Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,028
Haya mambo ya kipuuzi huwa yanasababisha mpaka watu kulogana. Ningekuwa mimi hapo ningemuachia mita 2 na ningejenga fensi yangu. Wakati mwingine shari si njema sana. Na hayakuwa malipo ya wema kitu kingine ila ni wema.
Kuna kisa kimoja cha Arusha kati ya polisi mmoja na raia walikua wanagombea mpaka. Kesi nyingi raia kashinda zote. Polisi hakukubali, akamuita mganga toka Dar es Salaam. Mganga akaenda, akauliza "unatakaj?" Polisi akajibu "nataka afe" basi babu akafanya kazi yake.....Hamad...raia alipata ajali ya gari alivunjika vunjika karibu mwili wote lakini hakufa ajalini. Akakaa hospitali kama mwezi hivi...akafa.
Sasa ujinga gani wa kuwaacha watoto wako yatima kisa meta 2 za ardhi? Kimsingi meta 2 hazitoshi chochote cha maana...labda kaburi. Tafakarini jamani kabla ya maamuzi.