tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,139
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.
Kwenye hii simu nina Microsoft office 2010
Opera Mobile 10
Internet exploler
Radio
Currency converter ya kila fedha internet based SPB SHELL
facebook application
Twitter application
Myspace ''
Operating system yake ni Microsoft Windows Phone 7.5
Adobe reader
Bei yake kwa Dar 1.6 M
japo kwa sasa inaweza patikana hata kwa milion 1.3
na ina mambo mengi sana na kii kipana sana kama palm top.
MIMI BORA UNINYIME KOMPUTER ILA SIMU IWEPO TENA SIMU NZURI SANA HATA IWE YA 3M NITANUNUA.
mtoa mada huna hoby na simu au hujui pocket technology.
Hapa nadhan hoja si ushamba bali interest.
na ushamba umo mkuu..utakuta pamoja na fuctions zote hizo mtu anatuma text na kupiga simu peke yake..inakuwa haina maana.