Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

Ungesikiliza malalamiko yao wala usingeandika haya mavi hapa wale walijinasibu kama disapointed wafuasi wa Mbowe ilihali ni wachafuxi tu kutoka katika chama chetu cha ccm wakitutia aibu sie wengine wapenda haki na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani ni wakazi wa Hai...sikufikiria kuhusu wafuasi... anyways nadhani Kwa lugha uliyotumia nimeshakuelewa.. nisamehe.
 
Unajua tuliko fika Hakuna tena siasa, Kama watu wanataka kufanya siasa wanapaswa kukaaa kufikiri namna ya kumuondoa magufuli Kwanzaa, kinyume cha hapo unaweza ukaingia kwenye Uchaguzi utapata kura 100 mwenzako atapata Kura 2 Lakini atatangazwa huyo aliepata kura mbili kuwa ndio mshindi na mtu anatangaza Kwa mbwembwe akikodolea macho kamera walai nakuambia, tena ataaanza hivi, kura za wapinzani ni 100 na kura za Ccm ni 2 hivyo namtangaza mshindi kuwa ni mtu wa Ccm walai ndiko tunakoelekea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si huwa mnasema kwamba Kilimanjaro hakuna CCM sasa hao wananchi mnaowatuhumu wametoka wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro ni kati ya mikoa michache sana Tanzania ambayo wananchi wake wanajua na kuitekeleza demokrasia ya vyama vingi.

CCM ipo, tena yenye nguvu sawa na upinzani. Chama cha upinzani au CCM yaweza kushinda wakati wowote kulingana na uwezo wa Mgombea kujenga hoja za kimaendeleo na kuwatetea wananchi.

Ni mtazamo mbaya sana kufikiria kuwa Kilimanjaro hakuna CCM.
 
Heshima kwenu wakuu,

Jana Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Freeman Mbowe alifanyiwa Vurugu kwenye Mkutano uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya Weruweru. Ulivurugwa baada ya kuibuka kikundi cha vijana zaidi ya 50 wa kike na kiume kwenye mkutano huo na kuanzisha vurugu.

Polisi walipoambiwa wawaondoe, walikataa kwa kile kilichodaiwa kwamba ni Wananchi wa Weruweru wanapaza Sauti zao hivyo waachwe waongee. Walikuwa wakimtukana Mbowe. Nia walitaka itokee Vurugu ili Mikutano ya Vyama vyenye mawazo Mbadala ipigwe marufuku na kwenye magazeti waandike Mbowe kapigwa Mawe Mkutanoni kama ilivyotokea kwa Marehemu Mchungaji Mtikila kule Mkoa wa Mara miaka ya nyuma.

Kuweka kumbukumbu sawa, Nimona niweke ushahidi hapa, ili haya mambo yasijirudie tena na kuwaomba Polisi kuyenda haki bila kujali chama.

Walioenda kwenye mkutano wa CHADEMA ni ni Viongozi wa CCM, UVCCM.
View attachment 1376326
View attachment 1376355

Kinara alikuwa Halima. Halima ni Katibu wa Vijana CCM mtaa wa amani Boma Hai Kilimanjaro, Anaishi St Dorcas. Chini ni Video yake akiwa kwenye mkutano wa Mbowe akimlalamikia Mbowe. Namba zake ni +255755439***. Hapo anapoongea Polisi yupo na Wanachama wa CHADEMA wanamuangalia.
View attachment 1376332
Wengine ni ni hawa hapa pichani na chini nmeweka Video. Nitawataja majina kabisa ili watu wawajue. Kutoka kushoto Katibu wa vijana Wilaya Mr Msakale general festo, Katibu wa kata machame uroki Hafidh Lema,Mwenyekiti UVCCM Kata Ndeanka wa Mwalimu Urassa,Katibu uvccm Kata Walter Shoo, Mjumbe wa kamati ya sasa Wilaya Aisha mbaga.

View attachment 1376395

Hii ni Video yao wakifanya Vurugu huku wakiwa wanaonekana wamelewa pombe walizonunuliwa kabla ya kujaa kwenye magari manne. Moja ya gari ndo gari ya Wasiojulikana. Kijana wa Millard Ayo anaijua sababu kaitumia sana wakati wa kulazimisha watu wajiuzulu cha kusainishwa barua kwanguvu. Ngoja niwawekee barua kwa wale waliosahau kwa kumbukumbu
View attachment 1376465
Vurugu kama hizi zinapotokea, pia mtu wa kwenda kurekodi anaandaliwa na akisharekodi anawatumia Waandishi wa habari clip au picha inayofanana wote. Mwanzo alikuwa anatumiaka Kijana wa millard Ayo ndio alikua anatumika.

