Ushauri: Ana mgogoro wa muda mrefu na jirani yake

Ushauri: Ana mgogoro wa muda mrefu na jirani yake

Ingekua ni Mimi, nadhani ningeacha walau mita mbili kutoka kwenye ukuta wa nyumba ya huyo jirani mkorofi na kisha ningeweka ukuta.
Mkuu, ubaya hua haulipwi kwa ubaya. Na kosa huwa halifutwi kwa kutenda kosa tena.

Wengine ukiwafanyia ustaarabu wanajisifu kuwa huwawezi,dawa ni hio tu!.
 
Ni sahihi, huyo mwenye nyumba kwa nini asingejiwekea nafasi, anajenga aje hadi mpakani?
 
Ujinga mtupu unagombea ardhi ambayo kesho utazkwa kwayo angesogeza mbele angepungukiwa nn
 
Huyo mwenye nyeupe ni mkorofi maana alijua akijenga mpakani atamlazimisha jirani yake amuuzie
Hizi hua ni tabia za baadhi ya makabila nasikia wanalazimisha kuuziwa maeneo utake usitake unauza sasa wakat mwingine hukutana na wabishi
 
Dawa ya jeuri ni kiburi.
IMG-20200718-WA0045.jpeg
IMG-20200718-WA0044.jpeg
IMG_20200718_200832_087.jpeg
 
Mkuu, ebu achana na maisha ya "eti nasikia walisema"

Ndugu, nimejaaliwa kujenga Dar, pia nina maeneo mikoa tofauti hapa tz, hasa ukanda wa pwani. Ni mhanga wa migogoro ya viwanja sio kwa kusimiliwa!. Moro Makunganya nilibahatika kununua 3/4 ya heka 2006. Now nimebak na 1/4!. So andiko langu halina "eti"
 
Hongera sana mkuu...
Ebu ngoja tukae pembeni sisi ambao hatuja barikiwa kujua bei ya matofali na viwanja....[emoji4][emoji4]
Lakini umenikumbu shambali...
Kwamba hata wapumbavu huwa wanazeeka.
 
Hongera sana mkuu...
Ebu ngoja tukae pembeni sisi ambao hatuja barikiwa kujua bei ya matofali na viwanja....[emoji4][emoji4]

Allah akufanyie wepesi inshaallah. Tupo hapa kupeana uzoefu wa maisha kupitia visa tulivyokutana navyo, kupitia sie huenda wengine wakanufaika. "Africa humchagui jirani" omba Mungu umpate jirani mwenye hofu ya Mungu la sivyo waweza kuliuza eneo lako ukahama![emoji1787][emoji1787]
 
Ohhhh....
Nimekuelewa mkuu
 
Mkuu hiyo ni nyumba yangu na nilikuomba tu ushauri na wewe ukasema nijenge tu hivyo hivyo, naona umeleta na humu da! 🤦
 
Zamani nilisema nikiwa na kwangu basi nimemaliza ,ila changamoto za huyo jirani ,nilijikuta nachelewa kuhamia kwangu mpaka nilivyojenga fensi maana kila siku itakuwa vidole machoni
Tupe kisa mkuu, ilikuwaje?

Maana changamoto za majirani wa uswahilini ni tamthiliya tosha.
 
Back
Top Bottom