Ushauri: Jinsi ya kujitoa kwenye uhusiano huu

Ushauri: Jinsi ya kujitoa kwenye uhusiano huu

Pole nasikiaga ndugu ni tamuu muno sijui ni kweli au naomba jibu hapo?

Pole kwa kinachotokea hapa ndio maana naona kuna watu ukiwa na uhusiano na dadazao wanakuwa wakali Kumbe wao ndio wanakula.

Hiyo kitu kaa na mdogo wako mwambie kwamba ulikosea na ukasababisha na yeye pia kukosea weka mkakati mtambulishe kwa wifi yake na wewe akutambulishe kwa shemeji.

Anza maisha mapya
 
ImageUploadedByJamiiForums1460640835.499428.jpg


Soma hapo Walawi 18:9
Kaka umeshalaaniwa maandiko yako wazi.

Ili kuondoa laana hiyo unatakiwa uje kanisani uombewe na dada yako ili pepo la ngono litoke.
 
Spare my time you moral outrage.!!!!
Ati ur sister in blood, man this shit ain't basic. Kwani wewe ni mjinga??????
Mkuu unauliza jibu!! Hadi kufikia kutembea na Mdogo wake unamuona mzima? Huyu sio mjinga ni mpumbavu.si unajua Mjinga Mara ya kwanza ya pili mpumbavu
 
Kwetu tumezaliwa watano,wa kike wawili na wa kiume watatu na mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa.

Katika kukua nilijikuta nikivutiwa kimapezi na mdogo wangu wa mwisho wa kike ambae tumepishana miaka sita.Nikafanikiwa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi, tukawa tunafanya kwa siri. Hakuna mtu alieweza kugundua, mpaka hivi leo naandika bado tupo pamoja kimahusiano.

Nilipomaliza chuo nikapata kazi nje ya mkoa ambao familia inaishi nikajua ndo itakuwa mwisho wa mahusiano lakini mambo yamezidi kuwa tofauti. Nimejaribu kujiingiza kwenye mahusiano na wasichana tofauti lakini nashindwa kudumu nao kwani nakuwa kama nawaridhisha wao mi sihisi chochote,yaani sina hisia na wanawake wengine.

Nipo kwenye uhusiano na msichana mwingine, mzuri na anajiheshimu. Nampenda ila linapofika suala la kufanya mapenzi hisia zinakata. Kuna wakati inabidi nivute hisia kama nipo na mdogo wangu ili nipate kuridhika.

Naumia na nataka niachane na hii tabia nashindwa. Nitashukuru kama mtanipa ushauri jinsi ya kutoka kwenye huu uhusiano.
Hivi kwa nini huwa mnaomba ushauri mkiisha yakoroga, kwanini hukuomba ushauri kabla ya kumkwea huyo Mdogo wako? Hii laana itajirudia tu kwa watoto
 
Mmh.. Pole..
Lakini kata jongoo kwa meno. Mapenzi hasi
Kama hayo huwa ni shida kuachana. Tafuta gf mwenye tbs then fanya kupotezea kama ulikuwa ndotoni na yule shetani mwenzio mdogo wako!
 
Yawezekana baba yako au mama yako au wote wawili kwa pamoja walishiriki dhambi kubwa kama hizi
. Walioana au kupeana mimba wakiwa kwenye mambo Ya utawa au upadre kwa upande wa RC
. Mmoja kati ya mzaz wako alienda kwa mganga ili apate utajir na alipewa mashart ya kushiriki tendo na ndg wa damu.
. Ktk maisha ya familia yenu ya baba au mama wanaagano na nguvu za kishetan,
mshana jr kiboko ya magagula ukuje huku
 
Ni kuomba tu kwa M/Mungu toba ya kweli akusamee nawe utakuwa huru katka icho kifungo.....confess
 
" ....life is an art of letting go.."

Kijana, acha huo uhusiano na mdogo wako ufikie mwisho.
Akili na fikra zinapaswa kuingoza mwili na hisia.

1. Are you proud of this relationship with your blood sister?
2. Can you stand in front of your parents and relatives and tell them that you are in love of with your sister?
3. Can you stand the shame when this is discovered?
4. Do you see any honour, future and pride in this relationship?
5. Is this how you want to live your life?

Incest don't have any good end result......
 
Hivi ni muumin wa imani ipi wewe? Ama kweli, "Mlee mtoto katika njia impasayo kwani hataiacha hata atakapokuwa mzee". Mdogo wako wa damu?
 
a problem starts as an embryo.. it grows bigger and bigger when you entertain it... you need a true salvation from deep down... changes in your attitudes and your soul..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom