Soma vizuri barua yake, amelizungumzia hiloHuyu mzungu naye mshenzi tu, asitufanye Watanzania ni wapumbavu.
Kwani hayo mawasiliano huyo Mange kayatoa wapi?!!
Watajuana wenyewe!
Soma vizuri barua yake, amelizungumzia hiloHuyu mzungu naye mshenzi tu, asitufanye Watanzania ni wapumbavu.
Kwani hayo mawasiliano huyo Mange kayatoa wapi?!!
Watajuana wenyewe!
Tatizo nyie hamkulielewa gemu; ni hivi kwamba jamaa alikuwa anatishia tu kulipua kama hapewi chake sasa kesha pewa chake baada ya nyie kulicheza picha lilivyopangwa mnatarajia aendelee na nini tena wakati shida ilikuwa kupewa chake?Huyo kapewa agizo tu!
Nakumbuka niliwaambia hapa msije kushangaa hata hiyo press confrerence inafutwa.
nakwambia bado bichi kabisa halijaisha wewe subiri mwisho wa ngoma ni kupasuka, Makamba ngoma yake inapasuka karibuniSingle ya february finito, tuhangaike na single ya secue sasa hahahahaha...
Nasikitika, maana naona mtu uliyereta utetezi kama ni kijana mwenzangu, ambaye hata kama umetumwa na makamba ufanye hivyo,basi wewe tahaluma yako uitendei haki hata kama unatahaluma ya sayansi kimu, hisikufanye kuwa kasuku wa wanansiasa ambao wanatuma kama Makamaba, nataka niseme wazi katika sakata hili inatakiwa iundwe tume mahalumu nipo tayari kujitolea, lazma kuna jambo hapa.
Mkuu achana na huyo Mjinga, na ana njaa sana sasa ivHivi wewe mbona huwa huna pa kushika?hivi upo act au ccm?angalia njaa isikumalize brother
Ile kesi yako ya kukwapua simu, nayo iliishia wapi? Una vimbwanga wewe!kwa hali kama hii, ni vyema tukaruhusu wenye facts na evidences zaidi washindane kwa kuziweka hadharani.
mimi ni muhanga wa haya mambo ya kukashifiana na kushambuliana hasa mitandaoni...hivyo naenda kw step sana
Amteoa anachokifahamu.Naona mnasafishana kwa jiki wazee wa madili
Taarifa ya mwanzo ni nzito zaidi kuliko hii ya pili. Wameshakiri kupokea fedha sasa wanatueleza nini tena,We have not hear from you.-Managing Editor.
Hili doa lingezika rasmi ndoto zake za urais ndani ya chama chake hata hivyo ile taarifa yake bado inaufanya uadilifu wake uwe questionable.
Kuna kitu kimefanyika maanake kilikuwa kitanzi hadi kwa muitaliano mwenyewe.
tahaluma= taalumaNasikitika, maana naona mtu uliyereta utetezi kama ni kijana mwenzangu, ambaye hata kama umetumwa na makamba ufanye hivyo,basi wewe tahaluma yako uitendei haki hata kama unatahaluma ya sayansi kimu, hisikufanye kuwa kasuku wa wanansiasa ambao wanatuma kama Makamaba, nataka niseme wazi katika sakata hili inatakiwa iundwe tume mahalumu nipo tayari kujitolea, lazma kuna jambo hapa.
Kumbe mleta uzi mi mchange, hamna kitu hapa.Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake.
jana kukazuka mjadala kama huo ulioanzia mitandaoni humu humu kumuhusu mwanasiasa kijana mwengine January Makamba safari hii huyu akihusishwa na dada yake kutumia vibaya madaraka na kujinufaisha mpaka kufikia kiasi cha kudaiwa kumdhulumu aliyeitwa muitaliano Vincenzo Nizzolino.
leo Raia huyo wa Italia Vincenzo Cozzolino aliyesababisha mtafaruku mkubwa jana baada ya kuvujisha mazungumzo yake kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wake wa zamani Mwamvita Makamba amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa kuihusisha familia ya Makamba na ufisadi.
Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo mchana, Vincenzo amesema alifadhaika kutokana na familia ya Makamba kushindwa kumsikiliza baada ya ugomvi wao na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala hakuwahi kumuomba amsaidie katika biashara zake. Pia amesikitishwa na kitendo cha Mange Kimambi kuingiza masuala ya siasa katika mtafaruku wake na Mwamvita. Kwa Habari zaidi, soma taarifa yake aliyoituma kwa Neville Meena, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima hapo chini;.
ushauri.
kabla hatujahukumu, ni vema tukajiridhisha kwanza kuhusiana na tuhuma mbalimbali, hata kama tunawachukia namna gani watu waliotajwa.
wasalaam.