Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

dubu,
Unapokuwa Mbunge, unakuwa ni wa wote jimboni; CCM, CHADEMA, CUF, TLP, nk. Sasa wewe mbunge ukienda jimboni unataka uzungumze na wanaCDM tu! That can't be!

Hebu eleza waliokuwa wanashangilia ni akina nani au walitumwa na nani? Laumu vurugu na Polisi kushindwa kuwadhibiti lakini pia sikuona vurugu. Wananchi hawalazimiki kumsikiliza anayewahutubia. Polisi hawezi kulazimisha watu kumsikiliza Mbowe.
 
Kabulala,
Haya ndo makosa wanayofanya watu wa upinzani. Anakuwa Mbunge wa wote ktk vyama vyote lakini akisimama jukwaani anakuwa analaani chama tawala bila kujua kwamba walioko jimboni ni pamoja na chama tawala!

Mbowe aliwajibika kueleza ni nini watu wa Siha wakitegemee toka kwake kama mbungne kwa siku zilizobaki. Badala yake inakuwa bhla! Bhla za kusema ndugu zangu, ndugu zangu!
 
Yaani eti vijana karibia 50 wanavuruga mkutano wa Mbowe, Mwenyekiti wa Chama. Yaani Hai Hakuna wanachama wa CHADEMA? Hakuna vijana wa CHADEMA? Walifanya nn baada ya vijana hao kuingilia mkutano wa Mbowe?

Maana yake CHADEMA na Mbowe hawana lao Hai, yaani walishindwa nini kuwapa somo ambalo wangekwenda kumpa aliye watuma.

Funzo: wabunge wa chadema jipangeni hiyo ndio njia ccm wameamua kuitumia kuonyesha hamkubariki katika majimbo yenu.

Yoyote atakaeingilia mkutano yenu lazima afunzwe adabu nje ya hapo Msije Kama Mbowe na kuanza kulalamika mkihitaji huruma.

Ni muda sasa Mbowe kujitafakari Kama bado anakaa kuwa mwenyekiti na Kiongozi mkuu wa Chama kukuu cha upinzani.
Aibu kwa Mbowe na chadema
 
Wewe ndiyo unajisahaulisha, mikutano haikupigwa marufuku bali kila mbunge aliambiwa afanye mkutano jimboni kwake. Ila hawa janja janja wakasusia hadi majimboni mwao
Acha ujinga wewe. Mikutano haikuzuiliwa kivipi? Mbunge jimboni mwake anataka kufanya mikutano wake na wanachama wake anaambiwa aombe kibali police, akipewa kibali asubuhi, jioni police wanamzuia kufanya mkutano at intelligencia yetu imeonyesha kutakuwapo na uvunjifu wa amani. Akijaribu kulazimisha anapelekwa ndani. Hiyo intelligencia unayofanya kazi kugundua tatizo la uvunjifu wa amani Kwa upinzani tu!!!? CCM wao intelligencia haiwezi kuwaona?

Police wanakosa watu wakutosha kusimamia usalama wa raia kwenyemikutano ya wapinzani lakini ikitokea wapinzani wakaamua kuendelea na mikutano wao, police zaidi ya Mia wanapatikana kuvunja mkutano. Wakulinda hawapo lakini wakuvunja wapi. Hii ndiyo Uhuru? Hiyo ndo demokrasia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu wakuu,

Jana Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Freeman Mbowe alifanyiwa Vurugu kwenye Mkutano uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya Weruweru. Ulivurugwa baada ya kuibuka kikundi cha vijana zaidi ya 50 wa kike na kiume kwenye mkutano huo na kuanzisha vurugu.

Polisi walipoambiwa wawaondoe, walikataa kwa kile kilichodaiwa kwamba ni Wananchi wa Weruweru wanapaza Sauti zao hivyo waachwe waongee. Walikuwa wakimtukana Mbowe. Nia walitaka itokee Vurugu ili Mikutano ya Vyama vyenye mawazo Mbadala ipigwe marufuku na kwenye magazeti waandike Mbowe kapigwa Mawe Mkutanoni kama ilivyotokea kwa Marehemu Mchungaji Mtikila kule Mkoa wa Mara miaka ya nyuma.

