'Ushauri best' uliowahi kupewa......

dah kwa kweli hii thread inaweza kutusaidia wengi sana..
tusubiri wengine waje aisee
 
My former IT-software teacher, who also up to this day remains to be my coach, mentor and a close friend ambaye ni mhindi ambaye alikuja US toka India akiwa student na hohehahe na sasa hivi ni millionaire hapa Brooklyn, aliwahi kuniambia kuwa :people who utilize their brains to the fullest and wisely become successful. He also told me that, his brain, your brain and my brain may weigh many ounces more than the president of the US, Bill Gates or Steve Jobs, however the difference is based on the fact that these people are smart and became successful because they were able to wisely utilize their brains to the fullest. So he'd always push and challenge me not to settle for less and work very hard during his class and anything I do in my life. I really appreciate his advice sababu imenisaidia sana kimaisha, kikazi, kifedha, etc.

"Don't let anybody tells you that you can't do what you aspire to be" Michael Jordan

mkuu umenigusa sana na huo ushauri uliopewa
nakubaliana nao kwa asilimia 100...
 
Ahsante the Boss kwa thread hii. Binafsi nimeshapewa ushauri wa aina mbili toka kwa watu watatu tofauti. Hadi leo ingawa niliwachukia wakati wananipa lakini leo huwa naufurahia kuwa ulikuwa the best ever.

1. USIGEUKE NYUMA KUTAZAMA HISTORIA YA UHUSIANO WENU, UTASHINDWA KUCHUKUA UAMUZI. Ushauri huu nilipewa na jirani yetu ambaye nilikua namchukulia kama kaka mkubwa enzi zile niko tineja. Nilikuwa katika mahusiano ya mapenzi lakini crisis ikatokea katika uhusiano na mambo yalikua yana escalate kifamilia za pande zote mbili: situation ilikua inahitaji break up tu kwa best interest ya pande zote mbili. Moyo wangu ulikua mzito sana kumuacha gfriend wangu kila nilipokuwa nikifikiria tulipotoka na tuliyopitia pamoja na ndipo nilipopewa ushauri huo. Ni ushauri ambao leo nautumia sana ninapokutana na situation ya kufanya uamuzi mgumu. Ingawa ninapofanya uamuzi roho huuma lakini hupiga moyo konde na kutizama my best interest tu (hata kama naweza onekana niko selfish at times) Thanks to my home boy kwa kunipa ushauri huu ingawa miaka ile nilikuchukia sana uliponiambia maneno hayo.

2 NIACHE, PLEASE TAFUTA MSICHANA MWINGINE, YOU DON'T DESERVE ME AND I DON'T DESERVE YOU. Ni ushauri (ndani ya kibuti) niliopewa na waliowahi kuwa magirlfriend wangu wawili kipindi cha nyuma. Wote tulidumu nao kwa kipindi kifupi sana na wote nikaachana nao kwa sababu tofauti ntatoa sababu ya kuachana na mmoja, mmoja baada ya kupewa umbea na rafiki zake about me ambao haukuwa kweli na mimi nikawa najitahidi kumshawishi my girl anielewe kuwa that was not true lakini kwa dharau akanijibu vile. Lilikua ni pigo la mwisho ambalo sikuwa na jibu la kushawishi tena. But leo hii I'm glad alinipa ushauri (kibuti) hicho kwani nilikuja kupata the best choice zaidi yake.

dah ya kwako kwa kweli inagusa moyo....
 
mimi namkumbuka jamaa mmoja anaitwa Leonidas aliyenishauri kuendelea na masomo baada ya baba kufariki.amen
 
"...kua uyaone! "

hand-on-head.jpg

...wangapi mshaambiwa maneno haya?
...'maneno' mengine sijui ni ushauri au laana, ...The Boss nisamehe na mapicha yangu kaka..najaribu kufikisha ujumbe ki mbu-mbu.

mbu be free tu kuchangia hata na picha....
hiyo 'kua uyaone' tumeambiwa wengi aisee
na kweli unayaona hatimae lol
 
Kuna mlezi wangu aliwahi niambia ni 'bora kunyamaza kama huna chema cha kuzungumza' sababu pamoja na kuwa mvumilivu lakini huwa nikilipuka, nalipuka kimadharau

