digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,069
- 14,853
Haisaidii kwa hizi porojo zako,subirini tuwanyooshe mkome
Ndiyo ya kujiandikisha zaidi ya mara 1 ili kuhalalisha nia ovu?
Mna waaminisha watu uongo picha ni eneo moja husika.Ndiyo ya kujiandikisha zaidi ya mara 1 ili kuhalalisha nia ovu?
Ndiyo maana nimeuliza kueleweshwa. Eneo moja lkn mipangilio 2 tofauti ya watu wanaofanana?Mna waaminisha watu uongo picha ni eneo moja husika.
Uongo na utapeli ni jadi yenu nyinyiMkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!
Ukweli wako uko wapi. Unaandikishaje ukurasa mzima hakuna signature?Mkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!
Haya yote yanatokea kituoni, mawakala wa vyama vya Upinzani, hakuna hatua wanayochukuwa bali kupiga picha na kumpelekea Halima Mdee ili aweke Twitter. inasaidia nini kesho majina yote hayo mtakuta yapo na yana saini
Sahihi hazipo ni uongo? Wewe hujajiandikisha ukaweka sahihi.Mkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!
Kweli huo ni uongo. Majina ya wapiga kura yatabandikwa kituoni wote tuyaoneMkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!
Cyber crime...law itumike kama kuna uzushi katika hili.i!!! Na kama ni kweli wahusika washughulikiwe kwa sheria zilizopo za utumishi wa umma na usimamizi wa uchaguzi.
====
Tunataka matokeo halali, hata kama kuna mbinu za kuchafua matokeo hayo.
Hapo saini za waandikishwaji na muandikishaji hazipo. Lakini, nini ushahidi wa kuunganisha picha na maelezo ya Mhe. Halima Mdee?
Huu ni uvunjifu wa haki za binadamu.Wiki ilopita nilienda s/mtaa fulan nikiitaji barua kwenda kufatilia mambo yangu naambiwa mpka nijiandikishe ndio nipewe barua
Mkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!