Kuweka kumbukumbu sawa, Nimona niweke ushahidi hapa, ili haya mambo yasijirudie tena na kuwaomba Polisi kuyenda haki bila kujali chama.

Walioenda kwenye mkutano wa CHADEMA ni ni Viongozi wa CCM, UVCCM.
View attachment 1376326
View attachment 1376355
















Kinara alikuwa Halima. Halima ni Katibu wa Vijana CCM mtaa wa amani Boma Hai Kilimanjaro, Anaishi St Dorcas. Chini ni Video yake akiwa kwenye mkutano wa Mbowe akimlalamikia Mbowe. Namba zake ni +255755439***. Hapo anapoongea Polisi yupo na Wanachama wa CHADEMA wanamuangalia.
View attachment 1376332
Wengine ni ni hawa hapa pichani na chini nmeweka Video. Nitawataja majina kabisa ili watu wawajue. Kutoka kushoto Katibu wa vijana Wilaya Mr Msakale general festo, Katibu wa kata machame uroki Hafidh Lema,Mwenyekiti UVCCM Kata Ndeanka wa Mwalimu Urassa,Katibu uvccm Kata Walter Shoo, Mjumbe wa kamati ya sasa Wilaya Aisha mbaga.

View attachment 1376395
















Hii ni Video yao wakifanya Vurugu huku wakiwa wanaonekana wamelewa pombe walizonunuliwa kabla ya kujaa kwenye magari manne. Moja ya gari ndo gari ya Wasiojulikana. Kijana wa Millard Ayo anaijua sababu kaitumia sana wakati wa kulazimisha watu wajiuzulu cha kusainishwa barua kwanguvu. Ngoja niwawekee barua kwa wale waliosahau kwa kumbukumbu
View attachment 1376465
Vurugu kama hizi zinapotokea, pia mtu wa kwenda kurekodi anaandaliwa na akisharekodi anawatumia Waandishi wa habari clip au picha inayofanana wote. Mwanzo alikuwa anatumiaka Kijana wa millard Ayo ndio alikua anatumika.

Baada ya kupigiwa kelele kwamba anatumika akawa ameondolewa na Millard Ayo akaomba msamahan ana kuahidi haitojirudia. Mnyampanda alivyotekwa alafu akiwa ndani kule akamkuta mwandishi wa AYO TV wakawa wanamhoji Maswali huku mfanyakaziwa Ayo TV akirekodi then wakarusha kwenye mitandao ya kijamii kwamba fulani kajiuzulu.

Hai kufa Ni rahisi Sana Kama unampinga Sabaya. Huyo mnyampanda alikua mwenyekiti mtaa wa geza sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA

Walichofanya waliunda kabisa Group la WhatsApp, wakapewa Magari Manne waende kufanya Vurugu kwenye Mkutano wa CHADEMA.

View attachment 1376353
Polisi nmesikia wanasema hawawajui waliofanya Vurugu. Naweka hapa chini Group la WhatsApp waliloliunda kwenye kufanya Vurugu na baada ya Vurugu wakapongezana. Sitafuta namba zao ili Polisi kweli kama wana nia njema, Wampigie mmoja mmoja kumhoji. Mambo kama haya sio ya kuendekeza. Jana Mbowe angeruhusu Vijana wa CHADEMA wawadhibti, tungekuwa tunaongea mambo mengine.

Kipindi cha nyuma CHADEMA kulifanyika Vurugu kama hizi, wakamuua mwaandishi wa habari wa Channel 10 Mwangosi. Je, Polisi walikuwa wanaruhusu Vurugu zifanyike kwenye mkutano wa Mbowe ili iweje? Nani alikuwa anawindwa Vurugu zikitokea?

Zaidi: Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa ktk vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Kujua kilichojiiri Hai kwenye Mkutano wa Mbowe soma:
1) Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

2) Hai: Mbowe azungumzia tukio la kundi la Vijana waliovamia mkutano wake Jimboni

WENGINE:

View attachment 1376538
Ambaye ndiye huyu chini 👇🏾

View attachment 1376537

View attachment 1376541

Kwenye video ndiye huyu 👇🏾
View attachment 1376540
Mungu ni mwema, Jinai haifi! Wacha RPC afumuliwe kazi ianze upya
 
Back
Top Bottom