Baada ya kupigiwa kelele kwamba anatumika akawa ameondolewa na Millard Ayo akaomba msamahan ana kuahidi haitojirudia. Mnyampanda alivyotekwa alafu akiwa ndani kule akamkuta mwandishi wa AYO TV wakawa wanamhoji Maswali huku mfanyakaziwa Ayo TV akirekodi then wakarusha kwenye mitandao ya kijamii kwamba fulani kajiuzulu.

Hai kufa Ni rahisi Sana Kama unampinga Sabaya. Huyo mnyampanda alikua mwenyekiti mtaa wa geza sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA

Walichofanya waliunda kabisa Group la WhatsApp, wakapewa Magari Manne waende kufanya Vurugu kwenye Mkutano wa CHADEMA.

View attachment 1376353
Polisi nmesikia wanasema hawawajui waliofanya Vurugu. Naweka hapa chini Group la WhatsApp waliloliunda kwenye kufanya Vurugu na baada ya Vurugu wakapongezana. Sitafuta namba zao ili Polisi kweli kama wana nia njema, Wampigie mmoja mmoja kumhoji. Mambo kama haya sio ya kuendekeza. Jana Mbowe angeruhusu Vijana wa CHADEMA wawadhibti, tungekuwa tunaongea mambo mengine.

Kipindi cha nyuma CHADEMA kulifanyika Vurugu kama hizi, wakamuua mwaandishi wa habari wa Channel 10 Mwangosi. Je, Polisi walikuwa wanaruhusu Vurugu zifanyike kwenye mkutano wa Mbowe ili iweje? Nani alikuwa anawindwa Vurugu zikitokea?

Zaidi: Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa ktk vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Kujua kilichojiiri Hai kwenye Mkutano wa Mbowe soma:
1) Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

2) Hai: Mbowe azungumzia tukio la kundi la Vijana waliovamia mkutano wake Jimboni

WENGINE:

View attachment 1376538
Ambaye ndiye huyu chini

View attachment 1376537

View attachment 1376541

Kwenye video ndiye huyu
View attachment 1376540
Mbona mnaleta picha za baada ya tukio ndugu msitake watu waendelee kuwaamin Hao wote baada ya mkutano walirufisha kad za chadema na kujiunga ccm boss mkubali tu mlipokosea mkiwa mnakosea alafu mnakuja kujisafisha umu mnawauz watu wengine walio baki wanao jua ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry huo mkutano ulikua wa CHADEMA au wa mbunge na wananchi wa jimbo Lake la Hai?
Kama ulikua mkutano wa ndani wa CHADEMA basi hao walioenda kulalamika kwamba mbunge wao hafanyi Kazi walileta vurugu.
Kama ulikua mkutano wa mbunge wa jimbo la Hai wananchi wanahaki ya kushiriki mkutano Licha ya vyama vyao. Na ndio maana wengi wao hwakuvaa sare Za vyama.

Kama walianza kuzomea na kupiga Kelele haiwezekani wakawa Watu wawili, nimeona video ni kundi kubwa la Watu karibu 50% yawalioshiriki mkutano.
Je polisi walipaswa kupiga mabomu?
Kukamata washirikia wamkutano kwa kusema waliokua wakiyasema?
Idadi ya washiriki wa mkutano haikua kubwa kwanini?
Tusifiche tatizo ama mbunge mbinu zake na intelijensia yake ni dhaifu Sana au lililo na mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
Tutafute mbinu makini lasivyo tutapata utetezi wakila jambo lakini bado ukweli utabainika muda ni mwalimu Mzuri.
A good dancer knows when to leave the stage.
View attachment 1376515

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna utetezi utatosha ku justify hayo. Waliopanga wakubali tu kuwa mipango imekataa na wameacha ushahidi tosha wa hujuma zao ambao hautafutika
 
Sasa wewe unafikiria kutumia nini? Hata Kama unatumia matako ungekuwa na uelewa kidogo, yani Ccm ampigie chadema kura? Utakuwa umechanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio matak ya nyani, mbunge wao Ni mbowe na anawajibika kwao hatakama hawakumpigia Kura, JPM anawatumikia wote waliomchagua na wasio mchagua, hivi cdm mbona mko wajinga sana
 
Baada ya miaka mingi ya kujitawala,nchi nyingi za Africa,tulichokiweza vzr,ni kuanzisha makanisa,na sissa za kuiba mali ya umma,
Binti wa raisi wa zamani wa Angola,ana ukwasi wa kutisha,usiulize kwa nini,ni wizi tu,
Namshukuru Mungu,wazungu hawakuondoka SA,walitutesa sawa,lakini ndio walioujenga uchumi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiongozi aliechaguliwa kwa kupigiwa kura kuna taratibu zake za kumkataa kama mnaona hatoshi na ni kupitia uchaguzi tu kuliko kutumia nguvu.

