labda mkuu nkuulize kama hutajali
unaishi nyumba ya kupanga au umejenga?
hizo content za simu unazitumia zote kwa bongo?
mitandao yetu ina infrastructure inayoruhusu application ya hizo content?
Ni baadhi ya service kama my nokia Bongo haipo bado.
Ms office ipo
whatsapp ipo
Gps nav ipo
camera inanisaidia sana kwa kupiga na ku upload hapohapo hivyo ni zaidi ya digital camera.
Youtube, twitter, myspace, linkedIn, zote zipo.
Zune haipo insteady natumia marketplace.
Nimbuzz, skype, AIM. INSTANT MESSAGING
Email napokea na kujiku kama sms vile.
Bible, dictionary, currency exchange, calculator, barcode reader n.k zote napata.
Airtel iko poa sana kwa huduma hizo zote.
Kumbuka kuna milions of mobile apps hata ukiwa NYC utatumia chache zinazogusa lifestyle yako. Ukitaka uwe nazo zote utakuwa crazy.
Mie spend gaming ndo maana sijataja hapo juu japo simu yangu ina support 3D games.
Kuna apps za usalama sijataja kwa kuwa siko huko. Simu ni zaidi ya uijuavyo.
KUMBUKA NIMESEMA NI INTEREST YANGU KUWA NA SIMU NZURI HATA IWEJE SIWEZ KUTUMIA SIMU ITAKAYONINYIMA HUDUMA HIZI.
NIMECHOKA NAPUMZISHA VIDOLE...