The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,885
- Thread starter
- #21
Anza kwanza kutuambia wa kwako halafu ndo tuendelee
Yaani wewe unataka tu wengine waseme wewe aahhh
Sema kwanza wewe
mimi ushauri best niliowahi kuupata nilipata kwenye kitabu kimoja
kinaitwa 'what they dont teach you at Harvard Bussiness school...'
sijui nieleze nini but kila kilichoandikwa humo nilikuwa nakiamini asilimia mia moja
na niliona kama mwandishi kazungumza yaliyo kichwani mwangu....kilinipa
confidence ambayo imenisaidia sana so far