Ushahidi: Waandikishaji waandika majina hewa ili kujaza akidi waonekane waliondikishwa ni wengi kumbe bao la mkono, yadaiwa ni agizo toka mzizi mkuu

Hata mimi nimeshangaa Dsm ilikuwa chini sana sasa ghafla eti ni miongoni mwa mikoa ya juu kuandikisha ukipita vituoni watu empty sijui wanaandikishwa hewani?
 
Haya yote yanatokea kituoni, mawakala wa vyama vya Upinzani, hakuna hatua wanayochukuwa bali kupiga picha na kumpelekea Halima Mdee ili aweke Twitter. inasaidia nini kesho majina yote hayo mtakuta yapo na yana saini
Mkuu kwani uandikishaji unafanyika ki vyama? na wale wasiyo na vyama nani anawasimamia?
 
Mkuu kwani uandikishaji unafanyika ki vyama? na wale wasiyo na vyama nani anawasimamia?
Wasio na vyama hawana mawakala vituoni na hakuna kanuni inayoelekeza uwakilishi wao. Cha ajabu wa vyama nao wanaona madudu haya hawazuii, wanapiga picha na kutuwekea mtandaoni. Kuna faida gani ya kuwa wakala??
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ulitaka wafanyaje mkuu ole wako uwaguse inzi was kijani ndo utamjua jiwe Ni nani
 
Nyie chadema mnamambo ya kisenge , siku ya uchaguzi si mnaweka mawakala? Sasa kazi nn kama mnaanza kuzusha sahizi.
Sio wakati wa uchaguzi tu, hata sasa ktk uandikishaji wana mawakala lakini ati kazi yao kupiga picha tu. Wanawaacha wandikishaji wafanye wanacotaka
 
Sio wakati wa uchaguzi tu, hata sasa ktk uandikishaji wana mawakala lakini ati kazi yao kupiga picha tu. Wanawaacha wandikishaji wafanye wanacotaka

Unafikiri hatua hazikuwahi kuchukuliwa hapo kabla !!?

Nini Matokeo ya Hatua zilizo chululiwa kama sio Mauaji ?

Na ingekuwa ni wewe ungafanya nini hasa ambacho kingeibadili hali ya mambo !?

R.I.P. Akwilina..
 
Kama tunajuani hivyo kuna faida gani kuweka mawakala hali kuwa tunajua hawawezi kufanya lolote?
 
Kama tunajuani hivyo kuna faida gani kuweka mawakala hali kuwa tunajua hawawezi kufanya lolote?

Kama CCM wanajua watashinda kwa kishindo ktk Chaguzi zote zijazo kuna haja gani ya kupoteza Pesa za Wananchi ktk Chaguzi wakati Matokeo wanayo tayari ?
 
Kama CCM wanajua watashinda kwa kishindo ktk Chaguzi zote zijazo kuna haja gani ya kupoteza Pesa za Wananchi ktk Chaguzi wakati Matokeo wanayo tayari ?
Na wapinzani wanaoshiriki kuna haja gani ya kupoteza Pesa za Wananchi hali wakijua CCM hawawezi kuwatangaza washindi?
 
Wasio na vyama hawana mawakala vituoni na hakuna kanuni inayoelekeza uwakilishi wao. Cha ajabu wa vyama nao wanaona madudu haya hawazuii, wanapiga picha na kutuwekea mtandaoni. Kuna faida gani ya kuwa wakala??
Mkuu nitoe tongotongo tena kua uandikishaji wa majina ya wapiga kura unafanyika na serikali au vyama? au unasemea siku ya uchaguzi?
 
Manispaa ya Temeke imeteuliwa kuwa eneo la kujazia majina hewa , zoezi hili linafanyika usiku wa manane , wajazaji wanalipwa kati ya elfu 10 na elfu 15 tu , hii ni baada ya kukamilisha kujaza majina hewa 550
Kuna ukweli hapa
 
Bila kumpikia takwimu jiwe hii nchi aiendi, mfumo wa uandikishaji wa huu uchaguzi mwandikishaji ano uwezo wa kujaza majina hata mia mbili kwa siku.
Morogoro waandikishaji walipewa target ya kufikisha watu 40 kwa siku, wasipofika posho hakuna na ukizingatia wahusika ni watumishi mikwara kibao
 
Wiki ilopita nilienda s/mtaa fulan nikiitaji barua kwenda kufatilia mambo yangu naambiwa mpka nijiandikishe ndio nipewe barua
Hao waliopo unao waomba barua walipigiwa kura. Sasa ulitegemea nini ? Nyie ndo maana mliitwa malofa
 
Back
Top Bottom