Ushauri: Ana mgogoro wa muda mrefu na jirani yake

Ushauri: Ana mgogoro wa muda mrefu na jirani yake

Kwa ukuta beam inaweza hata kufungwa kozi ya 6 au 8 ambako hafikia.
Lakini kwa kuimarisha ukuta zaidi hauoni abdu nondo zimesukwa?
Kuna aina mbili za force ambao ni Tension na ya pili ni Compression Force. Nguzo ni nzuri kwa kuwa zitasaidia kuhimili compression ila Beam ni muhimu kuzuia Tension.Tofali lina urefu wa 250 mm pamoja na motar,ukijenga line 10 ni sawa na 2500mm ambayo inapaswa kufungwa beam kuepusha crack. Kwa muktadha huu swali langu libaki lilivyo, kwanini hajafunga mkanda? Mgogoro wao sijauingilia
 
Picha inaonesha hajafika kozi ya 10.
 
Mkuu mimi naona yuko sahihi kuna Mabila ukipakana nao unaweza juta kununua sehemu ukasema bora upange dawa yao ni hiyo hakuna nyingine ...
Kuna wahaya hawa wakorofi sana ukipakana nao na bila kujenga fensi kila siku itakuwa mizozo na kupelekana serikali za mitaa ama mahakamani
Hao wanasema tu bado hawajakutana na majirani wakorofi
 
Hao wanasema tu bado hawajakutana na majirani wakorofi
Kabisa mkuu mie wala si mlaumu huyo jamaa kabisa tena naona kafanya uwamuzi sahihi ili kama jamaa waupande wa pili avunje nyumba arudishe nyuma .

kuna majirani ni watata sana ,yaan unaweza juta kununua sehemu ama ukataka kuuza uhamie mahali kwingine ,dawa ni kuzungusha fensi tuliii ,huna tabu na mtu
 
Mwenye nyumba nyeupe. Maana alishaomba jamaa amuuzie hata mita 3 ngoma ngum hadi wamefikia kufanyiana ubabe wa aina hio
Inawezekana wana visa vingine.

Ila yote kwa yote,awe mpole wakae wayamalize,

Wala asithubutu kwenda polisi au mahakamani.

Ikishindikana amtumie wazee wanaoheshimiana nae watu wazima waongee nae.

UJIRANI MWEMA NI JAMBO JEMA SANA KATIKA MAISHA.
 
Mwenye nyumba nyeupe. Maana alishaomba jamaa amuuzie hata mita 3 ngoma ngum hadi wamefikia kufanyiana ubabe wa aina hio
Hivi kwanini ujaze nyumba mpka kwenye mpaka,huyo jamaa ni bwege aliona wapi ujenzi ambao hauachi nafasi kwenye mipaka.
Kosa ni lake kwa ujinga wake
 
Back
Top Bottom