Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

hata mm napenda sana tumia iphone aiseeee

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Kwa ufupi hujui kuitumia Iphone. Hayo mambo yote uliyo yataja Iphone ndio kabobea.
Kwa mtu anaye tumia Iphone:Samsung ni mtihani.
Uzuri wa IPhone inadumu muda mrefu bila ya Matatizo labda uwe unabadilisha mitindo wa simu mpya.Iphone naiambia ifanye nini hainiambii nifanye nini.
 
Karibu katika Dunia ya a8. Ila hapa nilipo hata Kava nimekosa kariakoo. Ndo raha ya kuwa na kitu pekeyako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Binafsi nilipata shida kama ww kufanya choice ila nikaaangukia kwenye A8 na sijutii

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kibongo bongo nunua samsung maana unataka cmu upigie picha ubadilishe muonekano unaokuvutia kila wakat (customization)..
Ila kwa wazungu iphone kwanza ina safety ya privacy sana pia speed ya iphone huwez compare na misimu ya android...
In case of customization, free apps, cheap handset kwny manunuzi go to samsung
Ila kwa privacy, speed + heshima go to iphone

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Haijui achana naye!
 
Kivipi ulichokakutawaliwa Mkuu..?? Ninampango wa kuinunua hiyo iPhone 6s plus, Naomba kujua nn ulikichoka samahan sana kwa usumbufu..

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Reactions: efn

Mizik ad kwenye computer na computer iwe na itune #....chukua sumsung s8 mkuu iko poa sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...

Post sent using JamiiForums mobile app

Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...

Post sent using JamiiForums mobile app

Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...

Post sent using JamiiForums mobile app
Ila nimeshangaa unai dis iPhone na hiyo sijui simu gani unatumia maana post moja jinsi inavyokusumbua mpaka umeituma mara tatu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] dah..!!

Back fo the point, Jamii forums kwenye App Store ipo na link ni hii hapa chini na pia hata ukisearch inakuja, sasa sijui ulikuwa unaitafutia wapi!!

JamiiForums on the App Store
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…