Ushamba: Simu za Gharama

Hiyo SPB shell umeipataje? Nipe maujanja maana kwenye Android market au Google play inauzwa Usd 14 na ushee.

kuna app inaitwa blackmart alpha!! apps zooote almost 80% unazoziona zinauzwa kwenye Google play! pale unazikuta cracked free!!! ... now nipo na shughuli baadaye ntakuja ku attach hiyo app! nimeicheki spb shell kwenye blackmart alpha ishakuwa craked ni free!
 
mimi nina kasimu kama ka lani tano hivi,
kana kila kitu na nakapenda sana.

ila nikipata ka bei kubwa zaidi nitafurahi sana.
 
natumia nokia e72 ya sh laki 5. Kwangu ni zaidi ya simu kwani mawasiliano yote nayapata instantly kwenye screen yangu. Nimeset email kwenye screen. natumia ovi maps. Nacheki hali ya hewa. Ninadownload na kuapload picha. Ina kamera nzuri. Ina keyboard nzuri, pana. Unaposema simu ya elf 50 kuwa na net sawa lakini ina ubora gani? Screen ikoje? Kama kweli mtu ana simu ya laki 8 halafu haitumii ipasavyo hilo ndio tatizo.
 
Mkuu hizo simu za gharama duniani kote zinanunuliwa majuzi China kulikuwa na fujo kwenye maduka ya Apple wakati wanazindua simu ya iPhone 4s watu wanagombania kununua.

Marekani, Ulaya, Arabuni, kote huko hizo simu za bei zina soko kubwa, kwanza makampuni ya simu hayategemei kabisa soko la Afrika.

Mkuu tunatofautiana kipato kwa hiyo kila mbuzi anakula kutokana urefu wa kamba yake.
 
mimi nina kasimu kama ka lani tano hivi,
kana kila kitu na nakapenda sana.

ila nikipata ka bei kubwa zaidi nitafurahi sana.

Huyu jamaa hanaweza kukwambia kwa nini usitumie simu ya laki moja halafu hizo laki nne ununue magunia ya mahindi.
 
simu ni function zilizopo, simt ya 50 elfu ina mambo machache, kwa mfano wenye simu ambazo ni smartphone zina kila kitu sawa na computer
 
kijana usikurupuke utaonekana mshamba wewe.......mi napiga hadi autocad ktk galaxy note yangu yani pdf. word,excel, kifupi kazi zangu zote naweza fanya ktk simu achilia mbali burudani kama mpira mi nachek live....sasa hebu niletee hiyo ya elfu hamsini uone kama itafanya hata kimoja hapa.....ebo!!!!
 
Labda tunatotfautiana kwenye definition ya ushamba
lakini kwa hili, kama una maana kuwa
"wewe huelewi kwanini watu wanafanya hivyo"ni sawa, na subiri na uwe tayari kuelimishwa.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
mimi kuna mdogo wangu alifoleni siku nzima wakati smart phone za kwanza zinatoka London, nilimshangaa sana na kuona kuwa ni utoto na hela zinamsumbua, ila taratibu, baada ya kunielewesha, mimi hunitoi kwenye smart phone tena, ila nina kasimu kangu ka kakupigia simu, hii nyingine ni ofisi, kama vile zamani briefcase.
Si vibaya ukawa open kujua, itakusaidia.
Bei si ishu, manake hakuna kazi nyinigne ya pesa zaidi ya kutumia na kukupa ahueni ya ugumu na complications za maisha, wewe na wanaokuzunguka.
 
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.
Kwenye hii simu nina Microsoft office 2010
Opera Mobile 10
Internet exploler
Radio
Currency converter ya kila fedha internet based SPB SHELL
facebook application
Twitter application
Myspace ''
Operating system yake ni Microsoft Windows Phone 7.5
Adobe reader
Bei yake kwa Dar 1.6 M
japo kwa sasa inaweza patikana hata kwa milion 1.3
na ina mambo mengi sana na kii kipana sana kama palm top.

MIMI BORA UNINYIME KOMPUTER ILA SIMU IWEPO TENA SIMU NZURI SANA HATA IWE YA 3M NITANUNUA.

mtoa mada huna hoby na simu au hujui pocket technology.
Hapa nadhan hoja si ushamba bali interest.