Alinisoma akaniona mkimya, mwenye hasira na napenda u'perfect

Kuna member alizingua humu JF nika'comment kitu, Invisible akanambia ni bora kuacha tu
 
images
.....kuna wale wanakupa ushauri kisha wanamalizia na "ipo siku utanikumbuka wewe!"
binafsi sikumbuki hata walinishauri nini aisee, ...nakumbukia hiyo sentensi yao ya mwisho tu.
'very disturbing'
 
images
.....kuna wale wanakupa ushauri kisha wanamalizia na "ipo siku utanikumbuka wewe!"
binafsi sikumbuki hata walinishauri nini aisee, ...nakumbukia hiyo sentensi yao ya mwisho tu.
'very disturbing'

ha haaaaa
mostly sio kweli ni vitisho tu....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
mimi kuna mtu.mwanamke mtu mzima aliniambia
'mwanamke hata awe na umri gani na awe amesomea nini
hana tofauti na mtoto mdogo.....sijasahau aisee
mpaka leo naona its true ingawa siku ile nilishangaa sana hasa ukizingatia na yeye ni mwanamke...
 
Aisee kuna jamaa nawakumbuka sana wamenipa ushauri niache kula kilauri kwa madai kitanipeleka pabaya lakini mpaka saa hizi baadhi yao nimewapiga tambo kubwa sana kimaisha. Kilauri Oyeee!!!!
Pia nakumbuka na nautumia sana ushauri niliopewa na bimkubwa wangu" know when to say stop and say no" thanks Mzaa Chema
 
otherwise?????
mbona hujamalizia sasa?

The Boss
Duh ok, here we go then

"otheriwse utapika misosi yote unayoijua, utawatoa outing and/or kuwagharamia marafiki zake na ndugu zake wote, including kissing mawifi na wakwe as**es, or even utaenda kwa waganga but ultimately the outcome will be the same!!"

I guess in summary what she was saying is I should never change the essence of who I am in an attempt to get or keep a man
 
sasa kumbe uliacha yote hayo....better now ....
 
"You have special talents and abilities.... just moderate your expression, in two years you will be ina different world" - My mentor Bob Judd, a business management consultant who changed my life

In just 15 months, everything changed in my life!!
 
15 months?
seriously?....that is awesome....
 
Mbu,Lizzy na Kongosho, kua uyaone ni neno ambalo tumelisikia in so many different words and expressions kiukweli! Na nakubaliana nalo. Kuna vitu nilikua nikiviona ama kuviota 20, 10, 5 yrs ago ambavyo sasa nimebadili mtazamo completely juu ya vitu hivyo. Kuna vitu nilikua sielewi wazazi wakivichukulia maamuzi, ama mtazamo wao na I thought I wld be smarter than them, only growing up to realise they were actually smarter than I and try to do some stuff their way. Ni kweli,ukikua unayaona. What worried me then is on the bottom of my list, kitu kilichonifundisha 'enjoy the present day, tomorrow has its own worries anyway!'
 
Lucky me,nina watu wa karibu wananonipa ushauri ambao almost always works. Bt 3 mainly:
1 Mama, kwa kusema draw inspiration from even negative situations. There is something good in about everyone and everything if u look closely enough. Kwa mfano u can rise above hate, kama unajiskia mwalimu anaku-victimize, do ur thing hadi mwl akose pa kupumulia. The best inspiration is when pple don't blv u can do something nice, outshine them by doing exactly that! Mwisho wa siku najikuta hata kama ni msiba, I still am nt gonna drown in my sorrow
2 hii nadhani ilikua signature ya Maty humu JF, if u love something let it go. If it comes back, it is urs bt if it doesn't then find it and kill it ( I wouldn't have killed it though my gun is still loaded,lol). It worked out really well, niliiona hii wakati napitia wakati mgumu kwenye uhusiano. I played the seat and watch game (with the guidance of my one very good friend) na blv me, u stop chasing the butterfly and it will come to ur shoulders. If it doesn't basi tena huhitaji kukasirika,after all u didint waste ur breath!
3 nikiwa high school, after a big fight na mdingi kuhusu combinenga ya kuchukua kulikua na alumni. Inspirational speakers waliingia kila class na kuongea na wanafunzi. My class tulikua 12 pple,akaja mama prof mmoja na nilimuuliza potential courses za kusoma. Alinipa tip abt the upcoming course na nikaiweka kichwani. Nilipokuwa nafanya applications mdingi hakunielewa tena,neither did my bros. Mwisho mama akanikutanisha na mzungu mmoja, we chatted abt it na nikaona niko sawa,nikajilipua. Nikiwa 2nd year kakangu mjuaji sana aliniuliza 'ulistukiaje hii kitu?!'. Kila anaemjua that prof, she is so hated manake anaonekana mkatili, nikisema she is my role model and my inspiration hakuna anaenielewa. I owe mostly my career to her! Well,she doesn't know this,lol
 
interesting.......very interesting....
 
Back
Top Bottom