'Ushauri best' uliowahi kupewa......

almost yes... Ni kama I have some potential that I am affraid to unleash and I need to be reminded. I am a very shy person... lol
Ila ya mume wangu it is more about situation that I see as unresolvable, ananambia hivo kwa maana ya : ukiamua kuchukulia poa itauma at first but later utaona poa tu. whereas my mum ni more like: even if you think you can't decide and you will be able to... does it make sense?

you are so lucky kupata mama wa hivyo...
mimi mama yangu hapendi ni take risks....kwa hiyo
siku zote atani advice the safe route.....
so most of time nafanya opposites na ushauri wake....nikimsikiliza tu huwa najutia.....
 
Katika shughuli zetu za kimaisha huwa tunakutana na watu mbalimbali\
ambao kwa nyakati tofauti huwa 'wanatushauri' jambo moja au mawili
katika masuala ya maisha kwa ujumla....iwe mapenzi,maisha na mengineyo....

most od times wakati unapewa huo ushauri unaweza kuwa hukujali saana
au hukuamini huo ushauri au kuutilia umuhimu....lakini through experience baada ya mda fulani
unagundua' dah....kumbe ule ushauri alionipa fulani' aiseee ulikuwa wa maaana mno na umekusaidia saaana
kwenye mambo yako.......

sasa leo ningependa watu tu share 'the best advice uliyowahi kupewa' iwe kwenye mapenzi au maisha tu kkwa ujumla

ushauri ambao kila mara unajikuta unaukumbuka sana na una shukuru kuupata...na ikiwezekana

kumtaja aliekupa huo ushauri humu kama ni ndugu,au rafiki au ni kitabu tu ulisoma au ni hapa jf uliona mtu kasema...

so people....what is the best advice you have ever received????????????

mkuu kutaja ushauri ulio kuwa mzuri , na mtu aliye shauri, ni kama kutoa siri zako. ndo maana watu wanaishia kusem eti mara hawaombi ushuri , wanatoa tuu,..... nk.

unaweza kutoa wewe kwanzza? weka shuhuda yako wengine wanaweza kufuata
 
[/B] mkuu kutaja ushauri ulio kuwa mzuri , na mtu aliye shauri, ni kama kutoa siri zako. ndo maana watu wanaishia kusem eti mara hawaombi ushuri , wanatoa tuu,..... nk.

unaweza kutoa wewe kwanzza? weka shuhuda yako wengine wanaweza kufuata

mkuu hebu pitia page zote usome
mbona watu wamechangia vizuri na mimi mwenyewe nimechangia
 
[/B] mkuu kutaja ushauri ulio kuwa mzuri , na mtu aliye shauri, ni kama kutoa siri zako. ndo maana watu wanaishia kusem eti mara hawaombi ushuri , wanatoa tuu,..... nk.

unaweza kutoa wewe kwanzza? weka shuhuda yako wengine wanaweza kufuata
Sasa siri gani unatoa na wewe?Kwani kasema tutaje majina na kutoa details zote zinazohusiana na huo ushauri? Ni kiasi tu cha kusema "rafiki yangu alinishauri kujenga kabka ya kununua gari" tu basi. Ot doesn't have to be "Naitwa Musa Kijiwe, nilipokua nafanya kazi TRA nilipiga dili la mil. 50 nikataka kuvuta mchuma wa nguvu.Ila rafiki yangu Juma Pemba tuliekua tunafanya kazi ofisi moja akanishauri niachane na gari nijenge kwanza.Nikanunua kiwanja pale Mbuyuni nikaanza kujenga. Mpaka leo namiliki nyumba ya mil. 120 na gari tatu. "
 
lizzy inabidi tukuajiri humu jf uwe unafanya kazi kama hii ya
kuwaelewesha wasioelewa hizi threads aisee lol
umenichekesha but thanx aisee lol
 
Na vipi unawachukulia? lets say wako right kwa wanachokichukia kutoka kwako?

Jibu kwa ufasaha , leo lawyer niko kwenye mood ya mjadala

Nawaonea huruma.Ningekua naweza ningewaambia wanivumilie tu maana sina mpango wa kubadilika anytime soon.
 
Duh ulishauriwa kuwanga nini?
Ushauri nao ni siri? Ndo maana kuna mtu nilimkuta anataka na kula karatasi eti anaficha mwaka wa kuzaliwa.

