Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,957
- 1,431
Ni suala la Busara na Uungwana tu hapo.Sasa unataka umshauri nini wakati unaona ameshachukua hatua??
Vyote vikitumika kwa usahihi + kumtanguliza Mwenyezi Mungu mbele muhafaka unafikiwa tu
Ni suala la Busara na Uungwana tu hapo.Sasa unataka umshauri nini wakati unaona ameshachukua hatua??
Ila nalo neno, maana hii Dunia imebeba viumbe wa aina mbalimbali.mkuu utakuta jamaa amejalibu kila njia kupatana imeshindikana dawa ni hiyo kuna watu wana akili chafu sana dunia hii
Hatar sanaHii inaitwa bampa tu bampa
Spare our ribs mazeeHabar wana jamvi. Jamaa amekua na mvutano wa muda mrefu na jiran yake juu ya mipaka yao ya viwanja. Kutokana na mvutano huo jamaa kaamua kujenga fensi mwisho wa kiwanja chake. Je ni sahihi kwa maamuzi haya kama inavyoonekana katika picha hizi?View attachment 1510186View attachment 1510187View attachment 1510188View attachment 1510189
Jamaayako ni mpuuzi na anaakili za kitoto kabisa.
Yaani jamaa yako amesahau kwamba huyo jirani ndio wataishi nae hapi kwa miaka mingi na watoto wao watacheza pamoja..
Huo ugomviAnayejenga anatokea mkoa gani?
Umesema kweli ila sio wakati wote muda mwingine ili heshima iwepo unatakiwa kufanya ubaya zaidi.Ingekua ni Mimi, nadhani ningeacha walau mita mbili kutoka kwenye ukuta wa nyumba ya huyo jirani mkorofi na kisha ningeweka ukuta.
Mkuu, ubaya hua haulipwi kwa ubaya. Na kosa huwa halifutwi kwa kutenda kosa tena.
Niambie huyo aliyejenga huo ukuta ni mchagga sio? Nitakwambia kitu.Habari wana jamvi, jamaa amekua na mvutano wa muda mrefu na jiran yake juu ya mipaka yao ya viwanja. Kutokana na mvutano huo jamaa kaamua kujenga fensi mwisho wa kiwanja chake. Je ni sahihi kwa maamuzi haya kama inavyoonekana katika picha hizi?View attachment 1510186View attachment 1510187View attachment 1510188View attachment 1510189
Mwenye nyumba nyeupe. Maana alishaomba jamaa amuuzie hata mita 3 ngoma ngum hadi wamefikia kufanyiana ubabe wa aina hioNi Nani apo anaetaka ushauri,
Mwenye nyumba nyeupe au uyo aliejenga ukuta?
Haha unanikumbusha jamaa flani mjaluo , tabu tupu.Mkuu mimi naona yuko sahihi kuna Mabila ukipakana nao unaweza juta kununua sehemu ukasema bora upange dawa yao ni hiyo hakuna nyingine ...
Kuna wahaya hawa wakorofi sana ukipakana nao na bila kujenga fensi kila siku itakuwa mizozo na kupelekana serikali za mitaa ama mahakamani
Huyu aliyejenga nyumba MPAKANI KABISA ana mtatizo aidha ya kujua au kutokujua.Habari wana jamvi, jamaa amekua na mvutano wa muda mrefu na jiran yake juu ya mipaka yao ya viwanja. Kutokana na mvutano huo jamaa kaamua kujenga fensi mwisho wa kiwanja chake. Je ni sahihi kwa maamuzi haya kama inavyoonekana katika picha hizi?View attachment 1510186View attachment 1510187View attachment 1510188View attachment 1510189
Ukuta ambao huujenga wewe huwezi ukaufanyia modification yoyote, mtaishia mahakamani.Hyo anaejenga ukuta pimbi kweli Kama ni Mimi nisingeangaika ningetumia huo huo ukuta wa nyumba ya jirani nikuunganisha tu.