Ushauri faster

Fundifundisho

Member
Jan 11, 2011
77
18
Jamani nina rafiki yangu anaomba ushauri kuwa ana demu wake wanapendana mda mrefu ila hawajawahi ku sex hata siku moja,
kila wakipanga kukutana ili wa-sex demu anakuwa na visingizio kibao,
japo huwa mkarimu kwa mambo mengi,bado hataki kuwa muwazi kama anampenda au hampendi,
pia jamaa amegundua kuwa huyu demu ana ukaribu sana na jamaa mmoja wa hapa mtaani,.
Hivo anaomba ushauri afanye nini juu ya huyu binti?coz wanatoka pamoja ila demu hataki ku-do.
 
Bwana mdogo iko hivii, ku-do sio lazma kwenye mahusiano km mna malengo unless jamaa mambo flani anataka apige aende, na kama ana wivu na huyo jamaa si amwambie mtoto kuwa anamaindi huo uhusiano wake na jamaa?mtoto akielewa akapunguza hayo Mahusiano na njemba basi ajue anapendwa but binti akiwa kauzu na kung'ang'ania njemba lake basi jamaa ajue hana kitu hapo aendelee zake na ustaarabu mwingine
 
aendelee tu kuleta mapenzi ya kwenye isindingo,wengine wanakula!mwambie akomae,atajua aendelee au asepe
 
Badili Tabia amesema kweli kabisa upendo wa kweli si lazma kuvuana chupi,ni zaidi ya hapo hivyo kaka aendelee kuwa na subira...kimsingi afuate ushauri alioambiwa wa kumchunguza huyo kaka wa mtaani isije kuwa wanashare
 
mwambie kama demu hataki kufanya mapenzi naye basi aachane naye,mapenzi ya kitelenovela hayana mpango. .mwambie avunje amri ya sita ili motoni tuwe wengi.Nalog off
 
Badili Tabia amesema kweli kabisa upendo wa kweli si lazma kuvuana chupi,ni zaidi ya hapo hivyo kaka aendelee kuwa na subira...kimsingi afuate ushauri alioambiwa wa kumchunguza huyo kaka wa mtaani isije kuwa wanashare
Hivi kuna mapenzi kwa wakati huu tuliopo ya kutoka out tu na kuuza sura bila kubanduana? Nalog off
 
Hivi kuna mapenzi kwa wakati huu tuliopo ya kutoka out tu na kuuza sura bila kubanduana? Nalog off

hakuna mapenzi ya aina hiyo. Siku hizi lazma uzame chumvini mapema, mapenzi ya siku hizi hayana gerentii.
 
Umeona eh! Halafu mtu anaanza kukupiga kalenda,mie siukubali ujinga huu. Nalog off
Huyo rafiki yako anaishi kwao ,kwa dada yake au kwake? kwasababu hilo ni ni suala muhimu sana linalo affect mfumo wa kufikiria.
Na hilo ni ni miongoni mwa vitu vinavyomfanya mdada afikirie how secure she will be with you after. Na kwa mdada wahivi obvious ana fikiria ahead, So nikweli anaweza kuwa anampenda sana ndo maana wanakubaliana na kupanga lakini hatokei.
Kinacho tokea hapo mdada anapata muda wa kufukiria vizuri what will happen next kama akifanya walicho kubaliana a while ago anaishia kpanga visingizio vipya maskini.

So mdada kama ana upendo wa kweli kwa jamaa anacho fanya ki ku buy time ili jamaa arekebishe tatizo lililopo, ila jamaa yako asipo jigundua na kurekebisha ndo hivyo aliishia kushika pembe, dada anasepa huyooooo

So kama nikweli rafiki yako yumo kwenye kundi hili basi mdada anamzidi mawazo na hawezi kumkonvince enough so atafute mtu mwingine amabye atleast wanalingana mawazo otherwise atasubilia sana hadi uchaguzi utafika
 
hakuna mapenzi ya aina hiyo. Siku hizi lazma uzame chumvini mapema, mapenzi ya siku hizi hayana gerentii.

Washawasha,Mzee na wengine mnaoshauri kijana akazane ale mzigo,sasa akija Reverend kwenye uzi huu si atawatia bakora?
Nalog off (source:Washawasha).
 
Back
Top Bottom