[/B] mkuu kutaja ushauri ulio kuwa mzuri , na mtu aliye shauri, ni kama kutoa siri zako. ndo maana watu wanaishia kusem eti mara hawaombi ushuri , wanatoa tuu,..... nk.
 
lizzy inabidi tukuajiri humu jf uwe unafanya kazi kama hii ya
kuwaelewesha wasioelewa hizi threads aisee lol
umenichekesha but thanx aisee lol

Hehehehhe,ila mniwekee ulinzi maana watu hawachelewi kuniita mnoko na kuanza kunivizia PM.
 
huwa sisahau haya ni maneno niliambiwa na rafiki yangu mpenzi kipindi fulani,ni vizuri kumpa mtu nafasi na muda kuchagua na kufanya yale anayoamini ni sahihi ili aweze jifunza zaidi.
 
Katika shughuli zetu za kimaisha huwa tunakutana na watu mbalimbali\
ambao kwa nyakati tofauti huwa 'wanatushauri' jambo moja au mawili
katika masuala ya maisha kwa ujumla....iwe mapenzi,maisha na mengineyo....

most od times wakati unapewa huo ushauri unaweza kuwa hukujali saana
au hukuamini huo ushauri au kuutilia umuhimu....lakini through experience baada ya mda fulani
unagundua' dah....kumbe ule ushauri alionipa fulani' aiseee ulikuwa wa maaana mno na umekusaidia saaana
kwenye mambo yako.......

sasa leo ningependa watu tu share 'the best advice uliyowahi kupewa' iwe kwenye mapenzi au maisha tu kkwa ujumla

ushauri ambao kila mara unajikuta unaukumbuka sana na una shukuru kuupata...na ikiwezekana

kumtaja aliekupa huo ushauri humu kama ni ndugu,au rafiki au ni kitabu tu ulisoma au ni hapa jf uliona mtu kasema...

so people....what is the best advice you have ever received????????????

My former IT-software teacher, who also up to this day remains to be my coach, mentor and a close friend ambaye ni mhindi ambaye alikuja US toka India akiwa student na hohehahe na sasa hivi ni millionaire hapa Brooklyn, aliwahi kuniambia kuwa :people who utilize their brains to the fullest and wisely become successful. He also told me that, his brain, your brain and my brain may weigh many ounces more than the president of the US, Bill Gates or Steve Jobs, however the difference is based on the fact that these people are smart and became successful because they were able to wisely utilize their brains to the fullest. So he'd always push and challenge me not to settle for less and work very hard during his class and anything I do in my life. I really appreciate his advice sababu imenisaidia sana kimaisha, kikazi, kifedha, etc.

"Don't let anybody tells you that you can't do what you aspire to be" Michael Jordan
 
"...kua uyaone! "

hand-on-head.jpg

...wangapi mshaambiwa maneno haya?
...'maneno' mengine sijui ni ushauri au laana, ...The Boss nisamehe na mapicha yangu kaka..najaribu kufikisha ujumbe ki mbu-mbu.
 
"...kua uyaone! "

hand-on-head.jpg

...wangapi mshaambiwa maneno haya?
...'maneno' mengine sijui ni ushauri au laana, ...The Boss nisamehe na mapicha yangu kaka..najaribu kufikisha ujumbe ki mbu-mbu.

Hamna kitu nachukia kama hayo maneno...haswa pale msemaji anapokosa namna ya kupinga unachoamini na kuyatumia kuonyesha kwamba kwa umri wako huwezi jua kitu. Yani maoni/mawazo/imani yako imekaa kinjozi zaidi wakati yake imekaa kiuhalisia.Nachukia kwasababu huo msemo hua unasuggest kwamba wote tunafanana, hivyo mimi nisipokua kama yeye eg. (kubali partner mnyanyasaji, cheater, kua mkweli sana, kataa kuhongwa and the likes) nakua siishi kiuhalisia.

Ila ikiwa anaesema anamaanisha nijiandae kua surprised mbeleni naelewa maana tayari nishaona mengi ambayo sikutegemea wala sikuwahi kuyafikiria. . . including magorofa.Lolzzzz.
 
Sijajua Lizzy una umri gani.

kuna vitu ambavyo mtu anayekuzidi umri anakueleza lakini kutonana na experience yako may be limited unakuwa humwelewia au hukubaliani kabisa na anachokisema kwa wakati huo.
Na wakati unapinga hoja yake ni kweli you have your reasons kupinga hiyo hoja, and sometimes valid reasons practically.

