Ushauri: Jinsi ya kujitoa kwenye uhusiano huu

rammmy

New Member
Apr 14, 2016
2
2
Kwetu tumezaliwa watano,wa kike wawili na wa kiume watatu na mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa.

Katika kukua nilijikuta nikivutiwa kimapezi na mdogo wangu wa mwisho wa kike ambae tumepishana miaka sita.Nikafanikiwa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi, tukawa tunafanya kwa siri. Hakuna mtu alieweza kugundua, mpaka hivi leo naandika bado tupo pamoja kimahusiano.

Nilipomaliza chuo nikapata kazi nje ya mkoa ambao familia inaishi nikajua ndo itakuwa mwisho wa mahusiano lakini mambo yamezidi kuwa tofauti. Nimejaribu kujiingiza kwenye mahusiano na wasichana tofauti lakini nashindwa kudumu nao kwani nakuwa kama nawaridhisha wao mi sihisi chochote,yaani sina hisia na wanawake wengine.

Nipo kwenye uhusiano na msichana mwingine, mzuri na anajiheshimu. Nampenda ila linapofika suala la kufanya mapenzi hisia zinakata. Kuna wakati inabidi nivute hisia kama nipo na mdogo wangu ili nipate kuridhika.

Naumia na nataka niachane na hii tabia nashindwa. Nitashukuru kama mtanipa ushauri jinsi ya kutoka kwenye huu uhusiano.
 
Kaka funguka Zaidi juu ya mahusiano yako na mdogo wako, naona habari haijakamilika.

Je tatizo ni wewe kuwa na uhusiano na mdogo wako?

Je tatizo ni kutokuwaridhisha mademu wengine kisa mdogo wako?

Je ulipo huko kikazi, upo na mdogo wako?
 
Hii haikubaliki kabisa na wakwanza kufanya maamuzi magumu iwe wewe mwenyewe...Chukia na kama kweli wewe ni mwanaume fanya maamuzi yale yanayoitwa ya kiume kwani kisa tu anatundu unaweza tembea na mama ako mzazi..Kama hapana...Na sababu hizo ulizosemea hapana kwa Mama sema hapana kwa mdogo wako aisee...Haifai ni wewe tu kuchukua uamuzi wakusema toka leo sintokuwa nae na sintofanya nae kitu tena..Kama uko diary andika kiapo hicho na utie sign hapo yaani unajicommit mwenyewe..Njia hii imenisaidia kuacha vitu vile vigumu kuacha..
 
ulianzaje kwa kubaka aau makubaliano mdogo wako anasemaje kuhusu hayo mahusiano..........wote mwaweza kwenda kuwaona wataalamu (cancelling) inahusu sana.......... huku nyie wenyewe mkianza kusitisha
 
Tayari umeshapata laana wewe, na huwa hakuna msaada kwenye laana na muulize mdogo wako hata na yeye kama yupo kwenye uhusiano hatakuwa tofauti na wewe.
 
ulianzaje kwa kubaka aau makubaliano mdogo wako anasemaje kuhusu hayo mahusiano..........wote mwaweza kwenda kuwaona wataalamu (cancelling) inahusu sana.......... huku nyie wenyewe mkianza kusitisha
Au kama utashindwa counselling then mpotezee kabisa huyo mdogo wako,itubu hii dhambi. M'Mungu anamsamehe mwenye kutubu kwa dhati..na utasahau tu ukiamua.
 
true love na mdogo wako hiyo duh! ni suala la kujiimarisha kisaikolojia,
 
Kwetu tumezaliwa watano,wa kike wawili na wa kiume watatu na mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa.

Katika kukua nilijikuta nikivutiwa kimapezi na mdogo wangu wa mwisho wa kike ambae tumepishana miaka sita.Nikafanikiwa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi, tukawa tunafanya kwa siri. Hakuna mtu alieweza kugundua, mpaka hivi leo naandika bado tupo pamoja kimahusiano.

Nilipomaliza chuo nikapata kazi nje ya mkoa ambao familia inaishi nikajua ndo itakuwa mwisho wa mahusiano lakini mambo yamezidi kuwa tofauti. Nimejaribu kujiingiza kwenye mahusiano na wasichana tofauti lakini nashindwa kudumu nao kwani nakuwa kama nawaridhisha wao mi sihisi chochote,yaani sina hisia na wanawake wengine.

Nipo kwenye uhusiano na msichana mwingine, mzuri na anajiheshimu. Nampenda ila linapofika suala la kufanya mapenzi hisia zinakata. Kuna wakati inabidi nivute hisia kama nipo na mdogo wangu ili nipate kuridhika.

Naumia na nataka niachane na hii tabia nashindwa. Nitashukuru kama mtanipa ushauri jinsi ya kutoka kwenye huu uhusiano.
Spare my time you moral outrage.!!!!
Ati ur sister in blood, man this shit ain't basic. Kwani wewe ni mjinga??????
 
mmh hii hatari, ushauri wangu kwako ni kutubu kwa kudhamiria na kujutia hiyo dhambi mbele za Mungu na uache, naamini Mungu mwenye haki atakusamehe! tena jaribu kunatafuta watumishi wa Mungu unaowamini wakuombee utokane na hyo roho ya uzinzi mana usipoangalia utamwaacha huo mdogo wako ila mwisho wa siku utakuja utembee na mwanao!
 
Mweleze Mdogo wako unayo waza na yeye lazima awae na mawazo hayo hayo, epuka kuwa naye faragha, hakikasha kuwa na watu wengine mnapokuwa wote pamoja
 
Laana hiyo na wazazi au ndugu wakijua sijui sura zenu mtaziweka wapi ibilisi anatukuzwa kupitia mambo yako na huyo dada yako kaeni muongee ifikie mwisho wa hayo mnayoyafanya maana ni ya aibu mno
 
Jamani hizi kitu zipo sana kwenye jamii, ni kuomba Mungu tu awalinde wanetu na haya majanga.

Pole sana mkuu, jaribu kufanya kama wadau walivyoshauri hapo juu, utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom