanauzwa wapiLipia tangazo.
Aisee! Kuwa na jiko la umeme na gas ni familia bora!
... hesabu ni janga la taifa Mkuu; msamehe bure.Huoni kwa mahesabu hayo bado ges iko cheap???
Ndani ya miez mitatu
Gas-208000
Umeme-240000
Naongelea mitungi kg 15.Kwani mitungi yote iko sawa? Bachelor unapika kila siku,unastahili tuzo
Mkuu umenichekesha. Mimi hata naogopa kununua hiko[emoji23][emoji23]Kwani mitungi yote iko sawa? Bachelor unapika kila siku,unastahili tuzo
Hongera
Yeye kaongea kiujumla na wenye uelewa mkubwa wameelewa. Ambao hawajaelewa ni kama wewe na mwenzio mnaotaka kufafanuliwa kuwa umeme unatumika kuwasha taa, tv, fridge, decoder, kuchaji simu, redio, hilo jiko, etc wakati gesi hapa anapikia tu.... hesabu ni janga la taifa Mkuu; msamehe bure.
Asipoelewa hapa basiiii tenaNunua Majiko yote Ila kwenye matumizi Tumia Gesi na unapohisi Muda wa kujaza mtungi upo vibaya
Hamia kwenye umeme kwa wiki moja au mbili,hela ikishakaa sawa unaenda jaza mtungi wako gesi
maisha yanaendelea kwa kupikia gesi ila sikushauri uwe na Jiko la gesi peke yake wala pia siwezi
kukushauri uwe na Jiko la umeme peke yake,Nina uhakika hata Jiko la mkaa unalo na la kuni pia ikibidi
Kufupisha story unapokua una famlia na upo kwako sio kwenye nyumba za kupanga naongelea kwako
Majiko lazima yawe yote
1.La mkaa
2.La kuni
3.La Gesi
4.La Umeme
Haya majiko yote hapo juu hutakiwi kuyakosa kama kweli wewe una familia ukiwa kama baba/mama
hakikisha maswala ya jikoni umemalizana nayo isitokee sababu ya wewe kutopata chakula hapo home.
Je unajua kuwa viwanda vinalipa tariff ndogo kule watu binafsi.!jarib jiko la umeme wakupandishe tariff iwe ya kiwanda
la hasha tumia Induction Cooker, ya 2000 Watts inaivisha nyama (kilo moja) ndani ya dk 20 tu, iko fasta sana
inauzwaje kiongozijarib jiko la umeme wakupandishe tariff iwe ya kiwanda
la hasha tumia Induction Cooker, ya 2000 Watts inaivisha nyama (kilo moja) ndani ya dk 20 tu, iko fasta sana