Exactly, elimu hii si kwamba waliofanya hivyo hawaijui - the only problem ni kuwa walionyuma yao wanawatoa ufahamu na kuwaingizia fahamu mbadala vichwani mwao
 
Heshima kwenu wakuu,

Jana Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Freeman Mbowe alifanyiwa Vurugu kwenye Mkutano uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya Weruweru. Ulivurugwa baada ya kuibuka kikundi cha vijana zaidi ya 50 wa kike na kiume kwenye mkutano huo na kuanzisha vurugu.

Polisi walipoambiwa wawaondoe, walikataa kwa kile kilichodaiwa kwamba ni Wananchi wa Weruweru wanapaza Sauti zao hivyo waachwe waongee. Walikuwa wakimtukana Mbowe. Nia walitaka itokee Vurugu ili Mikutano ya Vyama vyenye mawazo Mbadala ipigwe marufuku na kwenye magazeti waandike Mbowe kapigwa Mawe Mkutanoni kama ilivyotokea kwa Marehemu Mchungaji Mtikila kule Mkoa wa Mara miaka ya nyuma.

Kuweka kumbukumbu sawa, Nimona niweke ushahidi hapa, ili haya mambo yasijirudie tena na kuwaomba Polisi kuyenda haki bila kujali chama.

Walioenda kwenye mkutano wa CHADEMA ni ni Viongozi wa CCM, UVCCM.
View attachment 1376326
View attachment 1376355

Kinara alikuwa Halima. Halima ni Katibu wa Vijana CCM mtaa wa amani Boma Hai Kilimanjaro, Anaishi St Dorcas. Chini ni Video yake akiwa kwenye mkutano wa Mbowe akimlalamikia Mbowe. Namba zake ni +255755439***. Hapo anapoongea Polisi yupo na Wanachama wa CHADEMA wanamuangalia.
View attachment 1376332
Wengine ni ni hawa hapa pichani na chini nmeweka Video. Nitawataja majina kabisa ili watu wawajue. Kutoka kushoto Katibu wa vijana Wilaya Mr Msakale general festo, Katibu wa kata machame uroki Hafidh Lema,Mwenyekiti UVCCM Kata Ndeanka wa Mwalimu Urassa,Katibu uvccm Kata Walter Shoo, Mjumbe wa kamati ya sasa Wilaya Aisha mbaga.

View attachment 1376395

Hii ni Video yao wakifanya Vurugu huku wakiwa wanaonekana wamelewa pombe walizonunuliwa kabla ya kujaa kwenye magari manne. Moja ya gari ndo gari ya Wasiojulikana. Kijana wa Millard Ayo anaijua sababu kaitumia sana wakati wa kulazimisha watu wajiuzulu cha kusainishwa barua kwanguvu. Ngoja niwawekee barua kwa wale waliosahau kwa kumbukumbu
View attachment 1376465
Vurugu kama hizi zinapotokea, pia mtu wa kwenda kurekodi anaandaliwa na akisharekodi anawatumia Waandishi wa habari clip au picha inayofanana wote. Mwanzo alikuwa anatumiaka Kijana wa millard Ayo ndio alikua anatumika.

Baada ya kupigiwa kelele kwamba anatumika akawa ameondolewa na Millard Ayo akaomba msamahan ana kuahidi haitojirudia. Mnyampanda alivyotekwa alafu akiwa ndani kule akamkuta mwandishi wa AYO TV wakawa wanamhoji Maswali huku mfanyakaziwa Ayo TV akirekodi then wakarusha kwenye mitandao ya kijamii kwamba fulani kajiuzulu.

Hai kufa Ni rahisi Sana Kama unampinga Sabaya. Huyo mnyampanda alikua mwenyekiti mtaa wa geza sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA

Walichofanya waliunda kabisa Group la WhatsApp, wakapewa Magari Manne waende kufanya Vurugu kwenye Mkutano wa CHADEMA.

