Ushahidi wa wizi wa kura

Ushahidi wa wizi wa kura

Mzee Edwin Mtei pole sana Kwa Msiba huu wa Kufiwa na Mwanao Mpendwa Chadema Igunga! Tupo pamoja na wewe kwa kipindi hiki kigumu tulijiamini sana kuchukua Igunga kumbe haikuwa riziki! Ewe Mzee Mtei waombee vijana wako hapa JF wana weweseka sana hasa siku ya leo! Post zao na thread zao hazieleweki! Eti wanadai waliibiwa kura wakati walileta watu wa kusimamia kutoka nje ya Igunga!
 
Nimefanya utafiti nikagundua kuwa karatasi ya kura ata bila ya kupigwa ikipata unyevunyevu au ukiimwagia maji inaonyesha tayari tiki imepigwa kwenye sehemu ya CCM

kama kuna yeyote mwenye shaka au tume ikitaka ushahidi basi niko tayari kuwaelekeza , nimethibitisha pia kwenye uchaguzi wa IGUNGA
[/QUOTmmh....
 
Mh! Umeipata wapi ukaifanyia huo unaosema ni utafiti?
 
hata mimi namashaka na ushindi wa ccm na tume yao ya uchaguzi CDM kushinda mpaka hapo tume ya uchaguzi itakapo badilishwa ila dhana ya udini ipo siku itawatafuna wazima wazima.
 
ni kweli cheyo huita kura za maruhani chinese technology
 
WATANZANIA TUNAPIGA SANA KURA ISIPOKUA WALE WAPIGA KURA MARUANI SIKU ZOTE WANATUZIDI IDADI WAPIGA KURA TULIOHAI, NA MTAJI WA CCM KUTISHA WANANCHI

Wa-Tanzania tunnapiga sana kura isipokua wale Wa-Tanzania WAFU WASIOONEKANA ni wengi zaidi kuliko wale wanaoonekana kwa macho na wenye uamuzi kuchagua kukipigia kura chama tofauti na CCM.

Hivi karibuni kumeibuka aina ya demokrasia mpya nchini ya:

(1) demokrasia ya Bastola kiunoni kwenye kampeni za kisiasa,
(2) Matumizi ya maruani kwenye daftari la wapiga kura ambalo ni miliki ya CCM tu,
(3) uhuru wa rushwa za mapishi na nafaka kwenye kampeni, na hivi sasa
(4) ubunifu mpya kwa CCM kuibuka na fesheni mpya ya
'CCM GREENGUARD MUNGIKI' na utekaji, uchomaji nyumba za watu ubakaji na kadhalika.

Hivyo ni muhimu ikawekwa kwamba
DAFTARI LA WAPIGA KURA liwe likifanyiwa uhakiki na CHOMBO HURU kinachokubalika na vyama vyote vya siasa nchini.

Vile vile ni vema utaratibu ukawepo wa wazi zaidi kwamba uchaguzi wowote unapoitishwa katika jimbo lolote lile basi ni sharti vyama vyote vitakavyoshiriki uchaguzi huo vishiriki moja kwa moja kufanya uhakiki mwingine, hata kama uhakiki wa kile chombo huru kilimalizika tu jana yake, ili kuwepo na uwanja sawa kwa waashiriki wote kwa wakati husika.

Huwezi kumridhisha mtu yeyote aakilini kwamba daftari la wapiga kura aliloliacha Rais Mstaafu Mkapa zaidi ya miaka kumi iliopita ndio bado hutumika kuendeshea uchaguzi mpaka leo kwa kuwa watakaokua wamekufa ni wengi sana hapo kati kati ambo majina yao yafaa kuondolewa kwenye daftari hilo kabla CCM inayohodhi utunzaji wa daftari hajaamua kutumia faida ya WAFU KUTOWEZA KUJIELEZA hivyo kuelekeza kura zao zote kwake jinsi apendavyo.

Na huo ndio demokrasia ya CCM miaka yote huku akiwatisha na wale waapiga kura wachache waalio hai wasijitokeze.

Kwa misingi hii inamaanisha kwamba Tanzania hatujawahi kuwa na kitu FREE AND FAIR ELECTIONS isipokua geresha.

SWALI ZITO:

Siku zote tunasikia wananchi kuhongwa kwenye uchaguzi, Je pale ambapo ChamaChenyewe kama KAFU ndicho kinachohongwa kama ambavyo ilivyotokea pale usiku wa uchaguzi na Mtatiro kuandaa Speech siku mbili kabla ya kupiga kura - mpaka hapo sasa wananchi ambao wao wanadai kutaka kuwakomboa na umasikini nchini hadi hapo wananchi wanaoamini KAFU sasa wakimbilie wapi??????

Kama unadhani ni utani ngoja uje usikie MOTO MKUBWA CUF baada ya Mtatiro kuamua kulamba sukari mwenyewe tu baada ya kuona Muhona kajiaharibia kwa kutwanga wapiga kura makonde mazito mazito.

KAFU kwisha habari kisiasa tena nchini. Na wewe FaizaFox umehamia CCM ukitokea CUF au ...?????

Hodari sana wewe wa kuvumbuwa mambo, ulikuwa wapi mpaka uchaguzi wa Igunga umekwisha? Unanchekesha.
 
Hodari sana wewe wa kuvumbuwa mambo, ulikuwa wapi mpaka uchaguzi wa Igunga umekwisha? Unanchekesha.

acha upuuzi wewe pakamwizi,kakwambia amefanya utafiti so unatakiwa kumpongeza kwa kugundua mbinu zenu za wizi.shame on you.
 
Hali ni ngumu kwa haya majizi ccm kuyaondoa madarakani.
 
Hii kali sasa.
Mambo mengine yanahitaji usiwe na akili timamu ili uweze kuyaamini.
 
Nimefanya utafiti nikagundua kuwa karatasi ya kura ata bila ya kupigwa ikipata unyevunyevu au ukiimwagia maji inaonyesha tayari tiki imepigwa kwenye sehemu ya CCM

kama kuna yeyote mwenye shaka au tume ikitaka ushahidi basi niko tayari kuwaelekeza , nimethibitisha pia kwenye uchaguzi wa IGUNGA

toa upupu wako,wangeshinda magwanda huo utafiti usingeuweka hapa,na mbona zile za kashindye alieshindwa hazijahama??
 
Wezi siku zote wana mbinu nyingi sana poleni wazee v
 
kinachotakiwa hapo ni kumtafuta independent forensic investigator, athibitishe kuwa evidence, na kuwapeleka mahakamani.
 
Hali ni ngumu kwa haya majizi ccm kuyaondoa madarakani.

NAAMINIHAWA NGOZI NGUMU, FF, REJEO CJUI BLABLABLA FULANI AMBYE AVATA YAKE KAMA ZOMBIE HIVI,NA KADHALIKA (MAGAMA YULE 26 CJAMTAJA JAMANI) WANANICHEFUA CWAJUI KWA MAJINA WOTE,HAWAFRAHII KWA UNDANI USHINDI WA HUKO IGUNGA!DEEP INSIDE ARE CRAYINGGGGGGG,COZ THEY KNOW HAWAJASHINDA,IS AS IF
MTU ANAYEIBIA MTIHANI
bravoooo cdma keep it uppp,
 
Back
Top Bottom