Ushahidi wa wizi wa kura

Kunaukweli ndani yake ndiyo maana CCM kwa kutumia wagaganga wa jadi walileta mvua Igunga siku ya kura ili alama hizo zionekane. Badala ya kuwapeleka waganga hao huko kwenye bwawa la Mtera ili tupate umeme wa kutosha CCM inawatumia siku ya uchaguzi.

Mkuu hapa umetuonyesha imani yako.
 
Jamani hamna namna yeyote ya kupiga kura bila ya karatasi? Mi ningetamani iwepo ki2 kama ubao ambao ukiingia kwenye chumba unabonya kwenye ki2fe palengwa na majibu yanatoka muda huo huo yani ukitoka nje m2 unajua we ni wa ngapi kwa kuipigia chama fulani kura. Jama hilo haliwezekani?
 
Yameongelewa mengi humu, uhakika unakuwa mdogo, lakini lisemwalo lipo. Basi tuombe kwa faida ya CDM na watanzania wenye mapenzi mema na TZ, tunaomba wenye uwezo wa kufuatilia haya wafuatilie kwa makini na kuwe na ushahidi wa uhakika. itakuwa inauma na kukera zaidi kama tutakuwa tunaenda kupanga mistari na kupeteza muda wetu wakati wa kupiga kura halafu kumbe kuna washenzi wameshapanga matokeo na kutuona sisi mbayuwayu. haki ya dada kwa hilo lazima pachimbike.
 
Jamani hamna namna yeyote ya kupiga kura bila ya karatasi? Mi ningetamani iwepo ki2 kama ubao ambao ukiingia kwenye chumba unabonya kwenye ki2fe palengwa na majibu yanatoka muda huo huo yani ukitoka nje m2 unajua we ni wa ngapi kwa kuipigia chama fulani kura. Jama hilo haliwezekani?

Kwa hilo litawafanya CCM washindwe kila uchaguzi, hawawezi kuruhusu. Kifupi huo ndo mfumo unaotumiwa na nchi zilizoendelea, haya mambo ya makaratasi watu wameshafanyia research zao na kuona karatasi ni rahisi kucheat.
 
Back
Top Bottom