View attachment 1376353
Polisi nmesikia wanasema hawawajui waliofanya Vurugu. Naweka hapa chini Group la WhatsApp waliloliunda kwenye kufanya Vurugu na baada ya Vurugu wakapongezana. Sitafuta namba zao ili Polisi kweli kama wana nia njema, Wampigie mmoja mmoja kumhoji. Mambo kama haya sio ya kuendekeza. Jana Mbowe angeruhusu Vijana wa CHADEMA wawadhibti, tungekuwa tunaongea mambo mengine.

Kipindi cha nyuma CHADEMA kulifanyika Vurugu kama hizi, wakamuua mwaandishi wa habari wa Channel 10 Mwangosi. Je, Polisi walikuwa wanaruhusu Vurugu zifanyike kwenye mkutano wa Mbowe ili iweje? Nani alikuwa anawindwa Vurugu zikitokea?

Zaidi: Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa ktk vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Kujua kilichojiiri Hai kwenye Mkutano wa Mbowe soma:
1) Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

2) Hai: Mbowe azungumzia tukio la kundi la Vijana waliovamia mkutano wake Jimboni

WENGINE:

View attachment 1376538
Ambaye ndiye huyu chini 👇🏾

View attachment 1376537

View attachment 1376541

Kwenye video ndiye huyu 👇🏾
View attachment 1376540

Haya mambo si kwamba serikali haijui ila imeamua kukaa kimya na kulifumbia macho kwa manufaa yao - ccm
 
Mbowe ni Mbunge wa Hai na kila mkazi wa Hai bila kujali itikadi ya chama chake anayo haki ya kuhudhuria mkutano ulioitishwa na Mbunge wake. Kama hali hiyo ilitokea basi imetoka kwa wapiga kura wa Hai na si vurugu za wana CCM kama mnavyojitahidi kutuaminisha. Mchuma Janga Hula na wa Kwao

Nyie kenge msitake kuchezea akili za watu, mliwatuma wale walevi wakavuruge mkutano wa Mbowe, na Sabaya ndie mastermind, na nyie pamoja na mwenyekiti wenu mnachuki iliyodhahiri kwa Mbowe, mmemuharibia mashamba yake, na mali zake, msijaribu kuleta majibu ya kinafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna usemi unaosema ngoma ikuvuma sana inakaribia kupasuka,msemo huu una maana kubwa sana katika medani za kisiasa na medani zingine kama vile michezo na kadhalika.

Mara nyingi mwanasiasa yeyote anae kuwa katika siasa zaidi ya miaka kumi na ushee bado akaendelea kun’gara kama alivyoingia huitwa genius.Kwa maana aina hii ya watu ni wachache duniani na wengi hufanya kazi tofauti na siasa.

Binafsi kazi za siasa zinafanywa na watu wenye level ya kati ya IQ na wale wenye level ya chini.Ndio maana hata waropokaji,wahuni,na wenye tabia kama hizo wanaweza kuwa wabunge katika baadhi ya majimbo hapa nchini.

Tunao wanamuziki wa hip hop bungeni kutoka Chadema ambao wanaweza kutukana wakiwa sehemu takatifu bungeni kwa kunyanyua kidole cha kati.Any way sio mada hii

Mada yangu ni kuonesha sababu za mbunge wa Hai kuzomewa na wananchi wa jimbo lake na mwelekeo wa kampeni za uchaguzi mwezi Novemba 2020.

1. UCHU WA MADARAKA
Kiwango cha elimu na uelewa wa watu wa Hai ni kikubwa,wamisionari walifika na kuwekeza katika elimu,miundombinu na dini,hivyo wengi wao wamesoma na ni wafanyabiashara wazuri,kutokana na sifa hizo ni rahisi kupambanua juu ya uchu wa madaraka na mtetezi wao.Mnamo 2015 wananchi wengi walikua katika njia panda kuliona hili,lakini kwa kuwa kulikua na mwamko wa mabadiliko, suala la uchu wa madaraka kwa kiongozi wao Mh Mboe halikua na nguvu ukizingatia hapo nyuma aligombea nafasi ya Uraisi.

Baada ya uchaguzi ndani ya chama uliofanyika mwaka 2019 na kuanzishwa kwa makundi mawili,lile linalomuunga mkono Mh Mboe na lile linalompinga Mh Mboe ndani ya Chadema ndipo wanachama wakatanabahi kuwa kiongozi wao anauchu wa madaraka.