Hivyo ulivyotaja hapo nini manufaa yake? mwenyewe unajiona mjanja sana kumbe limbukeni. We yahani akili yako imehamia kwenye simu na hamna cha zaidi unachokipata toka huko zaidi ya kutongozea kina dada. Yahani mpaka unatoa milioni 1.6 kununua simu basi we ni mshamba kweli. Unadiriki kusema bora unyimwe computa kuliko simu? WATANZANIA wengi wanaona kumiliki vitu vya gharama kama simu ndo sifa na watu watamuona kuwa anapesa wakati anaungua jua tu. Ninyi ndo mkiingia kwenye serikali mnakuwa mafisadi kwa sababu ya tamaa na ubinafsi
 
kijana usikurupuke utaonekana mshamba wewe.......mi napiga hadi autocad ktk galaxy note yangu yani pdf. word,excel, kifupi kazi zangu zote naweza fanya ktk simu achilia mbali burudani kama mpira mi nachek live....sasa hebu niletee hiyo ya elfu hamsini uone kama itafanya hata kimoja hapa.....ebo!!!!

We acha kutudanganya hapa, nani asiyeijua autocad? kwanza laptop yenyewe tu ya 17" ni kazi kwa autocad inahitaji Big screen. Nyie ndo washamba yahani unakuta mtu maisha yake yote anafikiria vitu ambavyo havina faida kwa jamii na familia yake. Kijijini kwenu ndugu zako hata hela ya chumvi sabuni hawana leo eti unajitamba unamiliki galax, wazazi wako wanaishi kwenye nyumba ya udongo na imeezekwa na nyasi. Hapa mjini watu wanajidanganya sana.
 
Naungana na mwanzisha mada. Ni ushamba uliokithiri kununua simu ya mamilioni wakati hata msg tu kwenye simu hujui kutumia zaidi kupiga na kupokea simu. Kwa wenye mahitaji ya app zilizoko kwenye simu za gharama, nunueni hata simu ya bilioni moja ni sawa kabisa kulingana na uwezo na mahitaji yako.
 
Nadhan suala la kuwa na simu ya aina gani ukiacha basic function ya kupiga na kupokea simu pamoja na sms pia kuna suala la stutus kwenye jamii kama ilivyo wengine watavaa suti za dola 500 na wengine tunavaa stui za laki na 20 za wachina za mtaa wa kongo, status ya mtu kwenye jamii pia inasukuma kuwa na kitu cha garama kuliko wote ili ajitofautishe na wengine so si ulimbukeni ila ulimbukeni unakuja kwa mtu wa level ya chini akatoe mshahara wake wote wa mwezi kwenda kununua samsung galaxy 2!
 
Mi nafikiri lengo la kuwa na simu ni kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi, uwezo wa kuwasiliana na mtu wa pili kwa haraka kwa ajili ya maongezi, labda tuweke na matumizi ya Internet ambapo unaweza kuhabarisha watu na kupata taarifa mbalimbali kama za hapa JF. Lakini mi point yangu ni kwaba kweli kuna ulazima wa kuwa na simu ya bei mbaya sana kuanzia laki 3 na kuendelea wakati unaweza kupata simu yenye hizo huduma zote kwa elfu 50 mpaka laki??, huu sio ushamba kweli!!, kinachofurahisha zaidi hao wanaotengeneza hizo simu wenyewe hata hawazitumii hizo za bei mbaya!!!,
Utakuuta mtu una simu ya milioni moja halafu anasema maisha magumu!!.

