USHAURI: Je, aache kazi aende BBT?

USHAURI: Je, aache kazi aende BBT?

Kaniambia mwisho wa training wanapewa mashamba ya pamoja
Daah mkuu usimtoe kwenye reli hapo mjini mambo ya IT ataweza kupata Network zaidi kuliko kwenye Kilimo labda ungesema una shamba umempa na zana za kisasa napo ningesema atafute wa kusimamia shamba yeye aendelee na mishe za mjini...
 
Out of watu 20k una chaguliwa afu uendi iyo nafasi si ange acha wapewe wengine
 
Back
Top Bottom