2. WANANCHI KUONDOKANA NA DHANA POTOFU YA UKABILA
Mapenzi ya Watu wa Hai juu ya chama cha Chadema yalijengwa kwa msingi wa ukabila.Kwa maana "Chadema yetu" ikichukua hatamu tutaneemeka,ikitawala tutapata maendeleo.Dhana hii potofu ilikua imesimikwa na viongozi wa chama cha Chadema kwa mbinu mbalimbali.

Katika mikutano mingi ambayo nilikua nikihudhuria miongoni mwa mambo yaliyokuwa yakisisitizwa ni kuanzisha utawala wa majimbo,dhana hii ilikusudia kufanya majimbo yenye maendeleo kuwa na maendeleo zaidi na yale ambayo yalikua hayana maendeleo kubaki kwenye umaskini.Marakwa mara Mh Mboe aliongelea Mlima Kilimanjaro kama kitegauchumi na mapato yake kubaki katika mkoa wa Kilimanjaro peke yake.

Uongozi wa awamu ya tano chini ya Raisi John Magufuli ulijitahidi kubadili dhana hii kwa kupeleka maendeleo wilaya ya Hai na sehemu zingine za Tanzania licha ya mbunge wao kutoa kauli chafu kwa Raisi.Mapato ya nchi yalitumika kujenga miundombinu na barabara katika kiwango cha lami,kuondoa bughudha kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, kuimarisha elimu na afya,na mengine mengi.Hii imepelekea wananchi wengi kumpenda Raisi pamoja na serikali yake.

3. KUKOSA SERA ZA MAENDELEO
Mh Mboe amekua akirudia sera zake kwa vipindi vyote bila kuwa na sera mbadala za kuwavutia wananchi wake,sera zake zimekua kwenye maneno zaidi na sio katika vitendo kitendo ambacho kinawakwaza wananchi wake.Zaidi ya kuwa na sera zisizotekelezeka Mh Mboe amekua akitukana viongozi ambao wanachi wanawapenda.

Mfano mapenzi ya wananchi wa wilaya ya Hai na Tanzania nzima juu ya Raisi Magufuli hayawezi kulinganishwa na kiongozi yeyote aliyewahi kutawala nchi hii.Hii inatokana na utendaji wake na uzalendo wake kwa nchi na huruma aliyo nayo kwa wananchi.

4. UONGOZI WA KUTENDA WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
Mambo yanayofanywa na uongozi wa awamu ya tano hata mtoto mdogo wa shule ya msingi anayaona,na kutambua umuhimu wake kwa maendeleo ya nchi na wanachi wake.

Hivyo ni wazi kuwa kama Mh Mboe anataka kusikilizwa na wanachi ayaseme haya katika namna chanya ambayo wananchi wanaamini.Lakini kwa bahati mbaya katika mkutano wake amekua akiyasema katika namna hasi na kuwafanya wananchi wamzomee.

Serikali nafanya mambo mengi,ikiwa ni pamoja na kujenga mahospitali,miundombinu,shule na kuhakikisha huduma zote muhimu zinawafikia wananchi wote bila kujali itikadi zao za vyama,dini na kabila.

5. TUHUMA ZA UBADHIRIFU
Mh Mboe amekaa muda mrefu katika nafasi ya ubunge na uongozi ndani ya chama chake,zipo faida nyingi amezipata kupitia chama.Upo pia ufisadi ambao una mhusisha yeye moja kwa moja ndani ya chama juu ya ubadhirifu wa mali za chama na matumizi mabaya ya ofisi yake.Licha ya haya,kumekuwepo ubaguzi ndani na ya chama kiasi cha kuleta makundi ndani ya chama.

6. KUTO ACHA ALAMA YA MAENDELEO NA KUTO ONEKANA JIMBONI

Mh Mboe hajaleta maendelo ya aina yeyote ndani ya wilaya ya Hai,muda mwingi amekua akiutumia kufuatilia mambo ambayo sio ya msingi kwa wananchi wake badala ya kutumia muda mwingi kuwasilisha kero za wananchi kwa serikali na kuomba iwasaidie wananchi.

Ni wazi kuwa kutokana na hali hiyo wabunge wote ambao hawana cha kuwaeleza na kuwaonesha wananchi wao wanaweza kujikuta hawana nafasi zao za ubunge kwa uchaguzi ujao.
 
Back
Top Bottom