Cha msingi simu iwe na uwezo wa kupokea sms, kupiga na ukitaka internet. Namini kabisa kwa ulimbukeni huu hata zikitoka simu zenye choo, bafu ,jiko, parking hata na kitanda na ikauzwa mil. 5 ufisadi utazid
 
We acha kutudanganya hapa, nani asiyeijua autocad? kwanza laptop yenyewe tu ya 17" ni kazi kwa autocad inahitaji Big screen. Nyie ndo washamba yahani unakuta mtu maisha yake yote anafikiria vitu ambavyo havina faida kwa jamii na familia yake. Kijijini kwenu ndugu zako hata hela ya chumvi sabuni hawana leo eti unajitamba unamiliki galax, wazazi wako wanaishi kwenye nyumba ya udongo na imeezekwa na nyasi. Hapa mjini watu wanajidanganya sana.

basi bana siwezi bishana na mpuuzi asiyehata tambua kuongea kiswahili fasaha lugha mama......ref - yahani = yaani......eti autocad ni big screen duh...pole sana kijana ila una safari ndefu sana ya ulimwengu wa teknolojia.....
 
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.
Kwenye hii simu nina Microsoft office 2010
Opera Mobile 10
Internet exploler
Radio
Currency converter ya kila fedha internet based SPB SHELL
facebook application
Twitter application
Myspace ''
Operating system yake ni Microsoft Windows Phone 7.5
Adobe reader
Bei yake kwa Dar 1.6 M
japo kwa sasa inaweza patikana hata kwa milion 1.3
na ina mambo mengi sana na kii kipana sana kama palm top.

MIMI BORA UNINYIME KOMPUTER ILA SIMU IWEPO TENA SIMU NZURI SANA HATA IWE YA 3M NITANUNUA.

mtoa mada huna hoby na simu au hujui pocket technology.
Hapa nadhan hoja si ushamba bali interest.

Asipoelewa atakuwa ni MSHAMBA na NANGA kabisa mtu huyu tena badala ya kuuliza anaanza na majina mabaya kuita watu.........WASHAMBA
 
We acha kutudanganya hapa, nani asiyeijua autocad? kwanza laptop yenyewe tu ya 17" ni kazi kwa autocad inahitaji Big screen. Nyie ndo washamba yahani unakuta mtu maisha yake yote anafikiria vitu ambavyo havina faida kwa jamii na familia yake. Kijijini kwenu ndugu zako hata hela ya chumvi sabuni hawana leo eti unajitamba unamiliki galax, wazazi wako wanaishi kwenye nyumba ya udongo na imeezekwa na nyasi. Hapa mjini watu wanajidanganya sana.

Nimewahi kuona Lori limeandikwa "USIIGE MATUMIZI IGA KAZI"
 
Great thinker in the making!!
Tukianza kufatilia mambo ya anasa ni mengi sana,
Kwa mfano. Mtu unaish kwenye nyumba kuuubwa peke yeko,
ni kwa nini usijenge chumba kimoja chakukutosha?
Mtu m1 unamiliki nguo nyiingi kwa nini usiwe na nguo 6 tu?suruali 3 shati 3 kwisha,
Mtu m1 anamiliki kochi set nzima,
kwa nini usichonge stuli moja tu ya kukalia wewe mwenyewe?
Tehe tehe tehe tehe ntarudi baadae.
 
Huyu jamaa hanaweza kukwambia kwa nini usitumie simu ya laki moja halafu hizo laki nne ununue magunia ya mahindi.

Hahahahaaa!!!!
Ritz bana!!!
Yani huyo mshkaji umemuona ana akili za babu wa babu yake au?!
Anawaza ukame na bulga tu!!!
Anaishi kwa wasiwasi wakati wote sio??!
 
Kwel i kabisa, ila tuchukulie mfano wa hapa Bongo. Blackberry, iPhone, na other smart phones zina umuhimu gani wakati there's no GPS technology in here, na internet yenyewe tunaibiwa ama kupunjwa na phone companies, si ujinga huu? Sawa mtu una fursa ya kupenda ukipendacho lakini many times naona sie Watz ni mbumbumbu kweli. Utakuta mtu anaendesha gari hana gas/petroli analalamikia washikaji baa kuwa hana hela, mtu huyo huyo anaona fahari kutoa simu ya Blackberry na kuiweka mezani ili washikaji wamuone ana Blackberry...jamani ni ulimbukeni ama?
Mkuu huduma ya GPS haitoki kwenye minara ya simu..ni sattelite angani.kinachotakiwa ni gadget yako
Kuwa na uwezo wa kureceive GPS signals
 
Back
Top Bottom