Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

Hv tunaomba kujua ni kifungo gani kwa watu wa iphone maana nasikia hakuna uhuru kabisa, ufafanuzi please

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
redio unasikiliza online only na nyimbo ukidownload huwezi isikiliza kama kwenye android huwa tunatumia itune kuingiza nyimbo na hapa lazima uwe na computer na iyo program..... vilevile huwezi rusha nyimbo kupitia bluetooth kwa mtu wa android mwenye iphone mwenzio sana tu.... machache nayoyajua

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
ndio maana nimeinunua

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 

Kuna app unadownload nyimbo na kusikiliza free kama android.
Mambo ya kutumiana nyimbo kupitia Bluetooth ni mambo ya kizamani.
 
Kuna app unadownload nyimbo na kusikiliza free kama android.
Mambo ya kutumiana nyimbo kupitia Bluetooth ni mambo ya kizamani.
kipya kinyemi kaka sikua nafahamu vp redio

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Ulinunua shingapi iphone yako?

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Kwa apps zetu za kibongo hakuna inayouzwa kwenye iphone store,watu tunatumia jf,fb,insta,badoo etc hizo ni free bado kwa games apple kuna games kali balaa. Kwa storage ni wewe iko ya gb 16 mpaka ya gb256
ITV, Millard ayo zipo
 
Nilikuwa tayari nimeanda hela kwa ajiri ya iPhone 6 ila nimefuatilia hii maada kiukweli nimeahilisha sinunui iPhone tena nanunua kitu Samsung au huawei
 
Jaman nataka kununua simu mojawapo kati ya hizo...mwny kunijulisha kuhusu bei zake halisi kwa hapa Bongo na mwny ushauri wwte juu ya ipi ni simu bora kati ya hizo tusaidiane...
kati ya hapo mi nakushauri samsung A8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…