Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie mawazo kwenye mambo yafuatayo:-
- Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar ikiwezekana na wastani wa bei zake.
- Makadirio ya chini ya kima cha mtaji.
- Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar ikiwezekana na wastani wa bei zake.
- Makadirio ya chini ya kima cha mtaji.