Ushauli wangu baada ya brother Philip kuchukua nchi

Ushauli wangu baada ya brother Philip kuchukua nchi

Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

1, afute uchaguzi
2, amwachie tundulisu haraka sana na wafungwa wote wa kisiasa
3, katika mpya
4, asifukue makuburi aanze upya kwa upendo mpya , sisi tumesamehe yote
5, ahakikishe watanzania wote wenye asili za nje wanakuwa raia rasimi
1, watanzania wenye asili ya ulaya, marekan, uarabun na India wote wanakuwa raia bila mashariti yeyote na waruhusiwe kumiliki ardhi waje wafanye uwekezaji kwenye taifa lao, kwa sababu hata tukiwazuia hawa bado ardhi tunawaudhia wageni hivyo si vyema
6, Abdul afungwe jela au atupwe porin kwenye wanyama wakali wengine wote wasamehewe ila huyu asisamehewe , kikwete asemehewe ila Abdul anyongwe katuangusha kabisa vijana
7, diaspora wawekewe mazingira mazuri ya uwekezaji na waje wawekeze
8, akamilishe yote kwa miaka 3 Kisha tume huru then uchaguzi

Asante mpango nakutakia majukumu mema

SAYUNI BOY
Mimi naona mafisadi wote wapigwe chuma kwa mkapa
 
Namba 4 na 6 sikubaliani na wewe.

Hatuwezi wasemhe hawa hadi wawajibike.

Makonda
Mwigulu
Mambo sasa
Nape
Jerry Slaa
Heri james
Sabaya
Murilo
Mafwele
Tulia Akson
Chalamila
Homera
Abdul
Mbowe huyu mzee lazima ahojiwe inawezekana wanachama wa chadema waliopotea anajua walipelekwa wapi.
Na wengine wengi...

Kumbuka kuna waru wamepoteza mmaisha,wamekua walemavu,wamefirisiwa,wamekimbia nchi ikiwa hao hawatachukuliwa hatua hakutakua na maana ya ukumbozi kwasababu bado watu hatutapona
Diamond
 
Huyu Beira kuna kipindi aliandika jambo hapa tukadai hana huo uwezo wa kitabiri jambo na litokee ila nmeanza kumuamini
 
Hiyo brother Phili atayechukua nacho asimamie Katiba mpya na uchaguzi wa haki Kisha apishe watu.Na sio brother Phili ni jeshi mtu Mona hawezi kutimiza lengo
Hatutaki utawala wa kijeshi maana wengi huanza kama wakombozi na mwisho huishia kuwa madikteta means tutarudi tulipotoka
Habari ya msamaha ni vyema aite familia za watu waliopoteza ndugu zao waseme wenyew wamesamehe kwako wewe hilo neno rahisi sana maana huna ndugu uliyepoteza
 
Back
Top Bottom