Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

Mi nadhani hii inachochea kuni kwenye hili anguko la CCM kwani serikali imara haiwezi kusimikwa juu ya misingi ya uongo, kama vijana wenu wa UVCCM wanaweza kuwa instructed kumfanyia fujo mbowe ili aonekane mbaya je ni mangapi ambayo wananchi tutakua tunadanganywa kimya kimya?

CCM inatufanya wote tu wapumbavu huku wakisahau kuwa njaa na umaskini vitawafanya watanzania wafumbuke macho nakufanya yaliyosahau, CCM badala ya kupambana na chadema ingewekeza kwenye kutuondolea njaa na umasikini ambao umeisakata nchi hii, waboreshe uchumi, wawezeshe wakandarasi wazawa na wawape vipaumbele vijana wetu ambao wamekua majobless huku ukiende kwenye miradi inakuta wachina wanadrive cranes!

lakini kuna swala la mishahara nalo waliangalie kwani ijapokuwa serctor binafsi inachangia kwenye kipato cha wanachi wengi lakini bado kiwango cha mshara ni cha chini mno na badala yahizo kazi kuwaletea maendeleo hao waajiriwa inawazeesha nakuzidi kudidimisha quality ya afya zao.....

haiwezekani kwa jiji kama la Dar es salaam kupata salary ya chini ya 250,000/= hapo ndio unawaambia wakapange vyumba mabondeni na watoto wakose hata hela za kutibiwa mahospitalini...kwa leo ni ishie hapa.. na hili kiukweli Magufuli alipaswa alikemee.
 
Siasa ni kama mbio za magari maarufu kama FORMULA ONE (F1). Yule bingwa mtetezi au aliyeshinda mbio zilizopita uanzia mstari wa mbele kuliko wote, anapewa upendeleo na wale wengine kushinda ni Ngumu Sana, ndio maana mabingwa uendelea kushinda mpaka wanastaafu..same in politics, mwenye Dola ana advantage kubwa mno, kumshinda inabidi utumie nguvu na mbinu za ziada..
Hakika......umeneno vema......
 
Unauliza mustakabari wa CHADEMA kwa kuangalia vitendo vya kihuni vilivyofanywa na wahuni wa CCM kama wale waandamanaji fake wa Makonda walioandamana ubalozi wa afrika ya kusini.
 
Mbona mnaleta picha za baada ya tukio ndugu msitake watu waendelee kuwaamin Hao wote baada ya mkutano walirufisha kad za chadema na kujiunga ccm boss mkubali tu mlipokosea mkiwa mnakosea alafu mnakuja kujisafisha umu mnawauz watu wengine walio baki wanao jua ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeaibika mchana kweupeeee,aibu yenu!
 
Upinzani unaogopa wapinzani.
Hata kama ni vijana wa CCM bado ni wananchi na wana haki ya kupaza sauti kwa kiongozi wao.
Mkutano ulikua wa mbunge si wa chama.
 
Back
Top Bottom