mashaka-jr
Member
- Apr 28, 2012
- 26
- 1
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Sielewi skins Dada Hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya NA Wayne WA wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana WA kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada kwenye kambi ulikuwa unatisha! Nasikia kwamba wengine ni wake wa wenyewe.
Nafikiri mmenisoma!
kwa lugha gani?waswahili wanasema ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.
Sielewi skins dada hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya na wayne wa wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana wa kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada kwenye kambi ulikuwa unatisha! Nasikia kwamba wengine ni wake wa wenyewe.
nafikiri mmenisoma!
OK kumbe wewe ni mwalimu wa secondary , pole na majukumu, ulikuwa kambini wapi iringa, mwanza au DarWaswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Sielewi skins Dada Hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya NA Wayne WA wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana WA kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada kwenye kambi ulikuwa unatisha! Nasikia kwamba wengine ni wake wa wenyewe.
Nafikiri mmenisoma!
kwa lugha gani?
Hicho ulicho kiandika hakisomeki wala hakieleweki, ni makorokocho ya ndukukulukudusucho
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Sielewi skins Dada Hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya NA Wayne WA wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana WA kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada kwenye kambi ulikuwa unatisha! Nasikia kwamba wengine ni wake wa wenyewe.
Nafikiri mmenisoma!
Kama umemwelewa huyu, basi we MkariiiiiMi nimekusoma mtu mzima, kawaida kubadili Mazingira dada zetu ndivyo walivyo, na ndiyo maana huwa tunasema chochote chenye miguu miwili hakipaswi kuaminiwa kwa 100%.