Lakini baada ya miaka kadhaa unaweza kutana na case ulobishana na huyo mtu anayekuzidi umri na ukafanya uamuzi aliokuwa anashauri mtu mzima kwa wakati ule na wewe ulikuwa unaupinga.

As time goes na tunakuwa watu wazima, our judgement basis zinabadilika.

Naweza andika hata page 100 hapa lakini, its only time and your own experience that will make u see this. Sometimes mtu mzima anapokueleza na wewe huelewi jibu fupi la kuelezea hii scenerio ni haya maneno mawili ''kua uyaone''

Na huko kutokumjua mtu haswa ndio kuongeza pingamizi langu kwa watu wanaotumia huo msemo. Kwa kutonijua mimi hujui nimeshapitia mangapi, hivyo huwezi/huna ruhusu ya kuamua kwamba imani yangu inatokana na kuwa inexperienced kwenye jambo fulani kwasababu hujui. Hivyo ni muhimu watu wakaheshimu mawazo yaliyo tofauti na wao maana kitu ambacho ni obvious kwako chaweza kuwa sio obvious kwangu and vice versa.Hua napokea sana hizo hapa na nnatamani nimwambie mtu "I have been there so I know how it works" ila mwisho naona bora nipotezee tu maana muhimu ni mimi kujua msimamo wangu ulivyo na sio kuwaridhisha watu wengine kwa kuanguka kwenye wao.
 
Best Advice: "If someone wants to be with you they will, otherwise.................................... "
Person: my ma
 
Ushauri nao kumbuka recently ni wa sis wangu alonambia nikubali kusoma hapa ninaposoma since nilikuwa na two chances nilishindwa kuchagua. Wengi walinishauri niende kwingine (waki generalize kuwa elimu yao ina jina kubwa) baada ya kusoma hapa nilipo for some time wala sijutii uamuzi wangu.
 
Ahsante the Boss kwa thread hii. Binafsi nimeshapewa ushauri wa aina mbili toka kwa watu watatu tofauti. Hadi leo ingawa niliwachukia wakati wananipa lakini leo huwa naufurahia kuwa ulikuwa the best ever.

1. USIGEUKE NYUMA KUTAZAMA HISTORIA YA UHUSIANO WENU, UTASHINDWA KUCHUKUA UAMUZI. Ushauri huu nilipewa na jirani yetu ambaye nilikua namchukulia kama kaka mkubwa enzi zile niko tineja. Nilikuwa katika mahusiano ya mapenzi lakini crisis ikatokea katika uhusiano na mambo yalikua yana escalate kifamilia za pande zote mbili: situation ilikua inahitaji break up tu kwa best interest ya pande zote mbili. Moyo wangu ulikua mzito sana kumuacha gfriend wangu kila nilipokuwa nikifikiria tulipotoka na tuliyopitia pamoja na ndipo nilipopewa ushauri huo. Ni ushauri ambao leo nautumia sana ninapokutana na situation ya kufanya uamuzi mgumu. Ingawa ninapofanya uamuzi roho huuma lakini hupiga moyo konde na kutizama my best interest tu (hata kama naweza onekana niko selfish at times) Thanks to my home boy kwa kunipa ushauri huu ingawa miaka ile nilikuchukia sana uliponiambia maneno hayo.

2 NIACHE, PLEASE TAFUTA MSICHANA MWINGINE, YOU DON'T DESERVE ME AND I DON'T DESERVE YOU. Ni ushauri (ndani ya kibuti) niliopewa na waliowahi kuwa magirlfriend wangu wawili kipindi cha nyuma. Wote tulidumu nao kwa kipindi kifupi sana na wote nikaachana nao kwa sababu tofauti ntatoa sababu ya kuachana na mmoja, mmoja baada ya kupewa umbea na rafiki zake about me ambao haukuwa kweli na mimi nikawa najitahidi kumshawishi my girl anielewe kuwa that was not true lakini kwa dharau akanijibu vile. Lilikua ni pigo la mwisho ambalo sikuwa na jibu la kushawishi tena. But leo hii I'm glad alinipa ushauri (kibuti) hicho kwani nilikuja kupata the best choice zaidi yake.
 
Back
Top Bottom